Sababu za vegetarians kutokula nyama

Kuna hii habari hapa si vibaya kuipitia pia thezensite: Was Jesus a Buddhist?

Yesu alikuwa enlightened. Hata Buddhist hueshimu mchango wake. Wapo wanaosema yesu aliwahi kuishi kashmiri alipokuwa kijana kati ya miaka 20 mpaka 30. Kumbuka sio maisha yote ya Yesu yaliandikwa kwenye biblia.

Ila suala la Yesu kuwa enlightened its true. Kuhusu udini n.k kwa kweli I don't know.

Pia Buddhist haisemi kama kuna Mungu au la, hilo ni individual choice. Buddha hakupenda kufundisha hilo, alisihi sana watu wajifunze kuishi kwa amani na upendo kwanza. The future will settle.
 
Nadhani chanzo chako kitakuwa kimekosea. Mwaka sahihi ni 543 BC na siyo 563 BC. Fuatilia zaidi.

Chanzo hakukuwa specific sana na mwaka wake kwani kuna contradiction. But its around that miaka ya 560's na 540's.
 

Mafundisho mengi ya Buddha Yana quotes nyingi za Bible na wanamtaja Yesu kristo kama enlighten being
 
Thanks mkuu. Nafurahi kuona hayo masomo unayafahamu. Ni masomo ambayo yanaridhisha kimaelezo hasa ukiyaexperience zaidi ya kuyasoma na kuyasikia ndio maana wengi hawajui.
Apollo nimeitafuta sana hii post, kuna mengi Nimejifunza toka kwako
 
Last edited by a moderator:
Apollo asante Kwa huu Uzi!! Nimzur sana sana!...
 
Kwenye somo la biology tumefundishwa kwamba mimea nayo ni viumbe hai,isipokuwa mawe sio hai,labda sasa tugeukie kula udongo na mawe,ili tusije tukaviua viumbe vyenzetu

Omba ufafanuzi kwa sababu haya mambo ni ya SIXTH SENSE.
 
hii imani inaenda mbali zaidi kwakuwa hata dawa za kuulia wadudu wao hawatumii kabisa, na kama wakiitumi wanatumia ile tu ya kulewesha na si kuondoa uhai, kwa vegetarians kuuwa kiumbe ni dhambi kubwa kuliko zote na karma yake ni mbaya sana

Na hao wadudu ndio hatari kwa mimea,sasa sijui itakuwaje?
 
Mh! Huu uzi ulinipitaje sikuuona! Natamani niweze kuwa vegeterian
 
I serve the God of Israel ambaye ndiye aliyewaumba hao wanyama ili wawe chakula chetu
 
Ooh Lord, help me not to know TOO much of anything!
Life is temporary!
 

Kweli kabisa! Niliwahi ku jaribu kuwa vegetarian nikiwa shule kwa vile nilikuwa nafanya yoga asana nilivyorudi nyumbani nikazidiwa nguvu na wazazi nikaanza kula nyama!. Uzoefu ulinionesha kuwa kutokula nyama kuna faida kiafya lakini kama mtu haupati mbadala wa protein ni muhimu kula nyama nyeupe mfano samaki na kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…