Sababu za vegetarians kutokula nyama

Na sio nyama tu wadau, hata wadudu kama senene, samaki, pweza na aina zote za vyakula ambavyo vinahusisha kupoteza uhai wa kiumbe ambacho ni conscious (kina ufahamu) kuhusu pains.
 
Na sio nyama tu wadau, hata wadudu kama senene, samaki, pweza na aina zote za vyakula ambavyo vinahusisha kupoteza uhai wa kiumbe ambacho ni conscious (kina ufahamu) kuhusu pains.
Je ukishafanikiwa kuwa hivyo mpaka ikawa umefungua third eye, na baadae tena ukarudia kula nyama kama mwanzo hilo Jicho la tatu (pineal gland) linajifunga kwakua tu umerudia kula nyama?
 
Wabudha ni watu gani?Mbona nawaona walio kwenye dini hiyo ni wabaguzi sana?Hivi kuna uwezekano wa kumuonea huruma mtu uliyembagua?
 
Je kuna toba kama nilikula kabla sijajua haya?
Nawezaje kuipata hiyo toba?
Binafsi niliacha kula nyama baada ya kushuhudia viumbe hao wakiteseka baada ya kuwaona wenzao wakichinjwa
 
Je kuna toba kama nilikula kabla sijajua haya?
Nawezaje kuipata hiyo toba?
Binafsi niliacha kula nyama baada ya kushuhudia viumbe hao wakiteseka baada ya kuwaona wenzao wakichinjwa
Kwa imani ya Mungu mmoja toba ipo.. Kwa imani za miungu kuna cause, (condition) and effect! KARMA..!! Hapo kwenye kula bila kujua ndio patakuletea wepesi . ..!
Wenzetu wenye kutambua haya mambo humtreat vizuri mnyama mpaka kifo..Na hata anapochinjwa hajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana ndiyo maana nasi baadhi yetu huteseka sana kabla ya kifo
 
hii imani inaenda mbali zaidi kwakuwa hata dawa za kuulia wadudu wao hawatumii kabisa, na kama wakiitumi wanatumia ile tu ya kulewesha na si kuondoa uhai, kwa vegetarians kuuwa kiumbe ni dhambi kubwa kuliko zote na karma yake ni mbaya sana
Kama Ni hivyo ata mtu akipata maambukizi ya bacteria mwilini mwake asimeze dawa ili asije uwa viumbe wa Mungu [emoji849]
 
Kama Ni hivyo ata mtu akipata maambukizi ya bacteria mwilini mwake asimeze dawa ili asije uwa viumbe wa Mungu [emoji849]
Nimemaanisha wadudu wa mimea mashambani, sio bacteria wa mwilini.. Lakini pia chunguza dawa za mbu zinazotengenezwa na makampuni ya kihindi zile za kupuliza haliuwi zinalewesha tuu..kwakuwa wahindi ni mojawapo ya watu wanaoamini sana karma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmekuelewa mshana mm napenda kumeditate je kutokula nyama Ina umuhimu gan kwenye kutaamuli ? Na kama nakula nyama je itaathiri vp taamuli yangu mkuu?
 
Nmekuelewa mshana mm napenda kumeditate je kutokula nyama Ina umuhimu gan kwenye kutaamuli ? Na kama nakula nyama je itaathiri vp taamuli yangu mkuu?
Nyama ina damu.. Damu ina roho.. Tunapokula nyama tunakula roho zenye tabia tofauti..lakini nyama ulayo ni ya kiumbe kilichouliwa...kuna ghadhabu ndani yake..cheki wala nyama wengi walivyo wepesi kukasirika!
Kimwili nyama hukomaza misuli hivyo huleta discomfort kwenye meditation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120] rabi
 
Wanasema hata mpangilio Wa meno yetu sio kwa ajili ya kula nyama,kwa sababu hatuna gap between tooth & tooth.

Ni vile tumepewa akili ya kutumia toothpick baada ya kula nyama,by the way nyama choma in tamu has a.
 
Hasa Tarime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…