Sababu za vegetarians kutokula nyama

na wafanyabiashara wengi huwa kabla ng'ombe hajachinjwa kama alikuwa dhaifu huwa wanampiga sindano ya kumnenepesha,sasa kisheria hiyo dawa aliyochomwa inatakiwa kwa muda fulani ndio achinjwe,lakini nani anaweza fanya hivyo kwa wafanya biashara wa leo
Ndio maana magonjwa ya kansa yanaongezeka kwa kasi kubwa
 
Ndio maana magonjwa ya kansa yanaongezeka kwa kasi kubwa
sana kaka,hiyo pay ya nyama bora ninunue matunda nile,na operation ya pili itakuwa ya kupiga marufuku utumiaji hovyo wa mafuta nyumbani kwangu,nayo haya yanatuua kweli kweli
 
sana kaka,hiyo pay ya nyama bora ninunue matunda nile,na operation ya pili itakuwa ya kupiga marufuku utumiaji hovyo wa mafuta nyumbani kwangu,nayo haya yanatuua kweli kweli
Na ni vema manunuzi ya vyakula ufanye mwenyewe kuliko kumuamini ndugu ama mtumishi wa ndani
 
kuna hiki kitabu kinaeleza jamaa aliyeamua kwenda kwa ma budha watu ambao walimfundisha how to be happy hata bila kuwa na pesa,watu wasio zeeka,watu walio na afya njema,moja ya kitu alichojifunza toka kwao ni kwamba wanakula sana matunda na mboga mboga
 

Attachments

[emoji120] [emoji120] [emoji120] shukrani ngoja Niki download
 
hii imani inaenda mbali zaidi kwakuwa hata dawa za kuulia wadudu wao hawatumii kabisa, na kama wakiitumi wanatumia ile tu ya kulewesha na si kuondoa uhai, kwa vegetarians kuuwa kiumbe ni dhambi kubwa kuliko zote na karma yake ni mbaya sana
Embu nisaidie hapa, mm ni mfugaji wa Kuku kuna huu utitiri dawa ya kuwafukuza huwa hakuna kuna ya kuua tu nifanyeje, niache wanisumbue tuuu
 
mkuu inaionyesha unajua mengi hebu tupatie
 
Sijafanya research ya kutosha ila kuna uhusiano mkubwa wa kuzeeka mapema au kuonekana mzee kutokana na ulaji wa nyama,mimi nina miaka takriban 10 tokea niache kula nyama nyekundu kwa sababu za kiafya,yaani nilikuwa nikila nyama digestion inakuwa ya taratibu sana kwahiyo iliniletea shida kidogo.Kwa sasa kila ninaekutana naye ambaye ni wa umri wangu huniambia mbona huzeeki,na niliwahi kwenda hospitali moja ya wa korea nilipowatajia umri wangu hawakutaka kuamini kwani hata wao umri wao walionitajia walikuwa ni wadogo kwangu lakini bado walionekana wakubwa kwangu..
 
Digestion ya nyama inatumia nguvu sana basi tuu ila inachakaza sana mwili
 
Hili lingekuwa na ukweli basi wamasai, wagogo na wasukuma wangekuwa wanazeeka haraka sana kwasababu hayo makabila hasa wale wanaoishi vijijini haipiti siku bila kula nyama. Tena siyo nyama ya kupima bali nyama haswaa (nyingi). Hivyo basi wangekuwa wanazeeka kwa haraka kuliko makabila yasiyofuga wala kutumia nyama kwa wingi kama makabila ya pwani, tanga mtwara na lindi.
Tukumbuke nyama ni chanzo kizuri sana cha protini ila protini ikizidi mwilini inaleta madhara kama ilivyo kwa vyakula vya wanga (carbs)
 
Kumbuka kuwa hata hiyo mimea ni viumbe hai,hivyo kwa imani zao bado hawajaepuka kutoa uhai wa viumbe.WANAUA MIMEA
 
Kuna ukweli aisee
 
mshana jr na Apollo ,,

Je mmewahi kukata miti, kuchuma mboga za majani kutoka kondeni au kukata mkungu wa ndizi kwa ajili ya chakula halafu kesho yake mkarudi kuangalia hiyo mimea inavyotia huruma!?

Ukisema kuwa mimea ni viumbe hai lakini mateso na hisia zao siyo Sawa na za wanyama unakuwa unatumia na kuegemea upande mmoja tu ule wa mnyama kulia, kushindwa kutembea, kutokwa damu na labda kufa.

Ila hata mimea ina hisia zile zile tatizo tu haitoi sauti za kulalamika kama wanyama wachinjwapo.

Hizi imani ni uchwara tu.​
 
Kumbuka kuwa hata hiyo mimea ni viumbe hai,hivyo kwa imani zao bado hawajaepuka kutoa uhai wa viumbe.WANAUA MIMEA

kasso ,

Hizi imani hizi watu watapotea wengi sana.

Miti inateseka sana , mbogamboga na nyasa za kulishia mifugo majumbabi (zero grazing).


Any way , naomba tu kila mtu aamini na aelewe aachoona kinafaa.

Ila kwa kweli kabisa the ecosystem its not fair. Mfano, tembo anavyokula miti, na nyasi hadi unazihurumia nyasi na miti anavyokata na kula.
 
Krishna sio dini. Ni miongoni mwa miungu ya kihindu..!
 
Mshana hapo utakua umechemka Broo.
Ningependa ukubali kukosolewa bro..
Usimaind kama mzee wetu.

Naanza kwa kutoa maana halisi ya vegetarians.

Hawa VEGITERIANS ni watu katika imani zao wakiamini kua mnyama ni MUNGU wao..
Mnyama tu...sio JAMII YA NDEGE..kwa mfano Ngo'imbe huyo ℅100 wanamuabudu na maziwa hua wanajimwagia mwilini huku wakinywa ktk ibada zao,,Kondoo wanamlea nakumuangukia miguuni na hua wanawanyoa manyoa yao na kuitundika wanapofanyia ibada yao
Mbuzi hua wakiwavisha vikengele shingoni wakiamini kua vikengele vikilia saana ni ishara mbaya..
Nifupishe tu Bro Mshana Hawa hua wanakula white meats only.kuku.Samaki.bata..Sea Foods zote wanakula.
Na %98 ya vegetarians ni BANIANI..
BANIANI maana yake ni watu wa bara la Asia INDIANS(Wahindi)ndio wenye hio dini wanaiita BANIANI..wazungu wanaita HINDUS..
lkn Buddhist wanafyonza nyama hadi mifupa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…