Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,506
Na hata tigo utajiexpress bila hata kuomba. Lol!
Wewe sasa umeanza uchokozi, hapa nasisitiza lazima mwanamke athaminiwe na kuheshimiwa katika ndoa usipo fanya hivyo lazima mwanamke akudharau kama kodi ya meza hutoi matumizi hutoi,mama anataka kwenda saloon pesa hutoi unategemea nn hapo wanaume wenzio wakusaidie si ndo mwanamke ataanza kukudharau.