Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 6,995
Hiyo inaitwa "tit fo tat".
hapo hato beep tena
Hiyo inaitwa "tit fo tat".
Lady doctor. Swali hilo.
unataka kusema Lady doctor ndo huwa zake kubip?Lady doctor. Swali hilo.
unataka kusema Lady doctor ndo huwa zake kubip?
unataka kusema Lady doctor ndo huwa zake kubip?
nimemwambia amtumie sms ya tafadhali nipigie kama huduma ya tafadhali niongezee pesa haipo
hakunagaMtaani kwetu wapo. Je! Kwenu hawapo¿
Mimi pia huwa nabeep kwa sababu mbalimbali kama hizi:
1. Kuangalia kama simu ya ninayembeep iko hewani
2. Kuchelea kumpigia simu ikamsumbua kwenye mazingira kama vile ya mkutano, ibada, kuendesha gari n.k.
Yeye atakapoona missed call yangu atanipigia.
3. Ni kama kumpa mtu Hi! sihitaji kuongea naye lakini ninapombeep ni kama kusema vipi upo? Na yeye anaweza kunibeep na maisha yakaendelea !
4.Wakati mwingine kweli simu inakuwa haina credit na nahitaji kuongea na muhusika
naaaaam!mazingira mengine unashawishika!hasa kama kijungu kilichofungashwa hujakiona!!hata kama huna salio utakopa...niwezeshe!Vigezo na masharti kuzingatiwa.
na hata kama wana hela hawapigi!!
sasa kama siko moyoni mwake ananitakia nini kunibip!ukiona hakupigii na ana hela jua huako moyoni mwake!!
Akinidipu nami namdipu....ngoma droo!