Sababu za kuBIP..

nimemwambia amtumie sms ya tafadhali nipigie kama huduma ya tafadhali niongezee pesa haipo

Lady doctor, Hope amekusoma. Nataka kuandaa mechanism ya ku deal na raia wenye tabia kama hizi.

Kuishi bila "kubip" inawezekana.
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia huwa nabeep kwa sababu mbalimbali kama hizi:

1. Kuangalia kama simu ya ninayembeep iko hewani
2. Kuchelea kumpigia simu ikamsumbua kwenye mazingira kama vile ya mkutano, ibada, kuendesha gari n.k.
Yeye atakapoona missed call yangu atanipigia.
3. Ni kama kumpa mtu Hi! sihitaji kuongea naye lakini ninapombeep ni kama kusema vipi upo? Na yeye anaweza kunibeep na maisha yakaendelea !
4.Wakati mwingine kweli simu inakuwa haina credit na nahitaji kuongea na muhusika
 
Hiyo namba 4. Simu kuwa na salio ni sehemu ya majukumu yako.
 
naaaaam!mazingira mengine unashawishika!hasa kama kijungu kilichofungashwa hujakiona!!hata kama huna salio utakopa...niwezeshe!

Zamaulidi. Kumbe nawe ni mdhaifu katika yale mambo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom