Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Jamani kwa ulimwengu huu wa sasa wa ofa za kupiga sim kwa kiwango kidogo tena sawa na buree, huyo mtu anayebp lazima atakuwa anamapungufu kidogo.
Jamani kwa ulimwengu huu wa sasa wa ofa za kupiga sim kwa kiwango kidogo tena sawa na buree, huyo mtu anayebp lazima atakuwa anamapungufu kidogo.
ni kweli mkuu kama noma na iwe noma!na akitaka kujua kwanini unamchana za uso...una kera na kubip!Hayo ni kati ya maamuzi magunu. Liwalo na liwe
Hizo za kimahaba zikoje na Utazijuaje?
Tafadhali nijuze.
Lady doctor, Wengine ni kama wameathirika na kubip.
hivi zantel nayo ina hii huduma nianze kuitumia!akikunp unamtumia msg ya tafadhali niongezee pesa
Huwa najiuliza sana, Sababu gani zinamfanya mtu abip
1. Je! Unanibip kwakuwa nina pesa zaidi yako?
2. Je! Unanibip kwakuwa hauna salio la kunipigia?
3. Je! Unanibip kwakuwa unahisi hakuna umuhimu wa kutumia salio lako kwa ajili yangu?
4. Ama unanibip kwakuwa huduma ya kubip inapatikana?
Wadau, Nini hasa sababu ya kubip.
hivi zantel nayo ina hii huduma nianze kuitumia!