Sababu za kuBIP..

Amina. Ndiyo ila inategemea kama ana sifa za kubip nampigia ila kama naona kabisa sifa hana huwa siongei chochote zaidi ya ku ignore!!!!!

Hapo uki ignore siku ukikutana naye Lawama nyingi. je! Utamjibu vipi?
 
sizipendi!kila siku unakuta mtu anakubip!halafu anasema alitaka kukusalimia!!kwani huwa kuna salio kwa ajili ya kubip!!!au akisha ongea na wengine ndo anibip mimi!
Kama ni demu, wengi wao wakibip, ukapiga baada ya dk 5 hivi utakuta namba inatumika. Ina maana aliwadipu kadhaa, na kati yao kuna ambaye ameshapiga...
 
Kama ni demu, wengi wao wakibip, ukapiga baada ya dk 5 hivi utakuta namba inatumika. Ina maana aliwadipu kadhaa, na kati yao kuna ambaye ameshapiga...

Madem wameathirika zaidi na kubip. Nafikiri kuna haja ya kufanya utafiti wa kisayansi hapo.
 
Kama ni demu, wengi wao wakibip, ukapiga baada ya dk 5 hivi utakuta namba inatumika. Ina maana aliwadipu kadhaa, na kati yao kuna ambaye ameshapiga...
hapo ndo hasira hunipanda na kuifuta namba!hasira ikiisha naanza kuitafuta namba kwa marafiki!
 
Kuna raia wanakera mno, kama hauna salio la kunipigia ili unisalimie piga kimya. Ukishindwa nitumie sms.

Zaidi ni hawa kina dada, Loh!
na mwingine anakubip harafu anasema alitaka kujua kama namba iko hewani!
 
hapo ndo hasira hunipanda na kuifuta namba!hasira ikiisha naanza kuitafuta namba kwa marafiki!
Hahahahahaaa... Huna haja ya kufanya hivyo mkuu. We ukiona hivyo unaandika msg kuwa una dharura kubwa unataka kumuona. Akimaliza kuongea akakuta msg yako akabip tena unapiga unamwambia kuwa unataka uonane nae fasta. Mkionana unamgegeda kwa hasira, na hapo unakuwa umemuwahi huyo hawara wake mwingine. Ata kama ataenda kumpa, but we ushakula...
 
Je! akitolea nje appointment.
 
Huwa namuweka kwenye "black list".
natamani niwaweke watu kwenye hiyo list,lkn inakuwa inajulikana kwa anaye kupigia!ninataka program inayoweza kufanya hata simu yake isijaribu kuita au kuonesha busy!
 
Au mwingine anakubip, ukimpigia anakuuliza "wie nani"
aaaagh!!kuna mtu alikuwa ananisumbua kwa upuuzi huo!kila siku unamwambia umekosea namba,baada ya siku anabip tena!ukimpigia ''wie nani'
 
Back
Top Bottom