Mzee!pale hata jemedali wa vita hana ujasiri!!
hahahaaaaaaa!!!!!! Nyie watu mnanichekesha mjue!!
Bip nyingine ni salamu tu
Lady doctor! Hako kakijungu kanaweza kumfanya Zamaulidi atoe ATM card. Ikibidi hata hatpi ya kanyumba kake.
Hata hivyo sitaki kuwa moyono mwake. Moyo si storage tools, Kila kitu kipo kwenye ubongo.
Huwa najiuliza sana, Sababu gani zinamfanya mtu abip
1. Je! Unanibip kwakuwa nina pesa zaidi yako?
2. Je! Unanibip kwakuwa hauna salio la kunipigia?
3. Je! Unanibip kwakuwa unahisi hakuna umuhimu wa kutumia salio lako kwa ajili yangu?
4. Ama unanibip kwakuwa huduma ya kubip inapatikana?
Wadau, Nini hasa sababu ya kubip.
aiss!hivi Mzee hako kajungu hakana mmiliki kweli!!naweza kuanza kujipendekeza kpipiwa na Lady doctor!