Kwanini wakristo tunaamini Israel ni taifa la Mungu wetu huku Waisrael hawamuamini Yesu wala dini ya ukristo?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,954
34,089
Waisraeli si wakrsito, na hadharani Wayahudi wanamkana Yesu Kristo kwamba hawamtambui wanamuona ni tapeli tu. Na hata mafundisho yake hawayafati. Agano jipya la biblia kwao hawalitambui. Na mafundisho yote ya yesu hawayatambui.

Je, ni kwanamna gani taifa lilokataa Ukiristo likawa taifa la Mungu, kwa mujibu wa Ukiristo?

Kwa nini Wakristo hatujaifata dini ya waisraeli kama tunamuabudu Mungu wa israel ?
 
Ni kwasababu ushakuwa indoctrinated toka utotoni.

Mtoa mada inawezekana akawa ni mtu mzima mwenye familia yake. Lakini fikiria hii tu kuwa babu yake enzi za utotoni mwake naye alikuwa akifundishwa kuwa Yesu anarudi.

Babu yake akaja ku pass hayo mafundisho kwa baba yake na mtoa mada kuwa Yesu anarudi.

Baba yake na mtoa mada naye akamzaa huyu mtoa mada kaja kumrithisha mafundisho hayo hayo kuwa Yesu anarudi.

Na huyu mtoa mada pengine tayari kasha warithisha wanae au anatarajia akipata watoto aje kuwaambia kuwa Yesu anarudi.

Umeona mlolongo ulivyokuwa mrefu huo?

Infact ni kitu ambacho sio rahisi kuweza kukiepuka kwasababu kinakufanya uwe emotional zaidi kuliko realistic.

Mfano wa mtu aliyekua affected na indoctrinations hata akipewa hoja bilion zenye logic ili kum-shape arudi kwenye njia sahihi atakupinga tu kwa maneno machache tu kuwa "biblia imeandika hivyo na haiwezi kupotosha"

Kitabu chochote ambacho kimeandika kuwa mtumwa anapaswa kumsujudia slave master je hiyo katika perception ya kawaida haikupi mwangaza kuwa kitabu hicho kimeandikwa na slave master?

Hata kama utakuwa umempa ushahidi kuonesha Biblia imeandikwa na hao waliojipakulia minyama, bado hiyo haitatosha kumuondoa gizani huyo mtu kwasababu ya toxic aliyoipandikizwa tangu akiwa mtoto.
 
You're the greatest son of our farther!
 
Zamani ndio lilikuwa taifa teule kumbuka ahadi ya Mungu Kwa Abraham,badae walimkana Yesu na kumuua japo sio wote,ila mafarisyo na masadukayo ambao waliona ni mpinzan wao,so taifa jipya la kiroho ndio likianzishwa ambalo haitegemei ww ni mtu wa wap,bali uhusiano na Mungu upoje iwe upo Tz,china au brasil
 
Mbona mpaka leo hii wa israel kizazi cha leo hawamtambui Yesu wala dini ya ukristo?
 
Yakobo na Isaac watoto wa Essau yaan wajukuu wa Abraham hao wote wameutangulia Ukristo , Yesu kwenye suala la uso wa dunia ni wa juzi tu! Na ISRAEL NDO JACOB, kiimani,

Ni sawa na wewe useme kwanini Tanzania hawamkumbuki Magufuli wanamkumbuka Nyerere sana na kupewa icon ! Ni Kwakuwa ye ni wa mwanzo! Japo Mfano haufanani 😂

Ila kuwa Taifa teule la Mungu si Mpaka waamini katika mwenzao,

Yeye yesu alipozaliwa hakukuta dini, hizi dini na madhehebu ni mambo ya juzi tu! Walikuwa na imani zao za kale,

Lakin pia biblia ina tafsiri nyingi na wanaotufundisha wanaweza kutupotosha, wenda wanaposema Taifa teule ni kila amfuataye Christo BILA kujali kazaliwa KIBAIGWA ,
 
UNABII WA DANIEL 9:27 29 ndyo unaoelezea vizuri wayahudi(israel ) kupokonywa kuwa taifa teule la MUNGU baada ya kumkataa YESU KRISTO na kupewa WATU WA MATAIFA yani kila anayemwani KRISTO NA KUBATIZWA ameokoka.INJILI IPO KWA KILA MTU ila ilipaswa kuhubiriwa israel kwanza kwakuwa wameikataa basi imegeuzwa kwa watu wa mataifa mengine
 
Waisraeli si wakrsito, na hadharani Wayahudi wanamkana Yesu Kristo kwamba hawamtambui wanamuona ni tapeli tu. Na hata mafundisho yake hawayafati. Agano jipya la biblia kwao hawalitambui. Na mafundisho yote ya yesu hawayatambui.

Je, ni kwanamna gani taifa lilokataa Ukiristo likawa taifa la Mungu, kwa mujibu wa Ukiristo?

Kwa nini Wakristo hatujaifata dini ya waisraeli kama tunamuabudu Mungu wa israel ?
Tatizo Africa tumeamini mizimu ya white men na sio vya kwetu..
 
Waisraeli si wakrsito, na hadharani Wayahudi wanamkana Yesu Kristo kwamba hawamtambui wanamuona ni tapeli tu. Na hata mafundisho yake hawayafati. Agano jipya la biblia kwao hawalitambui. Na mafundisho yote ya yesu hawayatambui.

Je, ni kwanamna gani taifa lilokataa Ukiristo likawa taifa la Mungu, kwa mujibu wa Ukiristo?

Kwa nini Wakristo hatujaifata dini ya waisraeli kama tunamuabudu Mungu wa israel ?
mungu wa israel ni mungu kama miungu mingine. Muuaji, mfitini na asiye na huruma.

Mungu muumbaji anawapenda wote aliowumba.
 
Ni kwasababu ushakuwa indoctrinated toka utotoni.

Mtoa mada inawezekana akawa ni mtu mzima mwenye familia yake. Lakini fikiria hii tu kuwa babu yake enzi za utotoni mwake naye alikuwa akifundishwa kuwa Yesu anarudi.

Babu yake akaja ku pass hayo mafundisho kwa baba yake na mtoa mada kuwa Yesu anarudi.

Baba yake na mtoa mada naye akamzaa huyu mtoa mada kaja kumrithisha mafundisho hayo hayo kuwa Yesu anarudi.

Na huyu mtoa mada pengine tayari kasha warithisha wanae au anatarajia akipata watoto aje kuwaambia kuwa Yesu anarudi.

Umeona mlolongo ulivyokuwa mrefu huo?

Infact ni kitu ambacho sio rahisi kuweza kukiepuka kwasababu kinakufanya uwe emotional zaidi kuliko realistic.

Mfano wa mtu aliyekua affected na indoctrinations hata akipewa hoja bilion zenye logic ili kum-shape arudi kwenye njia sahihi atakupinga tu kwa maneno machache tu kuwa "biblia imeandika hivyo na haiwezi kupotosha"

Kitabu chochote ambacho kimeandika kuwa mtumwa anapaswa kumsujudia slave master je hiyo katika perception ya kawaida haikupi mwangaza kuwa kitabu hicho kimeandikwa na slave master?

Hata kama utakuwa umempa ushahidi kuonesha Biblia imeandikwa na hao waliojipakulia minyama, bado hiyo haitatosha kumuondoa gizani huyo mtu kwasababu ya toxic aliyoipandikizwa tangu akiwa mtoto.
Kwa hoja zipi? Toa hoja nzito kupinga ili tujue kweli wewe unafact tukufate imani yako. Sasa unajaribu kuhamisha uelewa wa watu wenye akili nyingi kwakutumia hoja dhaifu hivi, si Bora uache tuendelee kukuhubiri tu.
 
Back
Top Bottom