Sababu Kuu za Wanawake Wengi Kuvaa Nguo fupi

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
===
RzXPuFG83.jpg

===
nn.jpg

===
Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababuya kutafuta soko kwa wanaume.
Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo.
Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa niwazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao.Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.
Inawezekana wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa wanataka kuonyesha kwamba, pamoja na kutoolewa kwao, bado wao wana sura na miguu au miili mizuri.
Udhaifu wowote ambao unamkera mwanamke iwe ni wa moja kwa moja au kupitia nyuma ya ubongo wake, unaweza kuonyeshwa kwa mwanamke huyo kuyatangaza yalemaeneo ya mwili wake ambayo anaamini ni mazuri.
Kuyatangaza huko humpa ahueni kwa kuamini kwamba bado anayo thamani, kwani ataangaliwa sana na wanaume, kusifiwa na pengine kutongozwa.
Hebu angalia wanawake ambao wanavaa nguo za kubana huku wakiwa na makalio makubwa...

Lady_Jaye_4_006.jpg


Hawa mara nyingi wana sura ambazo wao au wengi huamini kwamba ni mbaya.
Huvaa nguo hizi ili kuonyesha kwamba, pamoja na ubaya wa sura zao, bado wao ni wazuri sana katika maeneo mengine ya mwili ambayo wanaume na hata wanawake wengi huyapenda au kutamani kuwa nayo.
Wengi hawavai tu nguo hizi za kubana kwa sababu ni fasheni, la hasha, wengi hili ni kimbilio la udhaifu wao
===
DSCI0570.jpg

===
am.bmp

===
TOA MAONI YAKO HAPA

CHANZO: Media Bar
 
MIMI SURA MBAYA SO MIGUU INACOMPASATE.. SO KUONYESHA NA MIMI NIPO NAACHIA MITAA YA CHINI.TUFANYEJE SASA? mungu hakupi vyote!

Sasa mkuu wewe unavyosema huwa huvaagi pichu, na hivyo vimini si inakuwa tatizo kweli!
 
Back
Top Bottom