Sababu Kuu za Wanawake Wengi Kuvaa Nguo fupi

avatar yako na haya mawazo yako
ungevihamishia kwenye ujasiriamali kwa mwaka mmoja ungekuwa bonge la tajiri.

Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababuya kutafuta soko kwa wanaume.
Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo.
Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa niwazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao.Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.
Inawezekana wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa wanataka kuonyesha kwamba, pamoja na kutoolewa kwao, bado wao wana sura na miguu au miili mizuri.
Udhaifu wowote ambao unamkera mwanamke iwe ni wa moja kwa moja au kupitia nyuma ya ubongo wake, unaweza kuonyeshwa kwa mwanamke huyo kuyatangaza yalemaeneo ya mwili wake ambayo anaamini ni mazuri.
Kuyatangaza huko humpa ahueni kwa kuamini kwamba bado anayo thamani, kwani ataangaliwa sana na wanaume, kusifiwa na pengine kutongozwa.
Hebu angalia wanawake ambao wanavaa nguo za kubana huku wakiwa na makalio makubwa. Hawa mara nyingi wana sura ambazo wao au wengi huamini kwamba ni mbaya.
Huvaa nguo hizi ili kuonyesha kwamba, pamoja na ubaya wa sura zao, bado wao ni wazuri sana katika maeneo mengine ya mwili ambayo wanaume na hata wanawake wengi huyapenda au kutamani kuwa nayo.
Wengi hawavai tu nguo hizi za kubana kwa sababu ni fasheni, la hasha, wengi hili ni kimbilio la udhaifu wao
TOA MAONI YAKO HAPA

CHANZO: Media Bar
 
wanawake wengi wa kibongo miguu yao imekaa tenge wa kulia uko kushoto na wakushoto kulia lakini hawajijui kama hawapendezi yaani ni kichefuchefu hata kunagalia miguu na pengine hata vina mabaka mabaka ile mbaya tena meusi lakini unakuta anavyaa nguo fupi shem on you
 
KBM-unaonekana unafagilia makalio makubwa, sisi wengine ni waumini wa makalio ya useremala.

Sijawahi kuona wenye makalio makubwa wakiwa wawakilishi wa mashindano ya urembo

Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababuya kutafuta soko kwa wanaume.
Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo.
Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa niwazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao.Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.
Inawezekana wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa wanataka kuonyesha kwamba, pamoja na kutoolewa kwao, bado wao wana sura na miguu au miili mizuri.
Udhaifu wowote ambao unamkera mwanamke iwe ni wa moja kwa moja au kupitia nyuma ya ubongo wake, unaweza kuonyeshwa kwa mwanamke huyo kuyatangaza yalemaeneo ya mwili wake ambayo anaamini ni mazuri.
Kuyatangaza huko humpa ahueni kwa kuamini kwamba bado anayo thamani, kwani ataangaliwa sana na wanaume, kusifiwa na pengine kutongozwa.
Hebu angalia wanawake ambao wanavaa nguo za kubana huku wakiwa na makalio makubwa. Hawa mara nyingi wana sura ambazo wao au wengi huamini kwamba ni mbaya.
Huvaa nguo hizi ili kuonyesha kwamba, pamoja na ubaya wa sura zao, bado wao ni wazuri sana katika maeneo mengine ya mwili ambayo wanaume na hata wanawake wengi huyapenda au kutamani kuwa nayo.
Wengi hawavai tu nguo hizi za kubana kwa sababu ni fasheni, la hasha, wengi hili ni kimbilio la udhaifu wao
TOA MAONI YAKO HAPA

CHANZO: Media Bar
 
Jamani mie ni mrefu sana sasa nikivaa nguo ndefu ndio kabisaa nakuwa kama jini, hivyo kuepuka ujini huu navaa nguo fupi.
sasa ulivyokuwa mrefu hivyo ukivaa nguo fupi si itaoneakna iko juu sana inapepea(kwenye mlingoti) kama bendera ya taifa?
mi naona ni bora uvae nguo ndefu.
 
ahahaa ya nini?
vimini vingine ni lazima uvae na chupi.

duh.png
 
Na wanaume mnavyovaaga kata k,
mnamaanisha huko mbele kuna mapungufu . . . so mnapalegeza nyuma ili kucompasate???
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom