Sababu Kuu za Wanawake Wengi Kuvaa Nguo fupi

Haya ni mawazo yaliyokita kwenye mfumo dume, kila kitu kina tazamwa kwa faida, hasara hisia za wanaume!!
kuzaa kwa mtu yeyote ni "statement" ya mvaaji jinsi anavyoona yeye.
Inanipa raha sana nikiwa kituo cha basi na kuona "wide variety" ya uvaaji (Mitindo, rangi, "fabrics" itis just amazingly beautiful!
Lazima tukatae kuwa kama korea ksk, china ya mao!!
Vaa, kuwa huru na mwili wako, furahia maisha
Mumeo anapenda uvae nguo fupi!? ili? kwani chumbani hakuoni??
 
KBM-unaonekana unafagilia makalio makubwa, sisi wengine ni waumini wa makalio ya useremala.

Sijawahi kuona wenye makalio makubwa wakiwa wawakilishi wa mashindano ya urembo
Ukitaka uone jinsi yalivyo na thamani anzisha mashindano ya hao watu uone inavyolipa
 
Eti.... kha watuache na vimini vyetu bhana, mi sijui iweje hata kama ningekuwa sina umbo na miguu ya kuvalia kimini, kweli ningevaa tu, i like kimini coz napendeza haswa hapo nimevaa na kokoko, wee....

kwanza manguo makubwa sio rafiki wa mazingira, na pia kiuchumi haishauriwi; kama waweza tumia sh 6,000 kwa mita moja ya kitambaa na ikatosha skirt kwanini utumie 12,000 kwa mita 2??? Hata kidini tunaambiwa tushare, so mimi navaa nguo ndogo ili nigawane na wasiovaa kabisa!
 
kwanza manguo makubwa sio rafiki wa mazingira, na pia kiuchumi haishauriwi; kama waweza tumia sh 6,000 kwa mita moja ya kitambaa na ikatosha skirt kwanini utumie 12,000 kwa mita 2??? Hata kidini tunaambiwa tushare, so mimi navaa nguo ndogo ili nigawane na wasiovaa kabisa!
mpendwa ni wewe kweliii????
ushaanguka tukusevuuu????
 
Niwaambie kitu!!!
Utamaduni wa mwafrika katika mavazi ni vimini(vibwaya, uwinda, upande mmoja wa kaniki nk)
Kuvaa nguo na kufunika mwili mzima kwa wanawake na wanaume ni utamaduni wa mashariki ya kati, ya mbali na ulaya.
Ulaya wakatamani sn utamaduni wetu wakaufanya wa kwao na kutuaminisha kuwa utamaduni wetu ni wa kishenzi. Sasa hv wao ndo wanavaa nguo fupi na waafrika tukivaa hivo tunaambiwa tunaiga wazungu. Mmhh ajabu eee!!!?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom