Sababu Kuu za Wanawake Wengi Kuvaa Nguo fupi

Tutake radhi.
Mie navaa nguo fupi kwamaana ndivyo anavyopenda mume wangu.
Umenigusa, mimi nitokapo na mke wangu nataka avae nguo fupi tu. Ndio ugonjwa wangu, hivyo sipendi mke wangu avae jigauni reefu afu tukiwa viwanja nibaki kudindishia wanawake wa pembeni. I love her more nikiwa naye katika hali hiyo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom