Sababu Kuu za Wanawake Wengi Kuvaa Nguo fupi

stunner_g

Member
Aug 13, 2015
73
0
mie sijui lakin nachukia sn wa dizain hizo hata YF nagombana nae na ukwel mnajichoresha,mfano naweza mtambua malaya bila hata kumkuta kazin kw mavazi tu,na baadhi ya viashiria ambavyo nikimuona binti anavyo,totaly anakua disqualified.
 

Illovo

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,436
2,000
anavaa nguo fupi mpaka anashindwa kukaa, izo dalili za watu wenye majini mahaba ya baharini, na ndo maana michepuko inawamaliza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom