Sababu gani zimekufanya ukawa single mpaka leo?

Sababu gani zimekufanya ukawa single mpaka leo?

nashangaa sana watu wanaonitongoza wanataka kunigegeda huwa nawachora tu .nitaishia tu kula hela zao kumamae zao .wamtombeee nani tena?
kwani na libido umeshaiondoa mwilini au! maana kama genye bado zinajireproduce lazima urudi kukitombesha tena hicho kidude no matter what.
 
Sema HUNA HELA TU tutakuelewa,tangu lini wadada wakachagua sura?,ukiwa una hela hata uwe mzee au huna mvuto watakuja wenyewe tu,huoni mzee mange kajivutia kifaa cha ukweli na kibichi na umri wote huo?
19d8861c03781fd68adbeca25d1b4970.jpg

Hapa unasemaje?,ni mvuto au hela?
duh..haya mkuu
 
Ndo ivo...mkuu ivi viumbe havifai kabsa ila kwa upande fulani namshkuru maana heee....engenifelisha form 4 ila nilijikubalisha na hatima yake nikatusua
kumbe mlikua bado wadogo?
 
Miss Chaga.mlaini Tu.uliona wapi mtate unashana na chai
 
Hivi inakuwaje mtu unakuwa single!!
wengine ishakua kama lifestyle either kwa sabab ya disappointment mtu alizopata alpokua na mpenz, ama biological factors
 
Back
Top Bottom