matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,585
- 15,366
Sababu...
1: Kuhofu uwezo wa mwanamke ni kuvunja katiba. Maana katiba inamtambua na nchi haingozwi kwa tahadhari za kitamaduni bali kikatiba.
2: Tunaowanawake waliowahi kushika vyeo zaidi ya rais. Getruda Mongera spika wa afrika, Mh Migiro katibu UN, lkn waliofanya vzri katika nafasi kubwa kitaifa. Mh Makinda etc.
3: Wanawake wengi sio weziwezi sana. Ukiangalia list ya wanaotuhumiwa kwa ufisadi asilimia kama 90 au pengine 100 ni wanaume.
4: Wanawake wengi wanahuruma. Sio makatili. Licha ya wao kuwa ndio wengi nchini lkn magerezani ni wachache sana. Hii ni fursa ya kuwajaribu.
5: Uongozi wa nchi sio uongozi wa nyumba. Nyumbani ndio kuna huyu mwanamke yule mwanaume. Nyumbani ndio mwanaume kichwa na mwanamke msaidizi mwenza ila ktk nchi wanasimama kama wananchi. Na tunaushahidi kuwa hata mama Yetu Mh Rais anapokuwa nyumbani anaheshima zote za mama wa nyumbani na bado majukumu yake anatekeleza.
6: Wanawake ni wasikivu na wepesi kutekeleza na kuelekezeka. Pia nchi yetu wanawake wengi ambao wameshika nafasi za juu huwa ni wanyenyekevu, hawana madoido, wanavaa kwa nidhamu zaidi hawana sera za kibeberu za usawa katika familia. Hawa ni fursa makini tuliojiandalia.
Hivyo napendekeza tuache kuishi kimazoea,kitamaduni au kijima tuishi kikatiba. Napendekeza mdada au mmama mwenye utashi mkubwa awe makamu wa rais miaka hii 4.
Pamoja na sifa hizo njema kikatiba sisikii mwnamke akiwekwa kwenye fununu kumsaidia Mh Rais Samia.
Tunao wengi sana:

- Ummy
- Mghwila
- Tulia
- Joketi (Binti)
- Migiro