Saaa sita na robo KOMBE limeelekea na ndege MOROCO tuwatakie vijana usiku mwema na safari njema kwa KAZI nzuri pls.....

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
Habari za uhakika
Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani

Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege

KWA KAZI nzuri waliyofanya

Naomba usilale bila KUWATAKIA heriiii na safarii njema vijana wetu WA BERKANE wafike salama Mungu awaongoze
 
Kila la kheri kwao Berkane wafike salama huko Morocco na wakatambe na kombe lao.

Kila la kheri kwa Simba, warudi Dar kuendelea na match za michuano mingine wanayo shiriki.

Tukutane msimu ujao ktk CAFCL.
 
Dudukwee hujajala?
Nalalajee mkuuu Niko bar nilikuwa nawasiliana na tower mpaka KOMBE limenyanyuka kidogo na amani na kesho nimejiwekea mapumzikoo mkuu kwa kweli NAONDOKA saa TISA hapa smart banana karibu sana

Na saa sita Niko huko tenaa kysherehekea NDUGU zetu WA berkane
 
Kila la kheri kwao Berkane wafike salama huko Morocco na wakatambe na kombe lao.

Kila la kheri kwa Simba, warudi Dar kuendelea na match za michuano mingine wanayo shiriki.

Tukutane msimu ujao ktk CAFCL.
Warudi kujifungua tu mkuu
 
Attachments

  • IMG-20250526-WA0000.jpg
    IMG-20250526-WA0000.jpg
    48 KB · Views: 11
Kila la kheri kwao Berkane wafike salama huko Morocco na wakatambe na kombe lao.

Kila la kheri kwa Simba, warudi Dar kuendelea na match za michuano mingine wanayo shiriki.

Tukutane msimu ujao ktk CAFCL.
Mkuu NIULIZIE haka karatiba kama bado apple pale niwape sapoti

Ratiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili

1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar

2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es Salaam na Kufikia Ikulu ya Rais Samia Suluu Hassan

3. Jumanne Hiyo Hiyo Kombe litaelekea Makao Makuu ya Msimbazi na Kulala Hapo Hapo na Mkesha Mkubwa Mnooooo

4. Jumatano Kombe litaelekea Bungeni Dodoma

5. Alihamisi Kombe litaelekea Chato Kwa Hayati John Pombe Magufuri

6. Ijumaaa Kombe litalejea Dar es Salaam. na Kupelekwa Makao Makuu ya TFF. Kisha Kulejea Msimbazi Kusubili Ratiba zingine

NA HUU NDO UBAYA UBWELA WETU MSIMU HUUU 🔥🔥💪
 
NILIOGOPA SANA KUSIKIA MNAKATA RUFAAAA NKASEMA HAWA JAMAA HAWACHELEWI KULIZUIA KOMBE UWANJA WA NDEGE LISIONDOKE MPAKA WAJIBIWE

SO NINA MARAFIKI KADHA TOWER HAWKAUNIANGUSHA MKUU IMENYANYUKA PYUUUI MKUU NKABADILI NA KINYWAJI TOKA SAFARI NA SASA NAKUNYWA DOMPO NINEMKARIBISHA MWAMBA MMOJA SEMA ANA SPEED ANAMIMINA KAMA ANAKUNYWA SMARTGIN SIJUI ANAJUA BEI YAHII WINE ANYWAY

FURAHA YANGU MZIGO UNETUTOKA TAYARI

NAWATAKIA RUFAA NJEMAA HAHAHA
 
KUpata kichekesho kama hiki

Andika

Azizi ki SOUTHAFRICA KWENDA no 156788
 
Agegoooo kho fana na Jesuuuuu

X 3

Ageegooo kofanaaaa naeehhhh

Dj nipe huu wimbooo nikimimina kawine KANGU kabaridiiiiiiiiiiiiiii..

Wasiojua maanake

NTarudi baadae subirini KOMBE litueee morocco
 
Neno Moja kwa mangungu
Naanza
Hapo Mangungu alikuwa anatafuta upenyo aliibe😆😂...
 
Attachments

  • IMG-20250526-WA0001.jpg
    IMG-20250526-WA0001.jpg
    50.3 KB · Views: 15
Wanthimbaaaaaaaaaaaa
 
Attachments

  • IMG-20250526-WA0002.jpg
    IMG-20250526-WA0002.jpg
    46.4 KB · Views: 10
Mkuu NIULIZIE haka karatiba kama bado apple pale niwape sapoti

Ratiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili

1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar

2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es Salaam na Kufikia Ikulu ya Rais Samia Suluu Hassan

3. Jumanne Hiyo Hiyo Kombe litaelekea Makao Makuu ya Msimbazi na Kulala Hapo Hapo na Mkesha Mkubwa Mnooooo

4. Jumatano Kombe litaelekea Bungeni Dodoma

5. Alihamisi Kombe litaelekea Chato Kwa Hayati John Pombe Magufuri

6. Ijumaaa Kombe litalejea Dar es Salaam. na Kupelekwa Makao Makuu ya TFF. Kisha Kulejea Msimbazi Kusubili Ratiba zingine

NA HUU NDO UBAYA UBWELA WETU MSIMU HUUU 🔥🔥💪
Ntoto hajazaliwa.....ada imeshalipwa hadi University......usitukane mambaaa.....
 
Habari za uhakika
Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani

Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege

KWA KAZI nzuri waliyofanya

Naomba usilale bila KUWATAKIA heriiii na safarii njema vijana wetu WA BERKANE wafike salama Mungu awaongoze
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
Screenshot_2025-05-18-12-05-22-14_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
23. Kamdomo SC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom