FB_IMGVijana wa sasa hv JF mnailetea dharau sana,hili swali ungelipeleka Facebook kama picha ulikoitolea na atakayekujibu hili swali tutamfatilia
Duh 🙄Daah basi tumechoka aisee mtumba unatoka Zambia pesa ya Zambia kwatcha hiyo..
Kwatcha 1000 na hiyo 500 ni hela ya maji ya kandoro Zambia bado wanauziana..
Kama laki mbili na 10 kwa tshNaomba kuuliza hapa napata bei gani kwa pesa za kitanzabnia nimenunua surual ya mtumba ninepata hii hela
Acha basiNakumbuka nilikuwa nazo kwacha 8000 kama hizo nikagawa kwacha 4000 nikabaki na 4000, nilikaa nazo kwenye waleti kama miaka 2 siku moja nimeenda Sinza nikakutana na bango la bureau nikabadilisha nikapata 800,000
Mtumba ulitoka Malawi au Zambia🤣🤣Naomba kuuliza hapa napata bei gani kwa pesa za kitanzabnia nimenunua surual ya mtumba ninepata hii hela
Hiyo ni ya mwaka gani kwanza?Acha basi