Saa inatakiwa kuvaliwa mkono gani?

Saa inatakiwa kuvaliwa mkono gani?

Halafu mie sipendi mtu unaulizwa kwa kiswahili halafu unajibu.kwa kiingereza cha kuchanganya na kachumbali
 
Saa inaweza kuvaliwa kwenye mkono wowote ule kati ya wa kushoto na wa kulia.

Hakuna sheria, andiko, wala agizo linalosema ni lazima ivaliwe mkono fulani na ni marufuku kuvaliwa mkono fulani.

Umeinunua kwa hela zako mwenyewe (au hata kama umepewa zawadi) na kuivaa mkono gani ni uamuzi wako mwenyewe.

Kwamba ni lazima ivaliwe mkono wa kushoto ni mambo ya kukariri tu!
 
Tunavalia saa mkono wa kushoto (logic) kwa sababu kwanza iwe rahisi kuona mda wakati unaandika na pia mkono wa kushoto hauna movements nyingi kama mkono wa kulia. Hivyo kuifanya saa idumu miaka mingi and that's the fact

Kuna wengine hio kuandikia mkono wa kulia na kuwa active mkono wa kulia pia kunafanya iwe rahisi kwao kuanglia muda wakiwa wamevaa saa mkono huohuo wa kulia. Ni kujizoesha tu
 
What Wrist Should You Wear Your Watch On? An Inside Look At How Celebrities Do It

It has been traditionally known that right handed individuals should wear their watches on their left wrist, while left handed individuals should wear their watches on their right wrist.

Although this norm is generally followed by today’s most popular celebrities, there are some that don’t follow this historical rule of thumb. Let’s take a look at a few who don’t:

EZ-ufiz0hIJ8mVBJZTFO0637ZLKlAZWbNETvOkTb3EmUhROcwUin4oMgsZ3zja_yLpKX_-1p_VG13OURZ8RteOeXUkHfNt1lmJabAVPs_RtWaTwwh4Zo7DsTmpMsXA

Jessica Simpson
Right handed, and wears her watches on her right wrist.


tzpslz0TyrKzEZGFrJtq8pibINV31sjKrmAC_20VVE_zuK4wOKlXYzGTE93u6Aez8C-4572O5MqEZPbnxa7pEpn4eyJSMWKIx-gNs1yI_Inju86mnQaewKuLGX_gHQ

President Obama
Left handed, and wears his watches on his left wrist.



LTK_VpM5vaOe2NZvJkGq7wObQk_LxxUxBpuYpzzRF06sQ5IdPg3krL7r1Yl-n7EydFjwz2-0rjrp4QoDMF_JuSSllmVD4KRbRBYMpyYSRFE9LMewTE4z37qLrvMjPg

Gordon Ramsay (Hell’s Kitchen Star)
Left handed, and wears his watches on his left wrist.


These are a few of the celebrities who wear their watches on the same wrist as their dominant hand. Although it’s pure speculation, why do these celebrities chose to do this? Is it a comfort choice? An attempt to be different?

From a fashion perspective, do you think this historical norm should be followed?

Lastly, what wrist do you wear your watch on?


 
Saa vaa mkono wowote....Right, wrong, left!!!! Provided its ur hand!!
 
Jamaa yangu anatumia mkono wa kushoto na saa anavaa mkono wa kulia. Wengi tunavaa mkono wa kushoto kwa kuwa huu mkono haupo active kwa wengi wetu. All in all, hakuna kanuni ni wapi saa inapashwa ivaliwe, wengine wanavaa kama mkufu.

Tiba
 
mi ni right handed na navaa saa mkono wa kulia kwani ni rahisi kwangu kuinua na kucheki muda pia nakua cimfortable sana nikivaa saa mkono wa kulia!
 
uzi za kizungu zinanimixigi napita tu
 
Saa unavaa mkono wowote unaojisikia ata ukivaa mguuni ni sawa wengi huvaa saa kama pambo
pozzyfaza hii avatar yako imenichezea akili kidogo....nadhani wanaotumia mobile app watakuwa wamenisoma.

Anyway nilijua ni mdudu anapita kwenye screen...kumbinya habinyiki! Kuja kugundua asee...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom