Saa inatakiwa kuvaliwa mkono gani?

Saa inatakiwa kuvaliwa mkono gani?

Mkono wa kulia no sahihi zaidi kwa mwanaume....
 
Mm vitu kama saa, blingbling,pete,etc mwilini mwangu ni kama uchafu tu na kubeba mizigo bila malipo!
 
attachment.php

Hapo ukiangalia kwa makini unaona JK amevaa saa mkono wa kulia na Kenyatta amevaa wa kushoto.

Yupi yupo sahihi?

JK II from Tzee yuko sahihi 100%
 
saa inavaliwa mkono wowote, mi navaa mkono wa kulia.
 
Mimi pia navaa mkono wa kulia
Sawa ni matakwa yako...lakini kule 10 Downing street na Paris na Berlin wanavaa mkono wa kushoto na pia hawafungi tai siku za jumamosi asubuhi huwa pia wanavaa viatu vyeusi na suti.NEVER EVER kuvaa viatu vya brown na Suit
 
Sheria umeitoa wap?
 
Inategemea na thamani ya Saa
Sie wa zile za Manzese na kariakoo za Buku tatu au mbili jero kama ya Kenyata tunavaa kushoto,maana hata ukikaa kwenye gari unamuachia kibaka mkono wa kuiba kisha kesho unatoa buku tatu unanunua nyingine.

Wale wenye ma Platinumz watch wao wanavaa kulia,we madini umeona wapi yakavaliwa kushoto mazeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom