Saa 6 usiku inatumika

Amesha kwambia alikuwa anaongea na dada yake, amini hivyo na muendelee na maisha.
 
Huna ushahidi kwahiyo ukimchukulia hatua yoyote utakuwa unafanya kosa,ndio maana maswala ya mapenzi ni mabaya sana kujikita ukiwa na umri mdogo kwani kuna mambo mengi yanaweza kufanyika bila ya wewe kujua au kuwepo,hivyo kinachotakiwa nyakati nyingine unatakiwa uwe mpole tu...
 
Chief,kama ulimkuta na simu ana haki ya kuongea na yoyote muda wowote or else mtafutie namba na simu ambayo itakuwa special kwa ajili ya mawasiliano baina yenu pekee.
 
Unawakilisha wanaume ambao busara ya mahusiano imeapa kutoingia kwao
 
Anaweza badilisha jina la mshikaji akaandika 'dada' kisha akakutumia hayo mascreenshot unayotaka na usiambulie kitu....Jamaa, nenda kidimbwi kuna muhuni kakualika kale monde..Ya ngoswe muachie ngoswe.
 
Ana umri gani kwanza tuanzie hapo
 
Dogo acha usenge..piga chini mapema hiyo nguruwe..hakuna mpenzi wako hapo ila.kuna demu wa masela...ukiendelea kukomaa nae atakudharirisha.
Mwisho na muhimu tafuta pesa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuchunguza Sana ni kujitakia kifo cha mapema kwanini usiamini tu ni dadake walikuwa wanaongea nae.ukianza kupata BP usije sema hatukukuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…