kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Nashkur mkuuAchana Naye Huyo Ajifunze Akili Ikae Sawa Sawa
Hatufi ila cha moto tunakiona.Stress za mapenzi zitakuja kuwauwa. Mtu hata hujamtolea mahari, kwao hujulikani, still unataka kumuendesha. Kama haelewi bila kutumia nguvu, basi pigs chini. Ila ukijifanya CIA au FBI utakuja kufa kwa stress.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mambo Ya NibembelezeNashkur mkuu
Kijana wa makamo hap mkuuUna umri gani mkuu?
Ukinipa jibu then nitakua na chance ya kukujibu vizuri zaidi
Anzaa anzaa kuagiza me nikija nalipia tuNjo kidimbwi tupate bia mkuu usahau stress
Zingatia ushauri huu, usijifanye unajua kupenda sana just relax.Stress za mapenzi zitakuja kuwauwa. Mtu hata hujamtolea mahari, kwao hujulikani, still unataka kumuendesha. Kama haelewi bila kutumia nguvu, basi pigs chini. Ila ukijifanya CIA au FBI utakuja kufa kwa stress.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app