Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

Halafu bado mnashauri kuharakishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki inayojumuisha Rwanda. Ningekuwa Rais wa TZ ningefunga ubalozi wa TZ kule Rwanda.
Rwanda haijakataa ubalozi na Tanzania, imemkataa mtu binafsi kwa ajili ya sababu walizozitoa na ina uhuru wa kufanya hivyo. Tatizo lenu Wabongo ni kulalamikia kila jambo hata la kimsingi.
CC: kadoda11 Geza Ulole Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Kitendo cha kujua kuwa Mtanzania huyu ni jasusi yule siyo, maana yake anajua mambo yetu nje ndani. Unafikiri tuko salama hapo? Mtikila alishasema Kagame kachomeka vijana elfu 30 serikalini mkampuuza, hayo ndo matokeo yake sasa.

CIA wanawafamu ninyi hata zaidi ya mnavyojifahamu, hivyo sio jambo geni.
 
A very poor judgement my brother! A spy who has raised to such a high position should not be a threat to the country. An ambassador, in this case, can't be feared just because his background has a connection with intelligence services. How many ministers and other high ranked officials have such connections being Tanzanians or Rwandese and are openly known by the systems of the two countries. Where on earth you can find an embassy which has no intelligence officers among its staff? This is a poor and uninformed intelligence entity which influenced such a decision. He is an ambassador not informer! Come on guys.
Aah we usitudanye, rank haiwezi kumzuia jasusi aliyekubuhu kufanya kaze yake. Kilichofanyika ni kuwa tulipolalia ndo kagame kaamukia. Lazima kama nchi tujipange, tuupitie waraka wa Mtikila, tutajua ni wapi tulipokosea. Vinginevyo, itakula pande yetu.
 
Tanzania tuna mashushushu wengi. Si ateuliwe mwengine tu kimyakimya aende akalinde maslahi yetu?

Mashushushu Walikuwepo Miaka Ya 60,70,80 Na Wakaishia Mwaka Wa 90 Hapo na Tangia Hapo hadi Leo Huna Effective Intelligence Agency Zaidi Tu Ya Kupeana Ajira Za Vimemo, Kujuana na Pasipo na Hata Vetting Kwa Mlengwa na Kikubwa Zaidi Vijana Wenu Wa Siku Hizi Wa TISS Wamejaa Misifa, Ushamba Na Hawana hata Maadili Ya Kikazi. Nimezaliwa Humo, Nimekulia Humo na Napajua Kindaki Ndaki Na Wanapokosea tu Ni ktk Suala Zima La Maadili. Ukiachilia Mbali PSU na Kidogo Watu wa Operation Hawa Ndiyo Wana Fanya Kazi Kwa Ueledi Wao na Nawasifu ila Wale Wa Mtaa Wa MKULIMA Makaburini Kino Clain Alipozikiwa Kanumba Ndiyo Bure Kabisa Na Kazi Yao Ni Kujisifia, Kulewa Hovyo na Kubadilisha Magari Kiufahari na Msiojua Ndiyo ktk Ofisi au Idara Hiyo Hiyo PK Anapata Data Zote Nyeti Za Tz. NAMALIZIA TU Kusema Kama Jeshi La Polisi tu Pekee Wamegundulika Askari Zaidi Ya 200 Waliofoji Credentials Zao Hivi Unadhani Huko TISS, JWTZ na Hata PCCB Uozo Huu Haupo? Je ktk Hali Kama Hii Kuna Usalama Hapo? Tuna Uhakika Gani Hao Wanaoingia Na Vyeti Vya Kughushi Siyo Spies Wa Nchi Adui Zetu? Kunahitajika Reform Ya Hali Ya Juu Sana ktk Majeshi Yetu Ya Ulinzi na Usalama Otherwise Nijuavyo Ni Kwamba Tuko UCHI Mno Mbele Ya Rwanda Na Uganda Kiusalama.
 
CIA wanawafamu ninyi hata zaidi ya mnavyojifahamu, hivyo sio jambo geni.
Marekani kutufahamu haina ubishi ila hiyo isiwe sababu ya kuhalalisha hata kaanchi kadogo kama wilaya ya kisarawe pia katuhafahamu mpaka uvunguni.
 
Kitendo cha kujua kuwa Mtanzania huyu ni jasusi yule siyo, maana yake anajua mambo yetu nje ndani. Unafikiri tuko salama hapo? Mtikila alishasema Kagame kachomeka vijana elfu 30 serikalini mkampuuza, hayo ndo matokeo yake sasa.

Hakuna nchi duniani isiyojua mambo ya nchi nyingine. Hata Tanzania inaijua Rwanda nje ndani. Ni kiasi cha kuchukua toka kwa watu wetu waliopo Rwanda toka miaka ya uhuru na wengine utawakuta kama wakulima tu kule. Au vijana wetu wanaweza kukaa na kina Nyamwasa tu na watu wanapata data zote! Leo hii Edo Snowden ambaye ana 70% ya siri za US yupo Russia anapiga story nao. Nchi huwa zinazidiana ujanja tu lakini usikae ukasema oh Rwanda inaijua sana tz oh bra bra na ujinga mwingine wa kutojua intelijensia za kimataifa tu!
 
Mashushushu Walikuwepo Miaka Ya 60,70,80 Na Wakaishia Mwaka Wa 90 Hapo na Tangia Hapo hadi Leo Huna Effective Intelligence Agency Zaidi Tu Ya Kupeana Ajira Za Vimemo, Kujuana na Pasipo na Hata Vetting Kwa Mlengwa na Kikubwa Zaidi Vijana Wenu Wa Siku Hizi Wa TISS Wamejaa Misifa, Ushamba Na Hawana hata Maadili Ya Kikazi. Nimezaliwa Humo, Nimekulia Humo na Napajua Kindaki Ndaki Na Wanapokosea tu Ni ktk Suala Zima La Maadili. Ukiachilia Mbali PSU na Kidogo Watu wa Operation Hawa Ndiyo Wana Fanya Kazi Kwa Ueledi Wao na Nawasifu ila Wale Wa Mtaa Wa MKULIMA Makaburini Kino Clain Alipozikiwa Kanumba Ndiyo Bure Kabisa Na Kazi Yao Ni Kujisifia, Kulewa Hovyo na Kubadilisha Magari Kiufahari na Msiojua Ndiyo ktk Ofisi au Idara Hiyo Hiyo PK Anapata Data Zote Nyeti Za Tz. NAMALIZIA TU Kusema Kama Jeshi La Polisi tu Pekee Wamegundulika Askari Zaidi Ya 200 Waliofoji Credentials Zao Hivi Unadhani Huko TISS, JWTZ na Hata PCCB Uozo Huu Haupo? Je ktk Hali Kama Hii Kuna Usalama Hapo? Tuna Uhakika Gani Hao Wanaoingia Na Vyeti Vya Kughushi Siyo Spies Wa Nchi Adui Zetu? Kunahitajika Reform Ya Hali Ya Juu Sana ktk Majeshi Yetu Ya Ulinzi na Usalama Otherwise Nijuavyo Ni Kwamba Tuko UCHI Mno Mbele Ya Rwanda Na Uganda Kiusalama.
Akili zako nyingi na za kiusalama. Kama ningekuwa nahusika na ku-recruit wa-TISS, hakika ningeku-pm nikupe kazi mara moja.
 
poor kagame

Poor kagame au poor DHAIFU? Mkiwa na mtawala ambaye ni msanii, jamii nzima inaishi kwa fikira za kisaniisanii. Hii ndiyo tanganyika ya JK. Tunaishi maisha ya kiswahiliswahili, umbeyaumbeya, u-snitch halafu tunakuwa watu wa kwanza kulalama.
 
Hakuna nchi duniani isiyojua mambo ya nchi nyingine. Hata Tanzania inaijua Rwanda nje ndani. Ni kiasi cha kuchukua toka kwa watu wetu waliopo Rwanda toka miaka ya uhuru na wengine utawakuta kama wakulima tu kule. Au vijana wetu wanaweza kukaa na kina Nyamwasa tu na watu wanapata data zote! Leo hii Edo Snowden ambaye ana 70% ya siri za US yupo Russia anapiga story nao. Nchi huwa zinazidiana ujanja tu lakini usikae ukasema oh Rwanda inaijua sana tz oh bra bra na ujinga mwingine wa kutojua intelijensia za kimataifa tu!
Kwa hiyo kwa akili yako Nyamwasa bado anaweza kuwa reliable source kwa mtu anayetaka habari za kiuslama za Rwanda? Au Snowden kwa marekani? Hapo utakuwa unatafuta kujua historia ya mambo yao ya usalama ila siyo habari zenyewe. Kama ndiyo hivyo intelegensia za kimataifa zinafanya kazi sina hata haja ya kujua.
 
jidanganyeni, watanzania hatuna historia ya kuingia vitani tukiwa na silaha kali sana. Uzalendo na umoja wetu dhidi ya adui ndiyo siri kubwa ya ushindi wetu.
kunta na wewe usijidanganye, huo uzalendo na umoja viluwepo zamani, kwa sasa tunaishi navyo kama imani tu, uzalendo gani ktk hali ngumu kama hii, ikitokea kikanuka utalikumbuka hili.
 
A very poor judgement my brother! A spy who has raised to such a high position should not be a threat to the country. An ambassador, in this case, can't be feared just because his background has a connection with intelligence services. How many ministers and other high ranked officials have such connections being Tanzanians or Rwandese and are openly known by the systems of the two countries. Where on earth you can find an embassy which has no intelligence officers among its staff? This is a poor and uninformed intelligence entity which influenced such a decision. He is an ambassador not informer! Come on guys.

excellent post!....thank you.!
 
............. Kama Jeshi La Polisi tu Pekee Wamegundulika Askari Zaidi Ya 200 Waliofoji Credentials Zao Hivi Unadhani Huko TISS, JWTZ na Hata PCCB Uozo Huu Haupo? Je ktk Hali Kama Hii Kuna Usalama Hapo? Tuna Uhakika Gani Hao Wanaoingia Na Vyeti Vya Kughushi Siyo Spies Wa Nchi Adui Zetu? Kunahitajika Reform Ya Hali Ya Juu Sana ktk Majeshi Yetu Ya Ulinzi na Usalama ........

Very true!.....something need to be done......tena haraka....ni hatari sana kukuta umetekwa bila kujijua.......vimemo vinatumaliza sana........
 
Hivi ulikua unajua moja ya sababu za m23 kupewa kipigo cha nguvu na kufurushwa kule DRC ni nini?. Fuatilia vyombo vya kimataifa mkuu upate mwanga kidogo.
Kwa hiyo kwa akili yako Nyamwasa bado anaweza kuwa reliable source kwa mtu anayetaka habari za kiuslama za Rwanda? Au Snowden kwa marekani? Hapo utakuwa unatafuta kujua historia ya mambo yao ya usalama ila siyo habari zenyewe. Kama ndiyo hivyo intelegensia za kimataifa zinafanya kazi sina hata haja ya kujua.
 
Vita Siyo Silaha tu Peke Yake na Uwezo Wa Mbinu, Mikakati na Mipango Pia. Iran Ina Jeshi Imara Sana Na Lenye Vifaa Kuu Kuu Vya Kijeshi Tena Kuliko Hata Vya Tanzania Lakini Kila Kukicha Anasumbuliwa Na Israel tena Yenye Ukubwa Kama Wilaya Nzima Ya Magu. Ningewaona Wa Maana Badala Ya Kupiga Mkwara Humu Mngeishambulia tu Rwanda Kisha Muone Kilichomtoa Nyoka Pangoni. Huna Jeshi Imara La Kupigana Na RPF na Nakupa Kazi Ya Kufanya Ujasusi Wa Kutosha Wa Kulihusu Jeshi La Rwanda na Uwezo Wake Kisha Utanielewa Nilichokimaanisha Hapa Na Narudia Tena Kwa Msisitizo Kuwa HUNA JESHI IMARA LA KUPAMBANA na Taifa La Rwanda na Usidanganyike Na Yale Maonyesho na Kila Lifanyikalo hapa Mwanamume PK Anajulishwa na Kwa Taarifa Yako tu Kuna Principle wa Chuo Chenu Nyeti hapa Tanzania Anampa PK Data Zote za Tz na Mwakani Mwezi wa 5 au wa 7 Anastaafu Rasmi na Anakwenda Kuishi Kigali Kwa Kazi Maalum Ambayo Tayari PK Ameshamwandalia Kwani PK Anamjua Tokea Kipindi Kile Cha Miaka Ya 80 Alipokuwa Anafanya Kazi Maalum ktk Idara Yenu Ya TISS Chini Ya Hayati Kifimbo na Alikuwa Anaishi ktk Nyumba Mbili Oysterbay Moja Ilikuwa Mtaa Wa MKADINI na Nyingine Karibia Na Kilima NYEGE. Nimeamua Kukutolea Uvivu Wewe na Wapuuzi Wenzako Wengine Mnaokurupuka Kushupalia Kuzichapa Na PK........................NIMEMALIZA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Cku zote nina wasiwasi na uzalendo wako kama sio uraia wako kabisa,unawezaje kum-praise adui wa nchi yako to that extent? Yaani cjui nisemeje ila in short umenikera sana mimi kama Mzalendo wa nchi hii..! Shame on you...njo nakusubiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom