Rwanda yaishambulia ndege ya kivita ya DR Congo

Rwanda yaishambulia ndege ya kivita ya DR Congo

Hawa jamaa wana kila dalili ya kuchapana...

Halafu sijui kwa nini tuliwaalika kwenye EAC, na sasa hata Somalia naye yu mbioni kupewa uanachama...
 
Hawa jamaa wana kila dalili ya kuchapana...

Halafu sijui kwa nini tuliwaalika kwenye EAC, na sasa hata Somalia naye yu mbioni kupewa uanachama...
Mkorofi anajulikana ni kazi kwa wanajumuia kum eliminate ili hali iwe shwari.
 
Ile ya Kagera?

Ile ni fujo tu kama zengwe la waandamanaji wakiamua kukiamsha na juhudi za polisi kutuliza ghasia zikielemewa

Nchi iliyopigana vita, ukiwaambia ile ya Kagera ni vita watashangaa

Watajua neno vita kikwenu lina maana tofauti na wao wanayoijua
Kwa miaka ile nisawa mkuu, ila kwa sasahivi hatuitaji kuwa kama tulivyo kuwa miakaile.
Sasahivi tupo vizuri kupita maelezo mkuu asikuambie mtu.
 
Ile ya Kagera?

Ile ni fujo tu kama zengwe la waandamanaji wakiamua kukiamsha na juhudi za polisi kutuliza ghasia zikielemewa

Nchi iliyopigana vita, ukiwaambia ile ya Kagera ni vita watashangaa

Watajua neno vita kikwenu lina maana tofauti na wao wanayoijua
Uliiona wapi Vita ya kagera!?
 
kuna mda huwa naangaliaga documentary za Rwanda/ Congo / sierra leone Liberia
vita ni mbaya mno, maana inakukuta kwenye ardhi yako mwenyewe huna pa kwenda, wanaoteseka sana ni wanawake/watoto na wazee wanauwawa sana
pia inaacha majeraha na mwili na roho ambayo kuponyeka ni changamoto.. unakuta wamevamia mahala wanachinja mpaka watoto daah !!! Wanasokomeza mikuki sehemu za siri inatokea mdomoni
yani kwakweli Mungu awanusuru! ingekua kama mkoloni vita ina battle field aah tungeacha watu watunishiane misuli
Ni kweli kabisa, ubaya wa hii vita italenga raia sana, ingekuwa kama za Russia tungeshabikia

Ila hawa jamaa lazima watapigana tu
 
Kwani kwa.mfano: ndege ya Rwanda ika-violate aisrpace ya Tz inatakiwa ipigwe ikiwa ndani ya airspace ya Tz au hata ikishatoka kwny airspace ya Tz na ikaingia airspace ya Rwanda bado itapigwa tu?
Ndege vita itapigwa tu pale endapo itaingia kwenye anga la adui/nchi nyingine bila taarifa yoyote kwa mamlaka husika, lakini ikiwa mpakani ndani ya eneo la nchi yake haitapigwa ila ikivuka mpaka itaonywa tu kwanza mara tu kwa malalamiko ya njia kadhaa za mawasiliano
 
Vita ikianza tu ndio mwisho wa Kagame maana yale makundi pinzani yaliopo yatarudi kwa kasi ya Falcon tumbusi kumpindua nae nahisi anahisi hivyo anatetemeka mno mzee anakonda tu tu daah
 
Zipigwe. Mashirika ya wakimbizi karibu yanafungwa huko kigoma, zipigwe ili watanzania wengi waendelee na ajira kwenye mashirika ya wakimbizi.
 
Kwa miaka ile nisawa mkuu, ila kwa sasahivi hatuitaji kuwa kama tulivyo kuwa miakaile.
Sasahivi tupo vizuri kupita maelezo mkuu asikuambie mtu.
Unaangaliaga maonyesho ya silaha ya JW,kipindi cha sherehe za uhuru?
Lishauri jeshi.
 
Hivi mnazijua vita!! TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA VURUGU NA VITA. Vita Rais anapata nafasi ya kutoroka na ndege usema hiyo ni vita!!.
Vita ni zile unasikia"anga ya nchi ya nchi fulani imefungwa, manwali na ma- Aircraft carrier yanasogezwa kwenye Pwani yako".

Maraisi wote waliowahi pigana vita wakashindwa walizikimbia nchi zao kwa mguu si hata Baiskari.
Rais anaogopa hata kupanda Baiskari anahisi inaweza kuwa detected na maadui.

Vita ni hii kama ya Ukraine. Vita zimepiganwa na akina Sadam Hussein akina Hitler, akina Musolin.
Sadamu hussein akianza simulia vita tega sikio umsikilize kwa umakini si Nyerere ama Amin.
Amin anaondoka nchini kwake huku anawasiliana na washikaji zake hadi wanamuandalia sehemu ya kufikia lakini Sadamu hussein hata simu hakutaka kuisogelea kwa hofu ya kudukuliwa ikabidi akaeshimoni.
Tanzania tuliwai kuwa na Vurugu na Uganda na si vita.
Mabomu ya mbagala na gongo la mboto yote yalinikuta nikiwa dar, nikiwa naishi mbagala mwaka 2009 mabomu ya mbagala yakiripuka.

Kama masaa mawili tu hali ilikuwa vile, tuombe Mungu vita vituepuke. Sasa yale ni machuma chuma tu ya miaka ya 70 huko enzi za Vita ya Kagera, ya miaka 90 au 2000 itakuwa ni moto mwingine.

Vita ni hatari maana hata askar mwenyewe anaogopa kuingia vitani.
 
Ndege vita itapigwa tu pale endapo itaingia kwenye anga la adui/nchi nyingine bila taarifa yoyote kwa mamlaka husika, lakini ikiwa mpakani ndani ya eneo la nchi yake haitapigwa ila ikivuka mpaka itaonywa tu kwanza mara tu kwa malalamiko ya njia kadhaa za mawasiliano
Basi kumbe wamewavumilia Sana,Maana walishawaonya Mara 2.
 
Kuna wengine WANASEMA hiyo air defense system in ya kirusi , na missile imegundua kuwa jet ni yakirusi kwa hio imezuia kuangusha sasa sijajua sijuibni kweli.
Ila hio manpad ni ya kichoko hedge hio ilikuwa karibu sana tena sana.
Hata MITA 200 haikufika ilikuwa inatua uwanja wa ndege wa goma.
Rwanda hana uhusiano mzuri na Urusi.. Hawana shabaha tu[emoji23][emoji23]
 
Ndege ijaingia air space ya rwanda ilikuwa Goma mama ivan sawa.
missile hio ilitoka rwanda sio ndani ya congo
Kwa mujibu wa flight tracking michoro inaonyesha ndege iliingia kwenye anga la rwanda lakini ni upande wa ziwani tena kipande kidogo wakati inafanya turning ili iweze kutua uwanjani, lakini picha za video zinaonyesha warwanda wanaishambulia ndege wakati tayari ipo upande wa [emoji1078] ikielekea kutua uwanjani, tolu mkorofi sana
 
Kagame anajiona mbabe wa East Africa ajaribu kujifunza kwa Putin, usimdharau mtu hata kama unamuona ni mnyonge maana siku akiamua kukiwasha utajuta.

Askar wa Ukraine wanapambana kwa morali kuilinda nchi Yao ila askar wa Urusi wanapambana kwa kulazimishwa ili kulinda hadhi ya Putin
Sina hakika na unachozungumza
 
Mkuu kaa chini tafuta watu wakuelezee, vijana wametawanywa kila corner ya Dunia hii kusaka maarifa, tupo vizuri kuliko unavyoweza kufikiria.
Tell them hii ni nchi sio kijiji mambo ulinzi n usalama wa nchi ni jambo la siri sio lazima na yeye ajue so akitaka kujua atafute watu wampatie kikao hatoamini.
 
Ndege imepigwa ikiwa inatua Goma. Note uwanja wa ndege wa Goma uko mpakani.
Rwanda wanasema ndege ilikuwa ndani ya Rwanda, na sio mara ya kwanza Rwanda alimwonya DRC aache mchezo wake wa kuingiza ndege za kivita kwenye anga lake, hii ilikuwa mara ya tatu, DRC kapata alichokuwa anatafuta na ana bahati haikuwa majivu lakini sijui kama itaruka tena, hizo ndege ni mamilioni ya dollar na unauziwa bila maintenance likiharibika unanunua mpya and no negotiations, akili za Congolese anamtishia Kagame kaishia hasara ya mamilioni ya dollar
 
Back
Top Bottom