Rwanda yaishambulia ndege ya kivita ya DR Congo

Rwanda yaishambulia ndege ya kivita ya DR Congo

Ilaa wamempandaa sana kagame kichwanii naona hii ndo yale ya Uganda kuitaka Kagera iwe sehemu ya nchi yaoo.. Congo anataka kuichukua rwandaa dalili zote zipo waziii ubayaa Uongozi wa EAST AFRICA sioni kama unakemea kwa nguvu yanayoendeleaa sasa mbona hizo ndege za kivita hazipitishi anga la Tanzania kama ni bahati mbayaaa.. Congo anajua anachokitaka so anampima rwanda soon kitawakaa
 
Hivi mnazijua vita!! TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA VURUGU NA VITA. Vita Rais anapata nafasi ya kutoroka na ndege usema hiyo ni vita!!.
Vita ni zile unasikia"anga ya nchi ya nchi fulani imefungwa, manwali na ma- Aircraft carrier yanasogezwa kwenye Pwani yako".

Maraisi wote waliowahi pigana vita wakashindwa walizikimbia nchi zao kwa mguu si hata Baiskari.
Rais anaogopa hata kupanda Baiskari anahisi inaweza kuwa detected na maadui.

Vita ni hii kama ya Ukraine. Vita zimepiganwa na akina Sadam Hussein akina Hitler, akina Musolin.
Sadamu hussein akianza simulia vita tega sikio umsikilize kwa umakini si Nyerere ama Amin.
Amin anaondoka nchini kwake huku anawasiliana na washikaji zake hadi wanamuandalia sehemu ya kufikia lakini Sadamu hussein hata simu hakutaka kuisogelea kwa hofu ya kudukuliwa ikabidi akaeshimoni.
Tanzania tuliwai kuwa na Vurugu na Uganda na si vita.
Of course hata mimi ile ya Kagera sijawahi chukulia kama vita, ile ilikuwa fujo tu

Zile fujo watu wamezipa sana ukubwa zimekuwa zinaogofya kuliko hata vita yenyewe
 
Umeandika mapupu (hoja dhaifu)in short you are not machuwadi inafu

Vita vya Kagera Tanzania na Uganda
Ile ilikuwa Tanzania na Iddi Amini japo kulikuwa na waganda wengi waliokuwa upande wetu
 
Ubaya wa vita ni masikini ndio huteseka, kuna siku YouTube nimekuta video ya vita ya Zaire 1997 mtu kafariki maiti ipo nje chini alafu ndege anamdonoa sehemu za siri
kuna mda huwa naangaliaga documentary za Rwanda/ Congo / sierra leone Liberia
vita ni mbaya mno, maana inakukuta kwenye ardhi yako mwenyewe huna pa kwenda, wanaoteseka sana ni wanawake/watoto na wazee wanauwawa sana
pia inaacha majeraha na mwili na roho ambayo kuponyeka ni changamoto.. unakuta wamevamia mahala wanachinja mpaka watoto daah !!! Wanasokomeza mikuki sehemu za siri inatokea mdomoni
yani kwakweli Mungu awanusuru! ingekua kama mkoloni vita ina battle field aah tungeacha watu watunishiane misuli
 
WE Of course hata mimi ile ya Kagera sijawahi chukulia kama vita, ile ilikuwa fujo tu
Zile fujo watu wamezipa sana ukubwa zimekuwa zinaogofya kuliko hata vita yenyewe
We ya kagera umeiona wapi!?..Vita huwaje!?
 
WE Of course hata mimi ile ya Kagera sijawahi chukulia kama vita, ile ilikuwa fujo tu

We ya kagera umeiona wapi!?..Vita huwaje!?
Ile ya Kagera?

Ile ni fujo tu kama zengwe la waandamanaji wakiamua kukiamsha na juhudi za polisi kutuliza ghasia zikielemewa

Nchi iliyopigana vita, ukiwaambia ile ya Kagera ni vita watashangaa

Watajua neno vita kikwenu lina maana tofauti na wao wanayoijua
 
Back
Top Bottom