Rwanda yaishambulia ndege ya kivita ya DR Congo

Rwanda yaishambulia ndege ya kivita ya DR Congo

Ndege za DRC zina technology ya kuzuia makombora ? Maana naona damage sio kubwa na nikama matundu ya Risasi

Hii vita Tshikedi atumie ndege tu anaikalisha Rwanda
Nadhani angeweza kufanya hivyo angefanya zamani Saaana,zingekua Zina msaada hizo ndege Zingekua zimeshamaliza wahuni wa M23.Nategemea Congo itapiga kelele tu na haitarusha hata risasi 1.

Wacongo sijawahi kuwachukulia serious kwny Mambo yanayohitaji kua serious.
 
Ndege vita aina ya Sukhoi 25 ya DRC imeshambuliwa kwa missile direct from Rwanda. Ndege hii ilikua ndani ya anga ya DRC ikizunguka mjini Goma.

Bahati mbaya ama nzuri wakati wakishambulia kuna raia karekodi akiwa mpakani. Amerekodi louching site za Rwanda.

Ndege hiyo imefanikiwa kutua salama Mjini Goma ila inaonekana imepata madhara.

Sasa macho na masikio ni nini itakua majibu/reaction ya DRC.


View attachment 2494317View attachment 2494318View attachment 2494319


Au itakuwa ni yale MAWE YA UMEME
 
Binafsi na Afrika nzima inasubiri stance ya DRC. Mpira uko Kwao kuamua direction ya hili jambo.

Nakua Sasa diplomacy kubwa inatumika. Simu zinapogwa sana Kishansa. Kagame anapigia Marais wengi wamtulize Chisekedi.

Imani yangu ikutupwa full scale war. Rwanda inarudi Miaka 20 nyuma.
 
Nadhani angeweza kufanya hivyo angefanya zamani Saaana,zingekua Zina msaada hizo ndege Zingekua zimeshamaliza wahuni wa M23.Nategemea Congo itapiga kelele tu na haitarusha hata risasi 1.

Wacongo sijawahi kuwachukulia serious kwny Mambo yanayohitaji kua serious.
Ni kweli hawapo serious ndio maana hata wananchi wanacheka, lakini vita ni planning huwezi jua sababu ya jamaa kupeleka Rwanda ndege kila mara,mwaka jana mwishoni uliona zile video askari wa jwtz wameuliwa msumbiji na kuporwa magari ? Haimaanishi jwtz haina uwezo wa kuingia msumbiji ila unakuta wameshafanya calculation zao wameona in a long run itawa cost

Issue ya M23 ni tofauti sana ndio maana hata jwtz imewashindwa mpaka leo
 
😁😁😁 Genocider bwana yani ana launch missile wakati ndege ipo UPANDE mwingine.
Yani kama mtu ni killer wataendelea kuwa killer tuu
Kama ame launch missile ndege ikiwa imetoka Rwanda alafu wameita defensive measure basi Rwanda ni dhaifu, hiyo ndege ya DRC kwanza ilikuwa slow ingekuwa faster sidhani kama wangeipata
 
Back
Top Bottom