Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Ndicho nilichosema tangu awali. Angalia commect zangu zote.Kwa mujibu wa flight tracking michoro inaonyesha ndege iliingia kwenye anga la rwanda lakini ni upande wa ziwani tena kipande kidogo wakati inafanya turning ili iweze kutua uwanjani, lakini picha za video zinaonyesha warwanda wanaishambulia ndege wakati tayari ipo upande wa [emoji1078] ikielekea kutua uwanjani, tolu mkorofi sana
Ilitakiwa washoot tangu ziwani na sio pale.