Rwanda yaishambulia ndege ya kivita ya DR Congo

HIZO MAN PAD ZA RWANDA NINAWASIWASI NAZO YANI INASHODWA KUANGUSHA NDEGE IPO CHINI HIVYO TENA CHINI SANA.
MANPAD INAWEZA KWENDA MPAKA 3 TO 6 KM ANGANI NA KUFANYA KAZI VIZURI SANA.
SASAHIZO SIJAJUA IMEKUWAJE
Ili kuwa ni missile ya kutishia tu na Wala sio ya kujaribu. Ukiona hapo imeigusa kabisa ndenge na kama ilikuwa ni offensive ndege ingelipuka. Nadhani haku intend kuilipua Bali kuwapa onyo kwa vitendo
 
Mkuu Are you serious!!? Kagera war ilikuwa central Africa??
Hivi mnazijua vita!! TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA VURUGU NA VITA. Vita Rais anapata nafasi ya kutoroka na ndege usema hiyo ni vita!!.
Vita ni zile unasikia"anga ya nchi ya nchi fulani imefungwa, manwali na ma- Aircraft carrier yanasogezwa kwenye Pwani yako".

Maraisi wote waliowahi pigana vita wakashindwa walizikimbia nchi zao kwa mguu si hata Baiskari.
Rais anaogopa hata kupanda Baiskari anahisi inaweza kuwa detected na maadui.

Vita ni hii kama ya Ukraine. Vita zimepiganwa na akina Sadam Hussein akina Hitler, akina Musolin.
Sadamu hussein akianza simulia vita tega sikio umsikilize kwa umakini si Nyerere ama Amin.
Amin anaondoka nchini kwake huku anawasiliana na washikaji zake hadi wanamuandalia sehemu ya kufikia lakini Sadamu hussein hata simu hakutaka kuisogelea kwa hofu ya kudukuliwa ikabidi akaeshimoni.
Tanzania tuliwai kuwa na Vurugu na Uganda na si vita.
 
Attachments

  • mqdefault.jpg
    mqdefault.jpg
    15.4 KB · Views: 13
Ili kuwa ni missile ya kutishia tu na Wala sio ya kujaribu. Ukiona hapo imeigusa kabisa ndenge na kama ilikuwa ni offensive ndege ingelipuka. Nadhani haku intend kuilipua Bali kuwapa onyo kwa vitendo
Mkuu air defence system haipo hivyo kama unavyozani kaka.
unavyoachia missile kwenda kudungua ndege haiendi kutishia kaka
 
HIZO MAN PAD ZA RWANDA NINAWASIWASI NAZO YANI INASHODWA KUANGUSHA NDEGE IPO CHINI HIVYO TENA CHINI SANA.
MANPAD INAWEZA KWENDA MPAKA 3 TO 6 KM ANGANI NA KUFANYA KAZI VIZURI SANA.
SASAHIZO SIJAJUA IMEKUWAJE
Huenda tatizo ni kwa watumiaji wa hizo man pad ila Tolu anamiliki mpaka 'drone' kwa Sasa....
 
Waje warudie sasa! kuingia Rwanda mara ya 4!.🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • MugabeBob_20230124__1617924885925486595_2_16179248267017256961.mp4
    1.1 MB
  • Dachronica_20230124__1617914190924222465_2_16179130695893647381.mp4
    572.5 KB
  • Dachronica_20230124__1617956867397005313_3_16179558569973555402.mp4
    318.6 KB
  • IMG_20230124_190803.jpg
    IMG_20230124_190803.jpg
    125.6 KB · Views: 21
  • thdthd666_20230124__1617923794685022209_2_16179237541804441601.mp4
    490.7 KB
Hivi mnazijua vita!! TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA VURUGU NA VITA. Vita Rais anapata nafasi ya kutoroka na ndege usema hiyo ni vita!!.
Vita ni zile unasikia"anga ya nchi ya nchi fulani imefungwa, manwali na ma- Aircraft carrier yanasogezwa kwenye Pwani yako".

Maraisi wote waliowahi pigana vita wakashindwa walizikimbia nchi zao kwa mguu si hata Baiskari.
Rais anaogopa hata kupanda Baiskari anahisi inaweza kuwa detected na maadui.

Vita ni hii kama ya Ukraine. Vita zimepiganwa na akina Sadam Hussein akina Hitler, akina Musolin.
Sadamu hussein akianza simulia vita tega sikio umsikilize kwa umakini si Nyerere ama Amin.
Amin anaondoka nchini kwake huku anawasiliana na washikaji zake hadi wanamuandalia sehemu ya kufikia lakini Sadamu hussein hata simu hakutaka kuisogelea kwa hofu ya kudukuliwa ikabidi akaeshimoni.
Tanzania tuliwai kuwa na Vurugu na Uganda na si vita.
Kila nchi na uwezo wake.
 
Ndege vita aina ya Sukhoi 25 ya DRC imeshambuliwa kwa missile direct from Rwanda. Ndege hii ilikua ndani ya anga ya DRC ikizunguka mjini Goma.

Bahati mbaya ama nzuri wakati wakishambulia kuna raia karekodi akiwa mpakani. Amerekodi louching site za Rwanda.

Ndege hiyo imefanikiwa kutua salama Mjini Goma ila inaonekana imepata madhara.

Sasa macho na masikio ni nini itakua majibu/reaction ya DRC.

View attachment 2494317View attachment 2494318View attachment 2494319

Waje warudie kuingiza Rwanda hilo pipa lao!.
 
Vi

Vipi kama congo imeonewa mbona tamko bado!🤣🤣🤣
 
Hivi mnazijua vita!! TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA VURUGU NA VITA. Vita Rais anapata nafasi ya kutoroka na ndege usema hiyo ni vita!!.
Vita ni zile unasikia"anga ya nchi ya nchi fulani imefungwa, manwali na ma- Aircraft carrier yanasogezwa kwenye Pwani yako".

Maraisi wote waliowahi pigana vita wakashindwa walizikimbia nchi zao kwa mguu si hata Baiskari.
Rais anaogopa hata kupanda Baiskari anahisi inaweza kuwa detected na maadui.

Vita ni hii kama ya Ukraine. Vita zimepiganwa na akina Sadam Hussein akina Hitler, akina Musolin.
Sadamu hussein akianza simulia vita tega sikio umsikilize kwa umakini si Nyerere ama Amin.
Amin anaondoka nchini kwake huku anawasiliana na washikaji zake hadi wanamuandalia sehemu ya kufikia lakini Sadamu hussein hata simu hakutaka kuisogelea kwa hofu ya kudukuliwa ikabidi akaeshimoni.
Tanzania tuliwai kuwa na Vurugu na Uganda na si vita.
Umeandika mapupu (hoja dhaifu)in short you are not machuwadi inafu
Africa mashariki haijawai kuwa na vita yoyote,siku ikitokea tutaheshimiana.
Vita vya Kagera Tanzania na Uganda
 
Back
Top Bottom