Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,780
- 13,696
Hii ni maajabuUjinga wa tall anazo silaha nzito na ndege za kisasa lakini hawezi kurusha hizo ndege kutokana na udogo wa nchi yake. Ndege amezipaki Eritrea.
Hii ni maajabuUjinga wa tall anazo silaha nzito na ndege za kisasa lakini hawezi kurusha hizo ndege kutokana na udogo wa nchi yake. Ndege amezipaki Eritrea.
Si kila nchi inapwani ila kila nchi inakaribiana na pwani fulani.Wewe jamaa wewe, hivi kila nchi ina pwani? Unajua kuwa watu wamekufa kwenye hiyo vita unayoiita vurugu?
Utaambiwa tanzania tuna silaha duni, wengine wana kali.HIZO MAN PAD ZA RWANDA NINAWASIWASI NAZO YANI INASHODWA KUANGUSHA NDEGE IPO CHINI HIVYO TENA CHINI SANA.
MANPAD INAWEZA KWENDA MPAKA 3 TO 6 KM ANGANI NA KUFANYA KAZI VIZURI SANA.
SASAHIZO SIJAJUA IMEKUWAJE
SIJAKUELEWA Tz imeingiaje hapoUtaambiwa tanzania tuna silaha duni, wengine wana kali.
Source yako ya kusema askari wa Russia wanalazimishwa kupambana Ni DW,BBC, CNN, FRANCE 24,SKY NEWS etcKagame anajiona mbabe wa East Africa ajaribu kujifunza kwa Putin, usimdharau mtu hata kama unamuona ni mnyonge maana siku akiamua kukiwasha utajuta.
Askar wa Ukraine wanapambana kwa morali kuilinda nchi Yao ila askar wa Urusi wanapambana kwa kulazimishwa ili kulinda hadhi ya Putin
Kwanza mwambie huko asiingie kabisa,, mana jamaa anaonekana pro upinde,Source yako ya kusema askari wa Russia wanalazimishwa kupambana Ni DW,BBC, CNN, FRANCE 24,SKY NEWS etc
Kwani Rwanda ana kitu gani!?Yani uki bip tu! unapigiwa!.🤣🤣🤣
DRC wame bip!
Mr Tsisekedi anataka Uchaguzi usifanyike ndio maana anajifanya mbabe wa Maneno ila hawezi subutu ki vita na Rwanda.
Huo uwezo hana.
EAST Africa yote hakuna kwenye air force za kutisha hapa.Tanzania imejikita kwenye combat tu, kupigana chini ila kwa nchi yenye utawala wa anga hatutoboi
Na nadhani hii njia Ni effective Sana,maana Kama hio ndege ya Congo ya mimilioni ya $$ lkn inashushwa na kakitu ka kuweka begani tu, what a loss.T
ia imejikita kwenye combat tu, kupigana chini ila kwa nchi yenye utawala wa anga hatutoboia
Tanzania imewekeza zaidi kwenye makombora ya kudungua ndege,wanayo ya kudungua ndege yoyote ndani ya majeshi ya nchi jirani
Soma vzr post, haikuwa anga la RwandaTolu aliwaonya Congo Mara 2 kuingiza ndege Yao kwny anga la Rwanda,Leo wameingiza kwa Mara ya 3 akaona ngoja niwape tiba kidogo.View attachment 2494385
Soma vzr,imeshaonywa Mara 2.Soma vzr post, haikuwa anga la Rwanda
Tanzania imejikita kwenye ADSTanzania imejikita kwenye combat tu, kupigana chini ila kwa nchi yenye utawala wa anga hatutoboi
S 300 unit moja ni dollar million 120.Mkumbuke kagame anamiliki S 300
Ndege ilikuwa inalanding goma airport , angalia map Goma airport imepakana na rwanda.Soma vzr post, haikuwa anga la Rwanda
Tuno ma pilot wapo well trainedTanzania imejikita kwenye combat tu, kupigana chini ila kwa nchi yenye utawala wa anga hatutoboi