Rwanda yaishambulia ndege ya kivita ya DR Congo

Rwanda yaishambulia ndege ya kivita ya DR Congo

kibarango

Senior Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
146
Reaction score
309
Ndege vita aina ya Sukhoi 25 ya DRC imeshambuliwa kwa missile direct from Rwanda. Ndege hii ilikua ndani ya anga ya DRC ikizunguka mjini Goma.

Bahati mbaya ama nzuri wakati wakishambulia kuna raia karekodi akiwa mpakani. Amerekodi louching site za Rwanda.

Ndege hiyo imefanikiwa kutua salama Mjini Goma ila inaonekana imepata madhara.

Sasa macho na masikio ni nini itakuwa majibu/reaction ya DRC.


View attachment 2494317View attachment 2494318View attachment 2494319
 
Tolu aliwaonya Congo Mara 2 kuingiza ndege Yao kwny anga la Rwanda,Leo wameingiza kwa Mara ya 3 akaona ngoja niwape tiba kidogo.
Screenshot_20230124-205446.jpg
 
Kwani kwa.mfano: ndege ya Rwanda ika-violate aisrpace ya Tz inatakiwa ipigwe ikiwa ndani ya airspace ya Tz au hata ikishatoka kwny airspace ya Tz na ikaingia airspace ya Rwanda bado itapigwa tu?
Ndege ijaingia air space ya rwanda ilikuwa Goma mama ivan sawa.
missile hio ilitoka rwanda sio ndani ya congo
 
Back
Top Bottom