Kwa hiyo marubani wanaishi Eritrea au kikinuka wanapanda ndege kwenda Eritrea kirusha ndege!?Ujinga wa tall anazo silaha nzito na ndege za kisasa lakini hawezi kurusha hizo ndege kutokana na udogo wa nchi yake. Ndege amezipaki Eritrea.

Umeandika utumbo.Hivi mnazijua vita!! TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA VURUGU NA VITA. Vita Rais anapata nafasi ya kutoroka na ndege usema hiyo ni vita!!.
Vita ni zile unasikia"anga ya nchi ya nchi fulani imefungwa, manwali na ma- Aircraft carrier yanasogezwa kwenye Pwani yako".
Maraisi wote waliowahi pigana vita wakashindwa walizikimbia nchi zao kwa mguu si hata Baiskari.
Rais anaogopa hata kupanda Baiskari anahisi inaweza kuwa detected na maadui.
Vita ni hii kama ya Ukraine. Vita zimepiganwa na akina Sadam Hussein akina Hitler, akina Musolin.
Sadamu hussein akianza simulia vita tega sikio umsikilize kwa umakini si Nyerere ama Amin.
Amin anaondoka nchini kwake huku anawasiliana na washikaji zake hadi wanamuandalia sehemu ya kufikia lakini Sadamu hussein hata simu hakutaka kuisogelea kwa hofu ya kudukuliwa ikabidi akaeshimoni.
Tanzania tuliwai kuwa na Vurugu na Uganda na si vita.
Tuko hapa mkuu,tutakumbushana DRC itafanya Nini khs tukio la leo.Ni kweli hawapo serious ndio maana hata wananchi wanacheka, lakini vita ni planning huwezi jua sababu ya jamaa kupeleka Rwanda ndege kila mara,mwaka jana mwishoni uliona zile video askari wa jwtz wameuliwa msumbiji na kuporwa magari ? Haimaanishi jwtz haina uwezo wa kuingia msumbiji ila unakuta wameshafanya calculation zao wameona in a long run itawa cost
Issue ya M23 ni tofauti sana ndio maana hata jwtz imewashindwa mpaka leo
Sawa, we Andika maini tuyaone.Umeandika utumbo.
😄😄 Israel ukubwa wake Ni Sq km 22,145 na Inarusha ndege Kama kawa, Rwanda ukubwa wake Ni Sq km 26,000 inashindwaje kurusha ndege?Au siku hizi principles za urushaji wa ndege zimebadilika 😄😄Ujinga wa tall anazo silaha nzito na ndege za kisasa lakini hawezi kurusha hizo ndege kutokana na udogo wa nchi yake. Ndege amezipaki Eritrea.
Rwander ni wa kuwapiga na manati.Ndege za DRC zina technology ya kuzuia makombora ? Maana naona damage sio kubwa na nikama matundu ya Risasi
Hii vita Tshikedi atumie ndege tu anaikalisha Rwanda
Jamaa eti inatishiaaaa.Mkuu air defence system haipo hivyo kama unavyozani kaka.
unavyoachia missile kwenda kudungua ndege haiendi kutishia kaka
Ulikuwepo hiyo vurugu ya Uganda?Hivi mnazijua vita!! TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA VURUGU NA VITA. Vita Rais anapata nafasi ya kutoroka na ndege usema hiyo ni vita!!.
Vita ni zile unasikia"anga ya nchi ya nchi fulani imefungwa, manwali na ma- Aircraft carrier yanasogezwa kwenye Pwani yako".
Maraisi wote waliowahi pigana vita wakashindwa walizikimbia nchi zao kwa mguu si hata Baiskari.
Rais anaogopa hata kupanda Baiskari anahisi inaweza kuwa detected na maadui.
Vita ni hii kama ya Ukraine. Vita zimepiganwa na akina Sadam Hussein akina Hitler, akina Musolin.
Sadamu hussein akianza simulia vita tega sikio umsikilize kwa umakini si Nyerere ama Amin.
Amin anaondoka nchini kwake huku anawasiliana na washikaji zake hadi wanamuandalia sehemu ya kufikia lakini Sadamu hussein hata simu hakutaka kuisogelea kwa hofu ya kudukuliwa ikabidi akaeshimoni.
Tanzania tuliwai kuwa na Vurugu na Uganda na si vita.
**** wewe kwanza hamna shabaha.. Yani chuma imepita anga ya chini slomoo mmeikosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41] nyie ni machokoWaje warudie sasa! kuingia Rwanda mara ya 4!.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aihhhh..[emoji23][emoji23][emoji23] Mode ni fundi[emoji1430][emoji1430][emoji1430]**** wewe kwanza hamna shabaha.. Yani chuma imepita anga ya chini slomoo mmeikosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41] nyie ni machoko
Hakuna kugawa nchi mzeeNaona Yale mawe ya umeme kugungulika ulafi unaongeza vita hadi Congo igawanyike kuwa nchi13 ndani ya nchi moja
Hakuna jamboree kama hiloNaona Yale mawe ya umeme kugungulika ulafi unaongeza vita hadi Congo igawanyike kuwa nchi13 ndani ya nchi moja
Mkuu ndege ilikuwa slow coz ilikuwa inatuambia kwenye uwanja wa ndege wa GomaKama ame launch missile ndege ikiwa imetoka Rwanda alafu wameita defensive measure basi Rwanda ni dhaifu, hiyo ndege ya DRC kwanza ilikuwa slow ingekuwa faster sidhani kama wangeipata
Ndege gani mkuu tuambie. Kama Israel wana km square 22,000.Ujinga wa tall anazo silaha nzito na ndege za kisasa lakini hawezi kurusha hizo ndege kutokana na udogo wa nchi yake. Ndege amezipaki Eritrea.
Kuna wengine WANASEMA hiyo air defense system in ya kirusi , na missile imegundua kuwa jet ni yakirusi kwa hio imezuia kuangusha sasa sijajua sijuibni kweli.**** wewe kwanza hamna shabaha.. Yani chuma imepita anga ya chini slomoo mmeikosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41] nyie ni machoko
JWTZ tuingie kama askari wa UN🤓Zipigwe tu tuone mbabe wa uchumi
Usimung'unye maneno, sema wazi Msoga ipo against KigaliMama Samia anaenda na Tshekedi
Heat seeker ndio imekosea usahihi au fuse imewahi. Sio kosa la ajabu kwa MANPADHIZO MAN PAD ZA RWANDA NINAWASIWASI NAZO YANI INASHODWA KUANGUSHA NDEGE IPO CHINI HIVYO TENA CHINI SANA.
MANPAD INAWEZA KWENDA MPAKA 3 TO 6 KM ANGANI NA KUFANYA KAZI VIZURI SANA.
SASAHIZO SIJAJUA IMEKUWAJE
Ili kuwa ni missile ya kutishia tu na Wala sio ya kujaribu. Ukiona hapo imeigusa kabisa ndenge na kama ilikuwa ni offensive ndege ingelipuka. Nadhani haku intend kuilipua Bali kuwapa onyo kwa vitendo