Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Status
Not open for further replies.
yale yale, CCM ilichaguliwa toka enzi hizo, haikupindua nchi ya Tanzania toka Uganda!

Hakuna aliye pinduliwa,kwanza RPF waliomba kurudi kwa amani habyarimana akakataa,wakatumia vita mwishowe wakakubali kuchangia madaraka,wakati wakisubiri habyarimana akauwawa na ndugu zake,mauaji ya kimbali yakaanza,ikabidi RPF wasimamishe hayo mauaji,serikali iliyokua ya rwanda wakati huo ikakimbilia uhamishoni DRC,Walio rudi waliungana na RPF kuijenga rwanda,sasa kupindua unakosema kuko wapi?
 
Toka huko f.a.l.a wewe hata wewe kuna siku ulijiunga..and overall you have been of no use in this forum.
hahaha. Nadhani tulishajadili hilo la me being useless. But still we haven't adress the question of why YOU KEEP ON TALKING TO ME, A USELESS PERSON.

Mkuu mwambie huyo kwamba Snowden yupo Russia mpaka kesho,lakini US hawajatishia kum hit Putin wala kufukuziana mabalozi hata mara moja!. Huyu vipi huyu!?
1 .Ni upumbavu kubishana uraia wangu mtandaoni wakati si mimi au wewe tunaweza kuthibitisha.

2. Narudia tena mbona balozi wenu yuko kimya, Rwanda iko kimya, lakini wewe na fellow inkotanyi humu ndani ndio mnazo hizo taarifa za Tanzania kushirikiana na FDLR kupindua Rwanda. Hudhani kuwa serious allegations kama hizi zinapaswa kutolewa through official channels?

3. Obviously kutembelewa na Twagiramungu au Nyamwasa, Rudasingwa etc, sio tukio zito kiasi cha kuleta uhasama kati ya nchi na nchi. Ndio maana nikakupa mfano kuwa na sisi kama Taifa tulikuwahi kuwa na watu kama Kambona, 'uncle tom' lugakingira tena huyu aliteka ndege, mpaka UK! Lakini haikuwa ishu btn TZ na UK. Lakini kwa kuwa nyinyi ni dictatorship mnataka kila atakayeshirikiana na watu mliopishana nao kuwa na yeye ana malengo yale yale.
 
Rwanda maskini sana, harafu Tanzania tajiri sana, ok!!mkuu hivi kwanini kila anayetoa point ya kutaka kumaliza Hutu-Tutsi conflict unamjibu kwa kufoka, unafaida gani kwenye mgogoro huu,uliouanzisha wewe kwenye thread yako:
Jmali wewe ni nani haswa?nimejaribu kupitia post zako zote hakika wewe sio mTanzania, i swear!
Statement ya I will hit Kagame kaisema wapi, ebu tupatie hiyo link ya youtube nasisi tusikie,tatizo watu wanadandia tu, nakupandisha jazba zisizo nasababu:
Watu kama Jmali wako kazini wanalipwa, na haohao ndio wameongeza hiyo statement ya i will hit him:

1. Quote: "unafaida gani kwenye mgogoro huu,uliouanzisha wewe kwenye thread yako"
FACT: Mjadala kaanzisha mwenzio MUKAMASIMBA. sio mimi!

2. quote: "nimejaribu kupitia post zako zote hakika wewe sio mTanzania, i swear"
Jibu: Uraia wangu unahusiana vipi na facts ninazotoa? Hapa JF tunajadili facts sio makabila ya watu, kama kuna kujadili ukabila ni lazima mjadala huo vile vile uhusishe facts na sio ukabila pekee. Tatizo ni nyinyi kujadili kana kwamba tuko Rwanda, ambako kutofautiana na nyinyi maana yake mtu lazima awe mhutu. Sijui ni nini kinachokufanya udhani mimi si mtanzania lakini hebu tufanye mimi ni mkimbizi-mnyarwanda-mhutu, so what, kwa nini usijibu hoja? Pili. mimi ndio nina wasiwasi na nyinyi mnaomtetea kagame, wote lugha zenu ni hizo hizo mfano hata hapo juu neno halafu mnaandika 'harafu'! Ningekuwa na muda ningekopi post za wenzio si chini ya watatu wenye matamshi hayo hayo! Maana yake mnatumia multiple IDs, halafu nyinyi ni raia passport! Lakini my suspicions hazinizuii kubishana na nyinyi kwa hoja hata kidogo, hilo kwangu sio ishu kwa nini kwako iwe ishu?

3. sitaweza kukupa link. Si kwa sababu sina, la. Kama kweli umetembelea post zangu ZOTE kama unavyodai nadhani unajua kuwa link sio tatizo kabisa kwangu. sikupi as a matter of principle. Najua pasi na shaka you know exactly where that speech is, what kagame said etc. Nimeshawazoea nyinyi kwa kuuliza na kubishana vitu ambavyo ni facts kwa dunia nzima ili kupoteza muda. I will not fall for that again. Huko nyuma tulikuwa kwenye thread moja hivi, nikamention the fact kwamba rais wa interahamwe alikuwa ni mtutsi. Kitu ambacho dunia nzima inajua lakini bado wenzio wakabisha kana kwamba ilikuwa taarifa mpya kwao. sasa wewe hili la speech ya kagame una-act as if unaisikia mara ya kwanza kwangu.

4. wanaolipwa ni wale ambao hawawezi kuthibitisha ushirikiano wa TZ na FDLR.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna aliye pinduliwa,kwanza RPF waliomba kurudi kwa amani habyarimana akakataa,wakatumia vita mwishowe wakakubali kuchangia madaraka,wakati wakisubiri habyarimana akauwawa na ndugu zake,mauaji ya kimbali yakaanza,ikabidi RPF wasimamishe hayo mauaji,serikali iliyokua ya rwanda wakati huo ikakimbilia uhamishoni DRC,Walio rudi waliungana na RPF kuijenga rwanda,sasa kupindua unakosema kuko wapi?

dude, its me you are replying to, i thought by now tumeshajuana vya kutosha kujua kuwa this standard BS of a history doesn't cut it with me! tutaendelea kubishana historia mpaka lini? you have your version i have mine. lets go back kwenye mjadala.
 
Asante mkuu kwa kuliona hilo...i have been saying this for quite some time. Sio bure, lijamaa lina uchungu na rwanda kuliko wanyarwanda halisi.

hahaha. Hivi nyinyi nani watanzania au wanyarwanda?
 
Ningependa kukujulisha kuwa Wanyarwanda wanafurahia kuitwa wanyarwanda, na kabla hujauliza wengine lbda nikujibu upande wangu:
Mimi ni MnyaRwanda mtusi ninajivunia uraia wangu:
Nimezaliwa,nikakulia nakusomea Tanzania hivyo mapenzi yangu kwa Tanzania kama nchi sio yakulazimishwa, nina sababu zote zakuipenda Tanzania, rafiki zangu wengi tu ni wa Tanzania:
Hapa tunaongelea ukabila ambao umeenezwa na wewe jmali kwenye post yako ya Uraia wa wawa Tusi, yote yameanzia hapo, manake hata ukiangalia wachangiaji ni walewale tu:
Kwa miaka yote 20 ambayo RPF imekuwa madarakani, Rwanda ilikuwa haijawa na shida yoyote ile na Tanzania, yote haya yameanza juzi juzi tu wakati wa utawala wa kikwete:
lakini kuna watu wanafurahia sana kutokuelewana huku, wewe ni mmoja wao:
Kila post inayokuja yenye msimamo wa wasitani, moja kwa moja unajibu vibaya na kusema he/she is pro Kagame:
Kagame ni kiongozi wetu, tunampenda lakini vilevile sio malaika:
Siasa za upinzani sio mbaya ila Rwanda tuna mfumo wetu, na Tanzania wanamfumo wao, sio lazima tusubiri matakwa ya jmali na wenzake kama wewe si mnyaRwanda basi achana na Rwanda:
Kagame alimwambia Kikwete aache kuingilia maswala ya Rwanda, siasa zetu za ndani ni zetu angesubiri AU au UN ndio imwambie PK kuongea na wauaji:
FDRL tunayoiongelea, ni ile ideology ya kuua ambayo wanayo:
Vinginevyo Rwanda kuna vyama vya upinzani vingi tuu:..
Propaganda unayojaribu kueneza ni kwamba watusi ni kama wakoloni, yaani hawafai katika jamii, ndio maana kila post yako hutumii neno wanyarwanda, unatumia majority,minority, Hutu, Tutsi:
Kila mala mwenye ukweli hushinda tusubili tutaona mwisho wa haya:
Mungu akubaliki
 
Ex-PM Twagiramungu Confirms Reports of Secret Tanzania Trip
28 January 2014 , Source: News of Rwanda
Last week, News of Rwanda revealed exclusively how the exiled former Rwandan Prime Minister Faustin Twagiramungu was on a secret trip to Tanzania to meet President Jakaya Kikwete as he looks for ways to launched armed rebellion. The politician himself has confirmed the reports.

Twagiramungu told delegates at a closed-door conference held in Lyon, France, on Saturday that he had indeed been to Tanzania from 19-23 January. According to our sources, Twagiramungu left Dodoma on Thursday where he had been meeting President Kikwete at secret locations.

The ex-premier arrived in Lyon on Friday evening ahead of the conference for his political organistion RDI Rwanda Rwiza which had been on schedule weeks before. The 3-hr conference from 3pm (16hrs GMT) took place at Salle Halle in Grains at the address 61 Rue Président Salvador ALLENDE 69200 Vénissieux.

In the conference hall attended by about a dozen delegates, Twagiramungu with pride informed them that he had been to Tanzania on a "very important mission". Amid lengthy applause from the delegates, Twagiramungu said he had no obligation to reveal the exact motives of his week-long Tanzania trip.

The day Twagiramungu left Tanzania for France is when another Rwandan dissident group RNC was hosted in Dar es Salaam with FDLR rebels by President Kikwete, according to our sources.

Twagiramungu has entered into alliance with the FDLR, a militia group which executed the genocide against Tutsis in Rwanda, and fled to DR Congo in 1994. These meetings meanwhile, come after President Kikwete has publicly called for negotiations betweem Kigali and the militia group, a suggestion that brought Kigali-Dodoma relations to near-collapse.
 
Wengi wenu humu hamna idea na mnachoongea,na inaonekana mnapenda vita sana na Rwanda,ila FYI hivyo vita havitatokea for one and only one reason...NO REASON FOR WAR WITH RWANDA,so keep hating and bashing may be inawasaida kuondoa stress zenu za ugumu wa maisha mliyonayo wapuuzi wakubwa nyie.
 
Jmali naona unawauzia sumu ignorants and misinformed wabongo ili wapigane battle yako iliyowashinda 20 yrs ago,you lost get over na subiri waje wakukamate huko ulikojificha
 
Huu ugomvi lini utafika mwisho??? Wote ni Raia wa Rwanda kaeni kitako mzungumze. Hilo ndilo suluhisho litakalo kuwa na faida kwa watoto wenu baadae. Matusi na kashfa mnazozuliana si msaada kwenu. Msamaha utawavusha pande zote.
 
Jmali naona unawauzia sumu ignorants and misinformed wabongo ili wapigane battle yako iliyowashinda 20 yrs ago,you lost get over na subiri waje wakukamate huko ulikojificha

Hahaha. Kama ukweli ni sumu, uwongo wenu na propaganda utaitaje?
 
Wengi wenu humu hamna idea na mnachoongea,na inaonekana mnapenda vita sana na Rwanda,ila FYI hivyo vita havitatokea for one and only one reason...NO REASON FOR WAR WITH RWANDA,so keep hating and bashing may be inawasaida kuondoa stress zenu za ugumu wa maisha mliyonayo wapuuzi wakubwa nyie.

Naona umeanza kunywea, safi sana. siku nyingine mwambie Mwami kagame aache upuuzi na chokochoko za kijinga, mazungumzo yetu na adui zake hayamhusu! Mpuuz.i anayekulipa!
 
Ningependa kukujulisha kuwa Wanyarwanda wanafurahia kuitwa wanyarwanda, na kabla hujauliza wengine lbda nikujibu upande wangu:
Mimi ni MnyaRwanda mtusi ninajivunia uraia wangu:
Nimezaliwa,nikakulia nakusomea Tanzania hivyo mapenzi yangu kwa Tanzania kama nchi sio yakulazimishwa, nina sababu zote zakuipenda Tanzania, rafiki zangu wengi tu ni wa Tanzania:
Hapa tunaongelea ukabila ambao umeenezwa na wewe jmali kwenye post yako ya Uraia wa wawa Tusi, yote yameanzia hapo, manake hata ukiangalia wachangiaji ni walewale tu:
Kwa miaka yote 20 ambayo RPF imekuwa madarakani, Rwanda ilikuwa haijawa na shida yoyote ile na Tanzania, yote haya yameanza juzi juzi tu wakati wa utawala wa kikwete:
lakini kuna watu wanafurahia sana kutokuelewana huku, wewe ni mmoja wao:
Kila post inayokuja yenye msimamo wa wasitani, moja kwa moja unajibu vibaya na kusema he/she is pro Kagame:
Kagame ni kiongozi wetu, tunampenda lakini vilevile sio malaika:
Siasa za upinzani sio mbaya ila Rwanda tuna mfumo wetu, na Tanzania wanamfumo wao, sio lazima tusubiri matakwa ya jmali na wenzake kama wewe si mnyaRwanda basi achana na Rwanda:
Kagame alimwambia Kikwete aache kuingilia maswala ya Rwanda, siasa zetu za ndani ni zetu angesubiri AU au UN ndio imwambie PK kuongea na wauaji:
FDRL tunayoiongelea, ni ile ideology ya kuua ambayo wanayo:
Vinginevyo Rwanda kuna vyama vya upinzani vingi tuu:..
Propaganda unayojaribu kueneza ni kwamba watusi ni kama wakoloni, yaani hawafai katika jamii, ndio maana kila post yako hutumii neno wanyarwanda, unatumia majority,minority, Hutu, Tutsi:
Kila mala mwenye ukweli hushinda tusubili tutaona mwisho wa haya:
Mungu akubaliki

1. Nilipoanzisha mada ya uraia wa watutsi nilitaja majina ya wahusika na makosa yao, haikulenga watutsi wote na ilijieleza bayana kabisa. Nyinyi kwa sababu mmeshakuwa na victim mentality mnalazimisha kuwa mtutsi mmoja maana yake ni watutsi wote. Kwa faida yako link hii hapa, pitia tena mwanzo mpaka mwisho. source: uraia wa watutsi.

Kama una tatizo na thread yangu kaijibu kule kule, huku tunazungumzia Twagiramungu etc. Vinginevyo kwa jinsi unavyonishambulia nahisi tayari tulikuwa tunapambana ukitumia another ID! kwa sababu thread yangu nilianzisha tarehe 5 january, wewe umejiunga JF jana tu!

2. Uhusiano wetu Tanzania na Rwanda haukuanza miaka 20 iliyopita. Uhusiano wetu na Rwanda ulianza mbali toka miaka ya 59. Kwa hiyo kama unavyodai kuwa tatizo ni kikwete na mimi naweza kudai vile vile kuwa tatizo ni Kagame.
Tatizo kubwa hapa ni msimamo wa Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kupambana na M23. Ushauri wetu ambao ulianza kutolewa na bernard Membe ndio uliochagiza UN kupeleka jeshi kule. Hili ndilo tatizo kuu la Kagame. Baada ya hapo ndio Rwanda ikaanza kununa-nuna kama mtoto aliyenyimwa pipi.

3. Quote: "Propaganda unayojaribu kueneza ni kwamba watusi ni kama wakoloni, yaani hawafai katika jamii, ndio maana kila post yako hutumii neno wanyarwanda, unatumia majority,minority, Hutu, Tutsi" .

Jibu: tunarudi pale pale nyinyi mnaji-victimize wenyewe ili kupata sympathy. Hakuna mtanzania yoyote anayemshambulia mtutsi kwa sababu ni mtutsi. Ngumu sana kwa mtanzania kuwa mkabila kwa sababu hapa kwetu tuna makabila zaidi ya 100! lakini mtutsi mwenye siasa kali atasemwa tu.

kagame is a tutsi-extremist kama ambavyo kuna muslim-extremists. Je kukemea muslim-extremism ni sawa na kuwa against all muslims? Rejea thread yangu, nimeandika majina specific kabisa, facts and figures. Lakini kwa upande mwingine nyinyi mnawaita wakimbizi wote wa kihutu DRC kuwa ni FDLR, na FDLR nzima kuwa ni genocidaires bila kuwa na orodha yoyote ya nani aliua nani, kwa vile tu ni wahutu ambao hawataki utawala wa kidhalimu wa kagame basi wauawe tu. Hapo nani mkabila? Kwa nini hakuna orodha yoyote ya specific members wa FDLR ambao inadaiwa wamefanya uhalifu ili wafikishwe mahakamani?
 
Wengi wenu humu hamna idea na mnachoongea,na inaonekana mnapenda vita sana na Rwanda,ila FYI hivyo vita havitatokea for one and only one reason...NO REASON FOR WAR WITH RWANDA,so keep hating and bashing may be inawasaida kuondoa stress zenu za ugumu wa maisha mliyonayo wapuuzi wakubwa nyie.
Koba matusi ya nini kila siku ukisikia Watutsi wametajwa mnakurupuka wewe na MUKAMASIMBA
Hizi stpry za kusema Twagiramungu na Kikwete walikutana January 2014 eti trh 20 ni UONGO wa kutunga

Jibu tu Kistaarabu kuanza kuwatisha watu km jMali si uungwana
Jmali naona unawauzia sumu ignorants and misinformed wabongo ili wapigane battle yako iliyowashinda 20 yrs ago,you lost get over na subiri waje wakukamate huko ulikojificha

tumewazoea na ni km Ndugu msiotaka kuishi na Raia wengine TUMEKUBALI YAISHE
M23 wamepigwa hamtaki kuamini km ni RPF
usa IMEMPA onyo KAGAME bado mnafichaficha
SIKU ZINAHESABIKA
Saddam, Gaddafi bado zamu yenu
 
Last edited by a moderator:
Wengi wenu humu hamna idea na mnachoongea,na inaonekana mnapenda vita sana na Rwanda,ila FYI hivyo vita havitatokea for one and only one reason...NO REASON FOR WAR WITH RWANDA,so keep hating and bashing may be inawasaida kuondoa stress zenu za ugumu wa maisha mliyonayo wapuuzi wakubwa nyie.
Mpuuzi nahisi ni ww ambaye unapanic wakati mwenzio nipo huku nakujibu na na comment tena MMU. Hvi Rwanda mna forum kama hii.
 
Bongolander, naomba nikuulize kitu na naomba unijibu as i have asked you?

Kwanza tunajua kuwa Twagiramungu is sworn to overthrow the elected government of rwanda. Halafu tunajuwa kuwa makazi yake sio tanzania bali ni ubelgiji! Sawa.. naomba kukuuliza kitu kimoja?

1. Twagiramungu amealikwa na raisi wenu kuja kufanya nini?

2. Hawa akina Rudasingwa who self-exiled himself in the US because of corruption practises when he was the ambassador ambae nae pamoja na akina Kalegeya swore to use any necessary means to overthrow our government wamekuja tanzania kufanya nini...na mind you wamekuja wakifuatana...is that a coincidence? I don't think so.

3. Hivi jirani yako ukianza kumuona anaalika maadui zako kila siku utafanyaje? Halafu anawaingiza kwake usiku usiku lakini kwa umakini wako unagundua? Huyo ni jirani mwema?

Naomba unijibu

1. Sijui kama nni kweli Rais wetu amemwalika Twagiramungu, na siamini kama kweli Rais wa Tanzania amemwalika
Twagiramungu. Kama kweli Twagiramungu amealikwa inawezekana ni kwa sababu za kisiasa, kutokana kijibu vitendo vya Paul Kagame.

2. Sababu inayowafanya watu wanaoipinga serikali ya Rwanda waje Tanzania kwa kufuatana (kama ni kweli), inaweza
kuwa ni kutokana na sababu za kiuslama na kutaka kujua kutoka kwa watu wanaoijua vizuri serikali ya PK maana ya vitisho alivyotoa PK, matusi waliyotoa wanasiasa waandamizi wa Rwanda kwa Tanzania, serikali
ya Tanzania na Rais wa Tanzania.
3. Ukiona jirani yako anaalika maadui wako, kweli katika hali ya kawaida kuna maana mbaya, au anatuma ujumbe fulani kwako. Lakini hawa jamaa hawaingii kisiri, walaingia wazi wazi tu kwa mtindo wa kuwafanya majasusi wa rwanda wajue kuwa wameingia.

Something to note though, it is justified from Rwandan vintage point to be worried which what Kigali authorities percieve to be a retaliation from JK, it is understandable if Kigali crys foul or even act.

However, you have to remember that when you are a leader, whenever you cause a diplomatic spat and for whatever reason, and whatever you says in public that may be subejct to open interpretation, you bear full responsibility of the outcome of your actions and words. PK as the President, Mushikwabo as FM know this very well.

In normal cases (not diplomatically) when someone insults you, vilify you, threatens to hit you, or even equates you to interhamwe, just for telling you a right thing (which for your own political reasons) which you think it is not, is it very understandable for you to react. But insulting back a person who insults you, does not make you any different from him, that is why i think my president and his entire government were very right not to engage themselves in verbal exchanges with authorities in Kigali. Paul Kagame can comfortably threaten Yoweri Museveni and can happily threaten Joseph Kabila, and how the two chose to react was their business. JK or Tanzania has her own way of reacting. When PK stood before militarymen in Kigali and vilify JK he definately knew what he was doing, and he bears full responsibility for what is happening.

Murutongore wewe unaongea kiswahili vizuri, naamini umeishi Tanzania, au ni mtanzania by affiliation, kwa hiyo naomba hili jambo uliangalie kwenye muktadha wake na kwa mentality ya mtanzania. Unajua kabisa kuwa JK hapa Tanzania sio Mungu, ndio maana anapiga hesabu vizuri sana kudeal na jambo hili bila kutukasirisha watanzania. JK hana beef hata kidogo na Rwanda, wanyarwanda, (watutsi au wahutu), na hakuna mtanzania mwenye chuki na wanyarwanda. Wanyarwanda ni ndugu wa watanzania kwa muda mrefu tena ni jirani zetu wema, long before Kagame hajazaliwa and that will be the case long after he leaves. Sioni kama ni jambo la busara kuanza kuangalia uhusiano kati ya wanyarwanda na watanzania kwa jicho la mvutano kati ya PK na JK, huku kwetu JK amebakiza siku 700 hivi za urais, tutakuwa na jina lingine, so we can not have an atomistic view of Rwanda-TZ relations, we have to look at at beyond PK na JK. Hata hivyo kutokana na ukaribu wa Rwanda na Tanzania, kinachotokea kati ya PK na JK, baadhi yetu tunakifananisha na kile kati ya JK na wanasiasa wengine wa Tanzania, au JK na Dr Slaa, bahati mbaya ni kuwa hili la JK na PK lina harufu ya diplomasia ndani yake.

Lakini vile vile ukumbuke kuwa Tanzania ni soveregin country, whoever comes to Tanzania is up to us to Tanzania to decide, not Kigali. Hyabyarimana tuliwahi kumwambia kuwa hawezi kutuambia watutsi wasije Tanzania, eti kwa kuwa wanapigana na serikali yake, we can tell PK the same hawezi kutuambia nani asije Tanzania kwa kuwa anataka kuiondoa serikali yake. Na kuja kwa hao watu, kama kweli wamekuja, hakuna maana kuwa Tanzania inaunga mkono vitendo vyao. PK anasumbuliwa na guilty conscious.

The problem is arrogance ya PK na baadhi ya watu Kigali, ya kutotaka kukubali kuwa hawa-kudeal vizuri na pendekezo la JK kuongea na FDLR, ndio inasumbua sasa. You can not believe how strong can respect be.
 
Wengi wenu humu hamna idea na mnachoongea,na inaonekana mnapenda vita sana na Rwanda,ila FYI hivyo vita havitatokea for one and only one reason...NO REASON FOR WAR WITH RWANDA,so keep hating and bashing may be inawasaida kuondoa stress zenu za ugumu wa maisha mliyonayo wapuuzi wakubwa nyie.

We do have an idea of what we are talking about. We have eyes and ears, we see and hear, that is why we are not buying your gibberish.

What we have learnt is that you may be a saddist, blood thirsty, toady and pyscopath. You enjoyed to hear tutsis you did not like got killed, and now you are enjoying to hear hutus you do not like get killed. This puts you at par with Bagosora.

FYI, we Tanzanians are not stressed, we enjoy our life in whatever shape it is. We have been into war before, we do not like it, that is even why our president is sure that talking is best way than fighting. We know that vita sio lele mama, because we fought one, (a couple to be precise), but you should know that we are not afraid of one, even if it comes today.
 
Usidandie treni kwa mbele, rudi kwenye mtiririko uangalie najibu kitu gani. besides, wakimbizi wa Rwanda hata leo wapo nchi nyingi tu, wapi umesikia wameunda jeshi kama alivyofanya kagame? Wayahudi wanaporudi kwao wanarudi kwa vita? wapi kuna jeshi la waasi wa israel uliloliona wewe au ndio yale ya kufananisha watutsi na wayahudi?

Menachem Begin na Irgun walikuwa kitu gani katika British Palestine?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom