Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,295
Ndugu yangu MimiBaba...naomba kuwekwa sawa kidogo...you have been repetedfly pointing out about Tutsis and the genocides they commited...naomba kueleweshwa hapa kidogo niko gizani...Kwa uelewa wangu Genocide ni mauaji yanaoyoandaliwa yenye malengo ya kuua na kutokomeza watu wenye kabila au chimbuko Fulani. Genociode ya Rwanda ya mwaka 1994 iliandaliwa na kufanywa na wahutu kwa ajili ya kutokomeza watusi. Watu zaidi ya milioni moja waliuliwa kwa kuwa tu ni aidha watusi au wahutu wenye mlenmgo wa kati. Sasa ndugu yangu unaposisistiza watusi walifanya genocide unamaanisha walijiua? Au waliuwa watusi wenzao? Unaposisitiza Kagame alifanya Genicide ina maana aliandaa genocide kumaliza watusi wenzie? Hapo umeniacha kidogo. Guys listen...Kila inapofikia karibia na maadhimisho ya kukumbuka mauaji ya kimbari waliyofanyiwa watusi na wahutu wachache wenye msimamo wa kati kama Waziri Agatha (RIP) huko Rwanda, maadhimisho ya KIMATAIFA ambayo hufanyika kila mwaka Aprili, mambo mawili hutokea...kwanza watusi waliofikwa na majanga hayo haswa waliokuwepo Rwanda kipindi hicho wanakuwa traumatized...wewe na mimi ambao tumetokea kupoteza mtu mmoja au wawili katika familia kwa ugonjwa ajali au chochote kisicho mauaji ikifika anniversary ya kifo huwa kumbukumbu zinarudi upya machungu unayapata kama ilikuwa jana, sembuse wengi Rwanda ambao unakuta alibaki peke yake katika familia au hata ukoo...huwa wana uchungu sana sana na wanakuwa very sensitive. Jambo la pili linalotokea huwa ni upande wa wauwaji/ndugu zao au wale wanao support hayo mauaji na wenye chuki dhidi ya watusi wanaodhani watusi hawastahili kuishi. Watu hawa roho zinawauma kuwa hawakufanikiwa kuwamaliza watusi wote! Niwie radhi ndugu yangu MimiBaba ila na wewe nakuweka kundi hili. Wao ikifika kipindi hiki huwa wanakuwa hiper! Wanaongea na kuzungumza kila wawezalo kuondoa international attention from remembering what exactly happened in 1994. Wengine hufanya hivi aidha kwa guilty consciousness au kutaka kufuta historia. Listen mkuu historia iko hivo...mliuwa watusi katika mauaji ya kimbari ya 1994 and this will haunt you for the rest of your lives. And this goes out to anyone who intentionally decides to end another person's life! It haunts you forever. Lucky are those who confess and seek for forgiveness...with readiness to be punished for the wrong done! Kwetu/kwenu nyinyi msiohusika...hapa namanisha wasio wanyarwanda...narudia...tusiingilie mambo ya ideology za watu bila kufanya research...research haimaanishi kusikiliza MimiBaba JMali au Mukamasimba kaongea nini ndipo na wewe useme yako...There is well documented research on Rwanda genocide...kesi hadi leo ziko mahakamani...Haya mengine ya nani kamtembelea nani yako way beyond us unless wewe ni mhusika wa moja kwa moja. Hatujasikia tamko la kagame au Rwanda kulaani hiyo safari na wala ikulu ya hapa sijasikia ikizungumzia mgeni huyo 'rasmi'. Basi mambo hayo tuwaachie baba na mama. Watu/media walipiga domo weeeee wakati wa tension zilizopita...mwisho ulikuwa nini? Mkulu si alituambia tuache ushabiki? Jeshi si lilitoa tamko lenyewe ndo linastahili kutoa updates za vita Kongo? Halafu hii vita ya mtandao ya wahutu na watusi tuwaachie wenyewe, very cautiously maana kama Nyerere alivoasa kuwa ubaguzi ni ugonjwa, tukumbuke unaambukiza! Haya jengeni taifa! Na nyie wenye vita yenu ya mdomo ya wahutu na watusi kwani huko kwenu mitandao hamna? Si naskia mmetandaziwa WIFI hadi vijijini? Si mkalumbane huko mtuache na yetu?
Nashukuru kwa hoja zako fasaha
1. Rudia tena kwenye tafiti zako jiridhishe kuwa PK na watutsi hawajawauwa watu kwa sababu si watutsi.
2. 6000000 inocent congolese waliouawa na Kagame pamoja na askari wa Uganda waliosingiziwa ni Intarahamwe na kuwa paraded na askari wa PK hiyo si genocide.
3. Wapinzani wa Kagame wengine wakiwa watutsi wenzie na pk hao ni mbwa si binadamu? Na inafanyika hivyo kwa kujihami na uhalifu tu.
4. Kwa nini maadhimisho yawe kwa ajili ya watutsi tu wahutu hawajauawa? Jibu ni rahisi kulingana na watutsi, wao wanaua na kulia wanauawa na kuhadaa dunia.
5. Mimi Mtanganyika toka central Tanganyika nachukia dhulma ya maisha atayofanyiwa mtu ye yote pahali po pote na mtu ye yote kwa sababu yo yote. Naamini kuna njia bora zamaelewano kuliko kutoa maisha. Hii imani yangu ni tofauti sana na viongozi akiwemo pk na jk. Nasisitiza dhukma ya maisha hata ya mtu mmoja kwangu inanisababishia maumivu kwa sababu naamini kuna mbadala wa kupata haki kutoka kwa mhalifu.
6. Narudia chokochoko za Rwanda dhidi ya Tanzania si za wanyarwanda wote bali ni za pk na genge lake la watutsi kumtishia rais wa tz hata kama ana madhaifu yake. Hilo halitavumiliwa litasemwa hadharani na ikibidi kuzipiga poa tu lakini tz iheshimiwe.
7. Umeelza vizuri kuwa hakuna tamko la serikali ya rwanda lakini aliyetishi kufanyia jk akiingia kwenye anga zake ni pk. Na alisema hadharani akaenda mbali kusema atakaesaliti rwanda atakiona(atauwawa) na niwakati alipouwawa mtutsi mwenzie SA. Ungetaka serikali itoe tamko lipi?
Mission ya MUKAMASIMBA iliyoleta malumbano haya kila upande ilikuwa na lengo. Lengo hili ni kujihami kwa uhalifu wa watutsi ambao ni zaidi ya genocide. Lakini mashambulizi kwa jk ambaye kwa sasa ni alama ya tz yalikusudia tumdharau rais wa nchi yetu HICHO HAKIWEZEKANI pamoja na tofauti zetu.
Mwisho watutsi waendelee tu na maadhisho ya genocide walioshiriki na kuhadaa dunia. OGOPA SANA WATU WANAVYOKUONA KIMATENDO NDIVYO SIVYO NA UNAYOYASEMA.
USHAURI
Kuanzisha hoja za chuki kama hii ya mukamasimba itajibiwa kwa chuki na nguvu ile ile tu hasa kutokana na kujaribu kumchafua mtu kama jk rais wetu. Halafu pamoja na credible research nazungumza kutoka na uzoefu na ushuhuda wa kujionea