Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
Mimi bado siamini kama ni PK kweli aliyetamka yale maneno ya kejeli kwa JK!
Mkuu kosa la JK hujaliona bado?
JK anakosa la kwenda kuongea nje mambo ya chumbani kwanini asingemwita kagame na kuongea naye? yeye kaenda kusema mataifa makubwa? Najua TZ kwanza lakini nadhani hata jk kakosea sana kuropoka!
Mkuu kwani kosa lake nini???kumshauri PK kupatana na wapinzani wake??mbona Mseveni aliafiki,na Kabila hajareact kama alivyofanya PK???duniani kote sasa hivi huo ndio mpango mzima nilikuwa naangalia CCN hapa raisi wa Columbia ameitisha baraza la katiba kuomba mabadiliko ya katiba ili kuruhusu serikali izungumze na FARC wanaopambana nao miaka nenda rudi vita ya ndani achana nayo haiishi.Ndio tatizo la kusema bila kufikiri after effect. Wanasema ukesha toa neno si lako tena na huwezi kulirudsha . JK must think before he opens his mouth
acha kuongea kama mtoto na wewe lile swala limejadiliwa kwenye kikao cha nchi za umoja wa afrika wala haikuwa siri sasa mambo ya chumani yanatoka wapi mbona juzi obama naye kampa ushauri kama huo.
Mimi bado siamini kama ni PK kweli aliyetamka yale maneno ya kejeli kwa JK!
tatizo la kagame ni kuwa tumeingilia maslahi yake.
lakin analofanya kagame isiwe sababu ya kuwachukia wanyarwanda.
Mkuu kwani kosa lake nini???kumshauri PK kupatana na wapinzani wake??mbona Mseveni aliafiki,na Kabila hajareact kama alivyofanya PK???duniani kote sasa hivi huo ndio mpango mzima nilikuwa naangalia CCN hapa raisi wa Columbia ameitisha baraza la katiba kuomba mabadiliko ya katiba ili kuruhusu serikali izungumze na FARC wanaopambana nao miaka nenda rudi vita ya ndani achana nayo haiishi.
Mimi bado siamini kama ni PK kweli aliyetamka yale maneno ya kejeli kwa JK!
Mkuu kosa la JK hujaliona bado?
JK anakosa la kwenda kuongea nje mambo ya chumbani kwanini asingemwita kagame na kuongea naye? yeye kaenda kusema mataifa makubwa? Najua TZ kwanza lakini nadhani hata jk kakosea sana kuropoka!
MKUU Henge nadhani haujui kinachoendlea..
kiukweli simpend JK ila kwa hili ntamtetea,.
ni mataifa makubwa yapi alooenda kuongea.?au ulihadithiwa tu haukuelewa ukajua kaongoa hayo mambo U.S.?
ishu ni hivi AU walikua wanajadili kuhusu amani sehemu za maziwa makuu na kila mwenye mchango wake alitakiwa kuchangia,KIKWETE akachangia kua inabidi kila nchi(Rwanda,Congo,Uganda) ambazo hazina amani zkae na vikundi vya waasi zmalize tofauti zao,M7 aliikubali ushauri kafungua majadliano na waasi..
kwakua ule ulikua n ushauri tu,Kagame alitakiwa kukubali au kuukataa hamna ambae angemlazimisha,chakushangaza akaanza kumtukana kikwete na kuongea maneno ya vitisho..
NIKUULIZE MASWALI YA FUATAYO:-
1.JE MTU AKIKUPA USHAURI UNACHUKUA HATUA GANI KAMA HAUUTAKI.?
2.JE USHAWAHI KUMSIKIA JK AKIONGEA TENA KUHUSU HAYO MAMBO.?
3.UNADHANI KWANINI KAGAME BADO ANAONGEA TU HADI LEO HII.?
4.UNADHANI KWANINI KIKUNDI CHA M23 KINAONGELEA JWTZ TU WAKATI MALAWI NA S.AFRICA NAO WAMEPELEKA MAJESHI YAO KULE.?