Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China

Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China

ebwana wee, Murutongore ya leo kali! jamaa bado hajaelewa unasema nini. ndio maana mi nasema hawa watu wanaokuja kumsaidia Jmali hata hawajiwezi! wengi wao wanaupeo wa chini sana, bila shaka ukwaambia washike mapanga waanze kuchinjana hawatakuuliza kwanini, hebu basi msaidie nini maana ya " font size" maana unaweza ukakuta yale maadishi naye yanamuumiza macho... Jmali unaona wafuwasi wako unaowapa tano kila siku?

Kweli wewe unachamba huku umesimama....... huko Rwanda mnapimwa upeo kwa kujua au kutojua font size.... mbona mimi babu yangu hakujua hata kompyuta nini alikuwa na upeo na hekima ya hali ya juu kuliko hata wale wenye elimu. Hata baba wa Taifa hakujua kompyuta, lakini upeo wake ulikuwa zaidi ya wasomi wengi wa sasa..... hivyo font size never being equal to upeo...

By the way.... mimi ni advanced user and programer wa computer, mimi siko kwenye general program kama mnazotumia ninyi, mimi niko kwenye specific program designer and user..... e.g gis na rs program...... pia niko kwenye cloud database management..... hivyo mimi si mwenzako katika computer science....

Kweli wewe unachamba huku umesimama....... huko Rwanda mnapimwa kwa upeo kwa kujua au kutojua font size.... mbona mimi babu yangu hakujua hata kompyuta nini alikuwa na upeo na hekima ya hali ya juu kuliko hata wale wenye elimu. Hata baba wa Taifa hakujua kompyuta, lakini upeo wake ulikuwa zaidi ya wasomi wengi wa sasa..... hivyo font size never being equal to upeo...

By the way.... mimi ni advanced user and programer wa computer, mimi siko kwenye general program kama mnazotumia ninyi, mimi niko kwenye specific program designer and user..... e.g gis na rs program...... pia niko kwenye cloud database management..... hivyo mimi si mwenzako katika computer science....

yote hayo halafu hujui maana ya font size. Hicho chuo chako ni bab kubwa. Hongera sana.
 
yote hayo halafu hujui maana ya font size. Hicho chuo chako ni bab kubwa. Hongera sana.

soma maelezo ndipo ujibu ..... vinginevyo unazidi kujionesha jinsi gani ulivyo mjinga..... mimi si wa kuambiwa font face, font name, font size, font color, shrink font, grow font, indent, etc.... those are features of elementary computer application especially ms words.... I'm in another level as far as computer is concerned.
 
Okay, good for you! So what is your point again? Let meaccept that you are a super genius in everything including discrimination andhate, Right? If not then explain to me what a current leadership in Rwanda doesand make you so mad referring to Tanzania as your best model
 
Pole pole, punguza jazba.
Sina shida na Rwanda... na hata wananchi wake... maana ninyi wengi tumewalea na kuwasomesha. Na wengine wengi wanafanya kazi hapa....
Tatizo ni PaKa... muuaji ambaye anawatesa wananchi..... rais wa maisha. Yaani haamini kama kuna MTU ana akili kama yeye. Ukibisha you are finished.
 
soma maelezo ndipo ujibu ..... Vinginevyo unazidi kujionesha jinsi gani ulivyo mjinga..... Mimi si wa kuambiwa font face, font name, font size, font color, shrink font, grow font, indent, etc.... Those are features of elementary computer application especially ms words.... I'm in another level as far as computer is concerned.

da kaka inatosha kishaelewa kuwa wewe simchezo hupend sifa kadogo full mashangwe et kakinunuliwa kagar bas ndo nshu jf watu wana sira zao kimyakimya
 
Wanaosema Rwanda ka nchi kadogo mmeifikiria Denmark, Norway, Sweden na nyinginezo.

Anachotafuta Rwanda ni kulinda anga yake hapo. Swala ni je nchi za EA kama yetu tunazo ndege za kivita (fighter jets) kupenya anga ya Rwanda bila kutunguliwa?
ni matope kweli kufikiri tz ikitaka kuishambulia rwanda itatumia ndege, jambo hili litakuwa option ya mwisho kabisa kwasababu kutumia ndege kushambulia rwanda kwanza itasababisha collateral damage kwa raia kubwa mno, raia wengi watauawa jambo ambalo si zuri. ili kulinda raia lazima ground inversion itatakiwa na kwasababu rwanda ndogo na ni masikini haitakuwa na uwezo kupambana kwa muda mrefu, in the contrary tanzania itakuwa na uwezo kupambana kwa muda mrefu wkasababu maeneo yatakayopiganwa au hata kunusa vita ni kagera/bukoba na kigoma tu na labda mwanza kidogo, ila maeneo mengine yote watoto wataendelea kwenda shule, biashara zitaendelea kama kawaida na shughuli zote jambo linaloweza kutufanya tupigane hata miaka mingi. rwanda watasitisha shughuli zote za kiuchumi na kijamii na hawatasavaivu kwa muda mrefu atanyoosha mikono au tutakuwa tumeshaingia kigali na kuwakomboa wanyarwanda toka kwa mr. slim.

zile mashine mpya tulizozionyesha wakati wa sherehe za uhuru ni bora kusambaratisha rwanda dakika. na zote zimetoka china na kuna mambo makubwa sana yameshafanyika ambayo ni siri za kijeshi.

hasara pekee tutakayopata watz ni kurudi nyuma kiuchumi ma ugumu wa maisha kuongezeka kwasababu badala ya pesa kutumika kulipa mishahara wananchi na kufanya shughuli zingine, zitatumika kununua vifaa vya jeshi na mafuta ya kuendeshea mitambo. kwanini tutumie hela kwenye issue hizo kwa nchi ambayo haina umuhimu wowote kwa tz na haina madhara yeyote? a landlocked country ambayo haina faida kuuubwa sana kwa watz (faida ya rwanda kwa tz ni ndogo tu) hata tusipokuwa rafiki zao hatuna hasara.
 
wewe hujui there is no free lunch, afadhali mnunue kushinda mpewe lakini kuwe na vikwazo vinavyoambatana na zawadi
tulishanunua na kupewa nyingi sana. madege mapya yalishaletwa sana tu. mimeli ya kivita ya kichina, ya kituruki etc iliyokuwa inakuja bongo unafikiri ilikuwa inaleta warembo?...sema jeshi letu lina siri nzito ndio maana linaheshimika.
 
Katika nch zenye siraha za kisasa hapa east lazima mtambue ni 2 tu sitak kusema meng zaid kwan ntakua naisariti nchiyangu na taarifa hii kwa sasa ni ya wikimoja kwan mdogo wangu ni mojawa maafisa wa jwtz sasa nchi hizo ni Ethiopia na Tanzania.Kulingana na migogoro ya mipaka kwa tz na misri kwa ethiopia siraha zimenunuliwa kwa siri. KAMA HAWA WARWANDA WATAENDELEA KUWEKA PICHA ZAID YA KIFAA HICHO NAM NAAHID KUWEKA VITU AMBAVYO WATANZANIA MTAAMINI KUA JWTZ WAPO SAWA SAWA
 
Story za vijiweni
uliona maonyesho ya uhuru na muungano, yale mavitu yalimfanya kagame asilale usingizi akifikiri tunataka kuingia kigali kuwakomboa wanyarwanda toka mikononi mwake. Tanzania tunasifika kwa kuwakomboa watu wengine. ukiona hizi ni story za mtaani, basi tell us, what does rwanda have to compete with tz in military strength.....ukiongelea hapo ongelea na geographical advantage kati ya nchi hizi mbili. the only option kagame will have tukiingia kigali ni kukimbilia msitu wa congo kujiunga na waasi kuanza kukomba nchi upya. ndio maana amefanya mkia. na alishaanza kuchimba mahandaki mpakani mwetu akijua wakati wowote tunaweza kutia timu kigali kuwakomboa wanyarwanda.
 
Mkuu, embu tupia mbili tuu mioyo yetu itakasike kwanza.
 
Tembo wangapi wamebakia ndugu!
 
Wapongeze na Kenya. As per lawmaina78 , nao pia wananunua kimyakimya!

Hii arms race nina shaka nayo, nakumbuka siku ya uzinduzi wa katiba yetu, jeshi letu lilifanya show ya vifaa ambavyo hatukujua jinsi vilinunuliwa, vitu vimetulia kisiri vinasubiri kupepea hewani, ila huu mkwara wote ni bure maana Misri washatishia EAC yote kwamba tutapata kichapo tukiyatumia maji ya ziwa, sasa mbona wote tuko kimya.
 
Naungana nawe siku mojamoja kipindi katiba inapatikana hapo nilikuwa Mombasa kwa mzee Mubarakha japo mungu amrehem mzee wangu nilishuhudia kias na ndipo nilijisema kua jambo la siraha za nchi silazima ununuz wake uwekwe kama maembe sokon MTANI VIP KAMGOMO KA USIKU UMEKAMALIZA
 
Aha!! usinikumbushe ya mgomo, yule mpuzi anasema eti tuwagomee wake zetu, bwana tukithubutu ndio tutakosa kuipata kabisaaa!!
 
Back
Top Bottom