sijaelewa hawa jamaa wanamringishia nani hako kagari ka kivita, wanamringishia tz? tz tunazo hizo kibao tu, hata juzi hivi kikwete kasaini madude kibao ya kiusalama aliyaongelea kwenye hotuba yake akasema hawezi kueleza zaidi kwasababu ya usalama. Tanzania ni china ya africa, piga ua, ukiuziwa silaha na china ni sawa na umeuziwa silaha na tanzania tu tutakujua hadi chumbani unakolala na mkeo na tukitaka kukufanya chochote tutakufanya tu.
Rwanda has nothing to compete with tz in any thing except usafi wa mazingira. ukija kwenye uchumi hawatuwezi, ukija nguvu ya kijeshi yaani hawatuwezi hata robo ndio maana hata kipindi kile kikwete alipotaka kuivamia kwa kuanzisha operation kimbunga ili iwe mwendelezo amchokoze kagame ili akijibu tu tuingie kigali, rafiki yake bleya alikuja mbio kwa kikwete ikulu na kutuliza na kagame akanyamaza kimyaaaa hatawahi kutoa mkia wake tena anaogopa kama ukoma. hivi mnafikiri kagame hana akili? unafikiri haijui tz? unafikiri hajui kuwa tunazo silaha za kutosha, na china walishasema atakayeichokoza tz ameichokoza china. mnajua ni kwanini kagame anajilaumu hadi leo hii kwanini alilipuka kipindi kile kama angelipewa nafasi ya kurudi nyuma asinge react namna ile, na mnajua ni kwanini pamoja na operation kimbunga iliyokuwa mwendelezo wa kuingia kigali (tungefika mpakani tungerusha tu kakombora halafu tunasema rwanda ametochokoza na tunaingia kigali), kwanini kagame amenyamaza kimya kama amemwagiwa maji?....someni nyakati.
Kipindi kile tulikuwa tunasema, Rwanda hapendi na hatopenda kuingia vitani na Tanzania.
Kagame anarumbana na Kikwete ila anajua wakati wa kupigana hatopigana na Kikwete ila na Watanzania.
Hakuna chombo kilichotulia nchi hii kama JWTZ. Ila kipindi kimeonekana dhaifu kutokana na Utawala wa JK lakini ni Jeshi moja makini sana Afrika.