Sasa wewe ndio unaongea vitu gani? Nnapo sema ulaya namaanisha "Western Europe" sio huko meli ilipokushushia! Hata ndugu zao wameona wataleta majanga ndio maana baadhi yao wakaingizwa kwenye Europian Union na waliobaki mpaka leo wako wanauwana kusudi na wao wajiunge, mawazo ya kujitenga yamebaki kwa viongozi makanjanja wa Tanzania ya leo ambao wanajivunia aldhi isiyo wasaidia hata watu wao.
Hebu niambie hiyo "middle class" ya bongo ni asilimia ngapi, ndio ni kweli walio bahatika kwenye mfumo wa kifisadi mpaka leo wanapeta lakini hizo sifa kazitangaze sehemu kama Mtwara ndio utanielewa nasema nini au kawaulize madokta, walimu na wafanyakazi wengine wa serikali halafu utuletee jibu, nnajua Tanzania hakuna ukabila na nijambo lakujivunia sikatai na ndio maana tuko busy kutokomeza ideology ya kinaJmali ambayo iliifikisha Rwanda pabaya, kama uko makini pesa utatengeza sio kuuza kabila, siku za mbeleni nakuhakikishia kama uongozi wenu utaendelea hivyo basi mtaanza kuzamia Rwanda badala ya South Africa.
NB: himizeni viongozi wenu kuchukuwa maamuzi magumu ili tuendelee kwa pamoja sio kesho kutwa muanze kuja kuruka ukuta.