Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China

sijaelewa hawa jamaa wanamringishia nani hako kagari ka kivita, wanamringishia tz? tz tunazo hizo kibao tu, hata juzi hivi kikwete kasaini madude kibao ya kiusalama aliyaongelea kwenye hotuba yake akasema hawezi kueleza zaidi kwasababu ya usalama. Tanzania ni china ya africa, piga ua, ukiuziwa silaha na china ni sawa na umeuziwa silaha na tanzania tu tutakujua hadi chumbani unakolala na mkeo na tukitaka kukufanya chochote tutakufanya tu.

Rwanda has nothing to compete with tz in any thing except usafi wa mazingira. ukija kwenye uchumi hawatuwezi, ukija nguvu ya kijeshi yaani hawatuwezi hata robo ndio maana hata kipindi kile kikwete alipotaka kuivamia kwa kuanzisha operation kimbunga ili iwe mwendelezo amchokoze kagame ili akijibu tu tuingie kigali, rafiki yake bleya alikuja mbio kwa kikwete ikulu na kutuliza na kagame akanyamaza kimyaaaa hatawahi kutoa mkia wake tena anaogopa kama ukoma. hivi mnafikiri kagame hana akili? unafikiri haijui tz? unafikiri hajui kuwa tunazo silaha za kutosha, na china walishasema atakayeichokoza tz ameichokoza china. mnajua ni kwanini kagame anajilaumu hadi leo hii kwanini alilipuka kipindi kile kama angelipewa nafasi ya kurudi nyuma asinge react namna ile, na mnajua ni kwanini pamoja na operation kimbunga iliyokuwa mwendelezo wa kuingia kigali (tungefika mpakani tungerusha tu kakombora halafu tunasema rwanda ametochokoza na tunaingia kigali), kwanini kagame amenyamaza kimya kama amemwagiwa maji?....someni nyakati.
Story za vijiweni
 
Kwa chuki wanazomwagiwa Warwanda, ni muhimu kujitayarisha kwa chochote wakati wowote na kwa vyovyote vile, a small country but potent. I can't fathom they are now in possession of an equipment not found anywhere else in EA... hongera Kagame.

hivyo vikombora vyao vimepitishiwa bandari gani?
 
Kenya tuna huu mziki hapa, ila manunuzi yanafanyika kwa siri, yaani mataifa ya EAC yapo kwenye arms race kimya kimya, tutashtukiana siku fulani halafu mizingi ipepe hewani, duh! sipendi hivi.

ORD_SAM_SA-11_Buk-M1_Finland_lg.jpg

Kenya Talks • View topic - Kenya buys missile air defence system to counter Museveni SU30MK fighter jets.

Hiyo link inasema wakenya mnajihami na museveni, lakini si mko naye COW? kumbe hata ndani ya COW hamuaminiani? yani kakisiwa ka migingo tu.....
 
Umesahau Migingo walitaka kutoana macho.

Hiyo link inasema wakenya mnajihami na museveni, lakini si mko naye COW? kumbe hata ndani ya COW hamuaminiani? yani kakisiwa ka migingo tu.....
 
Hiyo link inasema wakenya mnajihami na museveni, lakini si mko naye COW? kumbe hata ndani ya COW hamuaminiani? yani kakisiwa ka migingo tu.....

CoW ni biashara, hatuna cha undugu wala udada, kila nchi lazima siku zote ijihami na ikae mkao wa kuzicheza mambo yakienda kivingine. Jiwe la Migingo haliwezi fanya tupigane ovyo, kuna jinsi nyingine za kusuluhisha tunazozifuata. Vita ni gharama kubwa na ndio unaona Watanzania hawajakimbilia kupigana na Malawi baada ya kuzuka ugomvi kuhusu ziwa.

Tanzania ilijifunza walipoingia Uganda, nchi inarudi nyuma kiuchumi halafu vizazi vya kesho vinabaki kuumia. Yaani nimesema siku nyingi, ni bahati sana Waganda walikua wamemchoka Id Amin kiasi kwamba walikubali nchi yao ikojolewe, bure wangejitokeza kwa mamilioni kutetea bendera yao na hapo ndio umwagikaji wa damu ungekua kama bahari. Muulize Mmarekani kilichomkuta Vietnam, wanavijiji waliamua wafe wote.

Hata sisi bahati yetu Wasomali wamewachoka Alshabaab, bure pale Somalia ingekua kichinjio cha jeshi letu la KDF.

Kwanza wewe jMali unafaa kuwa umejua hili wakati wa vita vyenu huko Rwanda baina yenu na Kagame, wengi wenu mmeishia kujificha Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
wewe hujui there is no free lunch, afadhali mnunue kushinda mpewe lakini kuwe na vikwazo vinavyoambatana na zawadi

Mkuu, Case in point Sakata la Pembe za ndovu. Kwa speed mliyonayo very soon watalii watakuwa wanakuja kuangalia "the big 4" instead of "the big 5". Very Sad. Sio kitu cha kufurahia kabisa. Raisi wetu angekuwa anawashughulikia hadharani ili wawe mfano halafu ungeona. Hakuna cha msalia mtume. Watu wachache wanaathiri maisha ya wengi. Hiyo haikubaliki lakini mimi siwezi kusema chochote maanake huku kwetu hakuna demokrasia bali kwenu ndio kuna demokrasia ya kuua Tembo wote. "Democray vs Authritarianism. Chaguo ni lenu.

cc Talkandtalk, Commanche, mchambawima1, MUKAMASIMBA, Koba, Bongolander,
 
CoW ni biashara, hatuna cha undugu wala udada, kila nchi lazima siku zote ijihami na ikae mkao wa kuzicheza mambo yakienda kivingine. Jiwe la Migingo haliwezi fanya tupigane ovyo, kuna jinsi nyingine za kusuluhisha tunazozifuata. Vita ni gharama kubwa na ndio unaona Watanzania hawajakimbilia kupigana na Malawi baada ya kuzuka ugomvi kuhusu ziwa.

Tanzania ilijifunza walipoingia Uganda, nchi inarudi nyuma kiuchumi halafu vizazi vya kesho vinabaki kuumia. Yaani nimesema siku nyingi, ni bahati sana Waganda walikua wamemchoka Id Amin kiasi kwamba walikubali nchi yao ikojolewe, bure wangejitokeza kwa mamilioni kutetea bendera yao na hapo ndio umwagikaji wa damu ungekua kama bahari. Muulize Mmarekani kilichomkuta Vietnam, wanavijiji waliamua wafe wote.

Hata sisi bahati yetu Wasomali wamewachoka Alshabaab, bure pale Somalia ingekua kichinjio cha jeshi letu la KDF.

Kwanza wewe jMali unafaa kuwa umejua hili wakati wa vita vyenu huko Rwanda baina yenu na Kagame, wengi wenu mmeishia kujificha Tanzania.
una stori nyingi sana ambazo hazipo karibu na uhalisia
 
hivyo vikombora vyao vimepitishiwa bandari gani?

Hapo hapo bongo ulipoommba ukimbizi, ila kwa kuwa tumeshashtukia jinsi mlivyovamia nchi za watu, imetubidi tuombe kusimamia mizigo yetu sisi wenyewe!
 
asitutishe,asitutishe,asitutishe,asitutishe....:a s 13::a s 13:
 
sijaelewa hawa jamaa wanamringishia nani hako kagari ka kivita, wanamringishia tz? tz tunazo hizo kibao tu, hata juzi hivi kikwete kasaini madude kibao ya kiusalama aliyaongelea kwenye hotuba yake akasema hawezi kueleza zaidi kwasababu ya usalama. Tanzania ni china ya africa, piga ua, ukiuziwa silaha na china ni sawa na umeuziwa silaha na tanzania tu tutakujua hadi chumbani unakolala na mkeo na tukitaka kukufanya chochote tutakufanya tu.

Rwanda has nothing to compete with tz in any thing except usafi wa mazingira. ukija kwenye uchumi hawatuwezi, ukija nguvu ya kijeshi yaani hawatuwezi hata robo ndio maana hata kipindi kile kikwete alipotaka kuivamia(i.e Rwanda) kwa kuanzisha operation kimbunga ili iwe mwendelezo amchokoze kagame ili akijibu tu tuingie kigali, rafiki yake bleya alikuja mbio kwa kikwete ikulu na kutuliza na kagame akanyamaza kimyaaaa hatawahi kutoa mkia wake tena anaogopa kama ukoma. hivi mnafikiri kagame hana akili? unafikiri haijui tz? unafikiri hajui kuwa tunazo silaha za kutosha, na china walishasema atakayeichokoza tz ameichokoza china. mnajua ni kwanini kagame anajilaumu hadi leo hii kwanini alilipuka kipindi kile kama angelipewa nafasi ya kurudi nyuma asinge react namna ile, na mnajua ni kwanini pamoja na operation kimbunga iliyokuwa mwendelezo wa kuingia kigali (tungefika mpakani tungerusha tu kakombora halafu tunasema rwanda ametochokoza na tunaingia kigali), kwanini kagame amenyamaza kimya kama amemwagiwa maji?....someni nyakati.
:yell::der::der::der::der::der::der::der::der::der::der::der::der::der:
 
CoW ni biashara, hatuna cha undugu wala udada, kila nchi lazima siku zote ijihami na ikae mkao wa kuzicheza mambo yakienda kivingine. Jiwe la Migingo haliwezi fanya tupigane ovyo, kuna jinsi nyingine za kusuluhisha tunazozifuata. Vita ni gharama kubwa na ndio unaona Watanzania hawajakimbilia kupigana na Malawi baada ya kuzuka ugomvi kuhusu ziwa.

Tanzania ilijifunza walipoingia Uganda, nchi inarudi nyuma kiuchumi halafu vizazi vya kesho vinabaki kuumia. Yaani nimesema siku nyingi, ni bahati sana Waganda walikua wamemchoka Id Amin kiasi kwamba walikubali nchi yao ikojolewe, bure wangejitokeza kwa mamilioni kutetea bendera yao na hapo ndio umwagikaji wa damu ungekua kama bahari. Muulize Mmarekani kilichomkuta Vietnam, wanavijiji waliamua wafe wote.

Hata sisi bahati yetu Wasomali wamewachoka Alshabaab, bure pale Somalia ingekua kichinjio cha jeshi letu la KDF.

Kwanza wewe jMali unafaa kuwa umejua hili wakati wa vita vyenu huko Rwanda baina yenu na Kagame, wengi wenu mmeishia kujificha Tanzania.

1. Kila siku tukisema EAC is about business nyie ndio mnaleta sera za undugu. Sisi Tanzania hatuna faida yoyote ya common visa wala land wala migration ya wafanyakazi kijinga jinga like COW. when we say this, mnajifanya kuunda COW kumbe hata kakisiwa kadogo tu mnashindwa kuelewana. Si tunawacheki tu, na bwana mdogo naye kajitutumua kununua vikombora vyake vya mchina, sasa nyie endelezeni tu bifu na uganda muone atakuwa side gani.....
2. Hakuna mtanzania halisi yoyote anayejutia uamuzi wetu wa kuingia Uganda. Na tuliingia Uganda kwa ruhusa ya waganda wenyewe, ndio maana mpaka leo uhusiano wetu na Uganda ni mzuri. Na siku tukiingia kwenu (kwenu halisi sio hapo kenya) utashangaa jinsi 99% ya watu wenu watakavyotushangilia barabarani!
 
We Joka kuu unanishangaza kweli! Unaisemea UNHCR Tanzania au serikali ya Tanzania? Au ndio ushapewa uraia? Kwa mujibu wa waziri wa utalii Tanzania, juzi juzi kasema serikali yao inataka kujiunga na VIZA moja ya EAC sema tatizo serikali bado hawajatengeneza vitambulisho vya wananchi watanzania, au kwa vile unakitambulisho cha ukimbizi kutoka UNHCR unafikiri na raia wa bongo wanavyo? We ngoja vitengenezwe uone kama hawajajiunga.
Ile kataa yote kumbe ilikuwa "sizitaki mbichi hizi" baada ya wazungu kuwauliza hivi hamuoni umuhimu wa viza moja ndio siri ikafichuka, kiukweli mimi mwenyewe nilikuwa nafikiri ni ule mchezo wao wakusubulia wengine wafanye halafu mafanikio yakionekana basi nao wajiunge, kumbe sivyo, kweli mchonga tutammiss milele.
 
Mkuu, Case in point Sakata la Pembe za ndovu. Kwa speed mliyonayo very soon watalii watakuwa wanakuja kuangalia "the big 4" instead of "the big 5". Very Sad. Sio kitu cha kufurahia kabisa. Raisi wetu angekuwa anawashughulikia hadharani ili wawe mfano halafu ungeona. Hakuna cha msalia mtume. Watu wachache wanaathiri maisha ya wengi. Hiyo haikubaliki lakini mimi siwezi kusema chochote maanake huku kwetu hakuna demokrasia bali kwenu ndio kuna demokrasia ya kuua Tembo wote. "Democray vs Authritarianism. Chaguo ni lenu.

cc Talkandtalk, Commanche, mchambawima1, MUKAMASIMBA, Koba, Bongolander,

Kama madictator wote wangekuwa kama kagame, tungekuwa mbali sana. Of all things that we can talk about Rwanda, watanzania wengi tungependa kuwa na Rais mwenye uwezo wa kupambana na mafisadi kama Kagame. Murutongore unajua kabisa kuwa Kagame is Tanzanian president Tanzania never had.

Lacuna next year tunajaribu tena...i hope watabakia Tembo wa kujireproduce na kuja kufikia walau laki 1.5.
By the time JK anaondoka watakuwa wamebaki tempo elfu 55 down from zaidi ya laki 1,7
 
Kwa chuki wanazomwagiwa Warwanda, ni muhimu kujitayarisha kwa chochote wakati wowote na kwa vyovyote vile, a small country but potent. I can't fathom they are now in possession of an equipment not found anywhere else in EA... hongera Kagame.

Kwani TYPE 63A Tanks zinapatikana nchi gani nyingine ya EA au East and Central Africa zaidi ya Tanzania pekee mkuu? Mbona sikuonagi ukisifia Tanzania hata kidogo mkuu?
 
Buda in here again, kwa iyo lawmaina wewe umechambua comment ya huyo hapo na wengine wa JF, uka confirm wanachukiwa na majamaa wa huku, la hasha bro! Wanaoichukia Rwanda ni wao wenyewe, husomi habari kutoka Congo Uk France Belgium Tz, anavyotuhumiwa na wakimbizi from Rwanda, au unadhani wanadanganya. No one's hating them toka huu upande, presdaa alifanya kuwapatanisha tu kiroho safi, najua we unaiponda sana Tz upo kishabiki na unawaza alifanya makosa kuwakimbiza, so we enemies, no man! It was protocol and it'll be protocol ikitokea tena pande yeyote, he ain't there to please nobody except his masters. Kwa iyo we kaa ukijua kwamba, kama idol wako bwana Kagame ataamua kulitumia, atalielekezea Congo huko walikojificha ndugu zake, atawahit! Albeit that sounds good from you, Nyang'au with swag.
 
1. Kila siku tukisema EAC is about business nyie ndio mnaleta sera za undugu. Sisi Tanzania hatuna faida yoyote ya common visa wala land wala migration ya wafanyakazi kijinga jinga like COW. when we say this, mnajifanya kuunda COW kumbe hata kakisiwa kadogo tu mnashindwa kuelewana. Si tunawacheki tu, na bwana mdogo naye kajitutumua kununua vikombora vyake vya mchina, sasa nyie endelezeni tu bifu na uganda muone atakuwa side gani.....
2. Hakuna mtanzania halisi yoyote anayejutia uamuzi wetu wa kuingia Uganda. Na tuliingia Uganda kwa ruhusa ya waganda wenyewe, ndio maana mpaka leo uhusiano wetu na Uganda ni mzuri. Na siku tukiingia kwenu (kwenu halisi sio hapo kenya) utashangaa jinsi 99% ya watu wenu watakavyotushangilia barabarani!

Ni vigumu kujadili na wewe wakati unatumia "sisi Watanzania", hujahitimu hiyo title, hivyo ukiwa tayari kujadili na mimi geuza na kutumia ipasavyo, wacha kung'eng'ania nchi ya watu.
 
kama hilo la utanzania wangu kwako ni questionable tuache tu kujadiliana sio ishu. After all you should know kwamba najadiliana na wewe through this lawmaina ID of yours out of courtesy kwa sababu angalau kuna vijihoja huwa unatoa, but i have already proved kuwa wewe ni the same person behind zile ID zingine ambazo huwa unajitoa fahamu na kutukana hovyo. So please kama huwezi kujadiliana na mimi kwa sababu you think uraia wangu una utata or whatever just say so and i won't reply to you. vinginevyo jenga HOJA!
 
Back
Top Bottom