Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
View attachment 200716
A photo of the TL-50 system shown at the Africa Aerospace Defense Exhibition in South Africa earlier this year.

China North Industries Corporation based in Beijing has successfully exported its TL-50 or Sky Dragon 50 air defense missiles to Rwanda, according to Kanwa Defense Review, a Chinese-language military magazine based in Canada.

Rwanda is the first and currently the only nation in Africa to use the TL-50. Designed based on China's PL-12 air-to-air missile, the TL-50 can attack targets between 20 and 30 kilometers from the ground with an attacking range of 50 kilometers. Kanwa said it is now the most advanced air defense missile in East Africa, though Rwanda has purchased only a very limited number of the missiles.

With the ability to track 144 targets, the TL-50 can launch 12 missiles to intercept 12 incoming targets simultaneously. A photo of the system was shown at the Africa Aerospace Defense Exhibition this year which shows a single missile launcher with four launch tubes. Rwanda must have at least four TL-50 launchers as this is the system's lowest operational unit, Kanwa said.

The missile also has fire and forget capability, Kanwa said. However, the TL-50 has not entered service in China, as the PLA has selected the HQ-16 as its current standard air defense missile.

Source:wantchinatimes

http://www.wantchinatimes.com/news-subclass-cnt.aspx?cid=1101&MainCatID=11&id=20141109000060
 
Karibu sana!

images
 
jMali

Ahahhha, eti advanced east africa nzima. Basi ajipendekeze kwetu aone tutakavyompa hasara.
Sasa jamaa bado wanachinjana hayo makombora ya nini? I wish tutakapopeleka demokrasia rwanda tutawanyanganya hivyo vikombora vyao.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, nani amvamie rwanda? ka nchi kadogo hakana madini, hakana chochote. Sana sana ni wenyewe kwa wenyewe tu humo ndani
Ndio maana ukiongea utumbo na mimi nakurudishia utumbo wako! Hivi hata kama Rwanda ingekuwa na madini ya kutosha, mngeaza na hayo ya kwenu yawasaidie kujitoa aibu. Jana kwenye twitter Daudi Balali kapigilia msumali wa mwisho, nnamnukuu:
Tanzania: a sick country, a sick president, a sick economy, a confused society and a very uncertain future. Only God can save you now. Mwisho wa kumnukuu.
Ukiongezea na ubaguzi wa Jmali na ndugu zake wa FDLR; mbona kiama.
 
ahahahha muache aendelee kujipachika utanzania!!! kesho kiki waka utaona jinsi watakavyo mfurumusha huko na break itakua RUSUMO.

Tena waombe sana Mungu, mratibu wao Membe apite 2015 lasivyo akija mtu anayeelewa ubaya wa ubaguzi na mauaji lazima awapandishe kalandinga
 
Kwa chuki wanazomwagiwa Warwanda, ni muhimu kujitayarisha kwa chochote wakati wowote na kwa vyovyote vile, a small country but potent. I can't fathom they are now in possession of an equipment not found anywhere else in EA... hongera Kagame.
 
Mara nying naheshmu mawazo yako lakin kwa hli umebugi..
Rwanda hamwagiwi chuki wala hakuna sababu ya kumchkia ila tatzo wakorofi sana..
 
Enhe we mwenye fikra pevu, hebu tuambie ukorofi wao basi ili watu waujue.
Au ndio wao wanauwa mazeluzelu, tembo na mshikemshike zote tunazozisikia huko? Ukoo wa Jmali!
 
Mara nying naheshmu mawazo yako lakin kwa hli umebugi..
Rwanda hamwagiwi chuki wala hakuna sababu ya kumchkia ila tatzo wakorofi sana..

Hebu ichambue comment kama hii hapa

Ahahhha, eti advanced east africa nzima. Basi ajipendekeze kwetu aone tutakavyompa hasara.
Sasa jamaa bado wanachinjana hayo makombora ya nini? I wish tutakapopeleka demokrasia rwanda tutawanyanganya hivyo vikombora vyao.
 
Hao wala wasikushughulishe sana mkuu, ni wale wale ukoo wa Jmali. Hawana lolote, kwani uko ukimbizini wameona demokrasi gani? Hao shida yao ni kuendeleza ubaguzi na kukosanisha nchi na nchi kama walivyofanya Zaire.
 
MTU anisaidie latest defence system za Ke , Ug name Tz.
nachojua enzi za Kagera War Tz tulikua na SAM 6. ambayo Ni almost equal na TL 50. sema Hii Tl 50 imeadvance kidogo Tu.

na uwepo WA SAM 6 ZAIDI YA 300. ULIZIMISHA ndoto ya Ke kutushambulia enzi za 80s
 
sijaelewa hawa jamaa wanamringishia nani hako kagari ka kivita, wanamringishia tz? tz tunazo hizo kibao tu, hata juzi hivi kikwete kasaini madude kibao ya kiusalama aliyaongelea kwenye hotuba yake akasema hawezi kueleza zaidi kwasababu ya usalama. Tanzania ni china ya africa, piga ua, ukiuziwa silaha na china ni sawa na umeuziwa silaha na tanzania tu tutakujua hadi chumbani unakolala na mkeo na tukitaka kukufanya chochote tutakufanya tu.

Rwanda has nothing to compete with tz in any thing except usafi wa mazingira. ukija kwenye uchumi hawatuwezi, ukija nguvu ya kijeshi yaani hawatuwezi hata robo ndio maana hata kipindi kile kikwete alipotaka kuivamia kwa kuanzisha operation kimbunga ili iwe mwendelezo amchokoze kagame ili akijibu tu tuingie kigali, rafiki yake bleya alikuja mbio kwa kikwete ikulu na kutuliza na kagame akanyamaza kimyaaaa hatawahi kutoa mkia wake tena anaogopa kama ukoma. hivi mnafikiri kagame hana akili? unafikiri haijui tz? unafikiri hajui kuwa tunazo silaha za kutosha, na china walishasema atakayeichokoza tz ameichokoza china. mnajua ni kwanini kagame anajilaumu hadi leo hii kwanini alilipuka kipindi kile kama angelipewa nafasi ya kurudi nyuma asinge react namna ile, na mnajua ni kwanini pamoja na operation kimbunga iliyokuwa mwendelezo wa kuingia kigali (tungefika mpakani tungerusha tu kakombora halafu tunasema rwanda ametochokoza na tunaingia kigali), kwanini kagame amenyamaza kimya kama amemwagiwa maji?....someni nyakati.
 
Kenya tuna huu mziki hapa, ila manunuzi yanafanyika kwa siri, yaani mataifa ya EAC yapo kwenye arms race kimya kimya, tutashtukiana siku fulani halafu mizingi ipepe hewani, duh! sipendi hivi.

ORD_SAM_SA-11_Buk-M1_Finland_lg.jpg

Kenya Talks • View topic - Kenya buys missile air defence system to counter Museveni SU30MK fighter jets.
 
sijaelewa hawa jamaa wanamringishia nani hako kagari ka kivita, wanamringishia tz? tz tunazo hizo kibao tu, hata juzi hivi kikwete kasaini madude kibao ya kiusalama aliyaongelea kwenye hotuba yake akasema hawezi kueleza zaidi kwasababu ya usalama. Tanzania ni china ya africa, piga ua, ukiuziwa silaha na china ni sawa na umeuziwa silaha na tanzania tu tutakujua hadi chumbani unakolala na mkeo na tukitaka kukufanya chochote tutakufanya tu.

Rwanda has nothing to compete with tz in any thing except usafi wa mazingira. ukija kwenye uchumi hawatuwezi, ukija nguvu ya kijeshi yaani hawatuwezi hata robo ndio maana hata kipindi kile kikwete alipotaka kuivamia kwa kuanzisha operation kimbunga ili iwe mwendelezo amchokoze kagame ili akijibu tu tuingie kigali, rafiki yake bleya alikuja mbio kwa kikwete ikulu na kutuliza na kagame akanyamaza kimyaaaa hatawahi kutoa mkia wake tena anaogopa kama ukoma. hivi mnafikiri kagame hana akili? unafikiri haijui tz? unafikiri hajui kuwa tunazo silaha za kutosha, na china walishasema atakayeichokoza tz ameichokoza china. mnajua ni kwanini kagame anajilaumu hadi leo hii kwanini alilipuka kipindi kile kama angelipewa nafasi ya kurudi nyuma asinge react namna ile, na mnajua ni kwanini pamoja na operation kimbunga iliyokuwa mwendelezo wa kuingia kigali (tungefika mpakani tungerusha tu kakombora halafu tunasema rwanda ametochokoza na tunaingia kigali), kwanini kagame amenyamaza kimya kama amemwagiwa maji?....someni nyakati.

Angalia aliyeanzisha hii thread halafu usome post zake zote halafu urudie kusoma uliyoyaandika. Usiwe mvivu wa kuumiza kichwa bwashee.
 
Back
Top Bottom