Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China

Ndio maana ukiongea utumbo na mimi nakurudishia utumbo wako! Hivi hata kama Rwanda ingekuwa na madini ya kutosha, mngeaza na hayo ya kwenu yawasaidie kujitoa aibu. Jana kwenye twitter Daudi Balali kapigilia msumali wa mwisho, nnamnukuu:
Tanzania: a sick country, a sick president, a sick economy, a confused society and a very uncertain future. Only God can save you now. Mwisho wa kumnukuu.
Ukiongezea na ubaguzi wa Jmali na ndugu zake wa FDLR; mbona kiama.

Balali wa wapi huyo??
 
Kwa chuki wanazomwagiwa Warwanda, ni muhimu kujitayarisha kwa chochote wakati wowote na kwa vyovyote vile, a small country but potent. I can't fathom they are now in possession of an equipment not found anywhere else in EA... hongera Kagame.

Kumiliki silaha na kujua vita ni vitu viwili tofauti.
 
Kama madictator wote wangekuwa kama kagame, tungekuwa mbali sana. Of all things that we can talk about Rwanda, watanzania wengi tungependa kuwa na Rais mwenye uwezo wa kupambana na mafisadi kama Kagame. Murutongore unajua kabisa kuwa Kagame is Tanzanian president Tanzania never had.

Lacuna next year tunajaribu tena...i hope watabakia Tembo wa kujireproduce na kuja kufikia walau laki 1.5.
By the time JK anaondoka watakuwa wamebaki tempo elfu 55 down from zaidi ya laki 1,7

Siku nyingine usijaribu kuchanganya viroba na uji wako wa ulezi. Pumba tupu
 
RPF ya watutsi, Mnajifanya kumkosoa JK mkosoeini Kagame kwa utawala wake wa mkono wa chuma uone kama utaendelea kupumua duniani, Nyinyi bado sana sisi Rais wetu tunamkosoa sana lakini Kagame mkijaribu mtakiona cha moto, anajiona yeye ni Mungu mtu bila yeye hakuna Rwanda, tusubiri na yeye mwanaye akikua amwachie urais kama M7 anavyotaka kufanya hafu mtakavyorudi kwenye machafuko msirudi Tanzania kuja kutuharibia misitu yetu.

Kwa hiyo PRF wote ni Tutsi? Kweli genocidaire mmeamua kupotosha ukweli. Haya! I just sit back and watch the show.
 
RPF ya watutsi, Mnajifanya kumkosoa JK mkosoeini Kagame kwa utawala wake wa mkono wa chuma uone kama utaendelea kupumua duniani, Nyinyi bado sana sisi Rais wetu tunamkosoa sana lakini Kagame mkijaribu mtakiona cha moto, anajiona yeye ni Mungu mtu bila yeye hakuna Rwanda, tusubiri na yeye mwanaye akikua amwachie urais kama M7 anavyotaka kufanya hafu mtakavyorudi kwenye machafuko msirudi Tanzania kuja kutuharibia misitu yetu.

Mbona unaongea kwa jazba sana dada? Matokeo yake umeongea pumba mwanzo mwisho. JF ni ya wanaotumia akili, sasa usiongee kwa hisia bila vielelezo na ushahidi. Kagame ni kiongozi jasiri mwenye kuipenda na kuitumikia kulikotukuka nchi ya Rwanda. Naamini rais JK naye ni mzalendo na pia ana mazuri mengi anayafanya. Lakini wote wana mapungufu kama binadamu. Kinachopingwa na wapenda amani na ukweli hapa JF ni hili genge la wabaguzi wanaowachukia Tutsi na Kagame kwa vigezo vya ukabila. Hawa wengi wao ni extremist hutus au mazalia wao kutoka Rwanda. Kwa wao hakuna jema afanyalo Kagame. Sisi waerevu tunakataa katakata kusombwa katika chuki hizi za kipuuzi. By the way, mimi ni m-Tanzania.
 
Acha upumbavu we mjane watutsi tunawachukia kwa matendo ya viongozi wao Kagame &Co wanajifanya wao ni bora kuliko wahutu, tunajua kama Kagame anapendelea watutsi wanaotoka maeneo ya kwao katika kuwapa uongozi na hata vyeo jeshini, hiyo haitawasaidia jiulize kwanini abadili katiba anataka awe rais wa maisha? Tutaona mwisho wake maana fainal uzeeni na hapo ndo mtarudi katika enzi zenu.

Dua la kuku hilo! Kwa hiyo kipindi kile cha mchonga(RIP) jeshi lilikuwa linapendelea watu wa msoma? We kweli mkabila, jeshi ni moyo wako, hatulazimishani, anayejisikia ujasiri ujiunga nalo, ukabila sio kigezo kwa jeshi lolote imara!
 
Kama uerevu ni pumba ulizoandika hapa basi kheri nibaki na upumbavu wangu. Lakini sitakaa kukubali upuuzi unaouleta wewe pamoja na genocidaire wenzi wako humu. Chuki inawasumbua. Tutsi are Rwandans too and are here to stay, mpende msipende. When extremist hutu were running the country it was just another banana republic. Nchi imeanza kuwa na neema post genocide i.e post 1994 under Bizimungu (before he lost his senses) and thereafter Kagame. Sasa hivi nchi inasonga mbele. Halafu usitake kuongea kana kwamba Tutsi wote ni wamoja. Ni sawa kusema hutu wote ni wamoja. Umoja wa Rwanda si wa kila kundi pekee ni umoja unaoletwa na utaifa. Hutu wa north na wa south wana tofauti na hujihesabia tofauti. Na Tutsi pia. Umoja ni wa wanyarwanda kama wananchi wote bila kujali kundi atokalo.
 
Acha propaganda wewe Tutsi mnawakandamiza hutu, nitajie jererali yeyote katika jeshi le Kagame ambaye ni Hutu tribe, mnatumia genocide kama kivuli cha kutekeleza mauaji yenu ya kisiri dhidi ya wanaompinga Kagame, tunajua hata Hutu waliuawa 1994 na aliyewaua ni huyo Rais aliyeko madarakani sasa.

Jibu swali we mtutsi, Jeshi la Tanzania halikuwahi kupendelea kabila, ila kama wewe ni jasiri nenda jeshini Wakurya wengi ni majasiri. Ngoja tuone miaka mingapi Kagame ataishi, siku atakayochoka ndo nchi itakaposambaratika.

Dua la kuku hilo! Kwa hiyo kipindi kile cha mchonga(RIP) jeshi lilikuwa linapendelea watu wa msoma? We kweli mkabila, jeshi ni moyo wako, hatulazimishani, anayejisikia ujasiri ujiunga nalo, ukabila sio kigezo kwa jeshi lolote imara!
 
Acha propaganda wewe Tutsi mnawakandamiza hutu, nitajie jererali yeyote katika jeshi le Kagame ambaye ni Hutu tribe, mnatumia genocide kama kivuli cha kutekeleza mauaji yenu ya kisiri dhidi ya wanaompinga Kagame, tunajua hata Hutu waliuawa 1994 na aliyewaua ni huyo Rais aliyeko madarakani sasa.

Majenerali hawatokei kama wakuu wa wilaya kwamba achaguliwe kirahisi rahisi. Kuna kanuni za kijeshi zinazotawala upandishwaji vyeo kwa maofisa wake. Kumbuka RDF is barely 20 years old. Assuming that a recruit joined the RPA/RDF in 1994 as a 2nd Lt. Kwa taratibu za kijeshi sana sana huyu ofisa atakuwa ni Lt. Col au Colonel at best. Na hawa hutu officers wa rank hii wapo wengi. Lakini usimsahau Rwarakabije ni hutu. Nikuulize swali; je ni Tutsi wangapi walijoin RPA/RDF post liberation ambao sasa ni Generals be it one star (brig-gen), two-star (maj-gen), three-star(lt-gen) or four star (general)? Nitajie wawili tu. Msilete story zenu za msituni kwa watu tunaofahamu.
 
huwezi kumpata na kamwe hutompata! huku mambo yalishabadilika vile vitambulisho vyenye ukabila vya kina jMali; vyote tulishavichoma moto zamani sana, kumbe huna habari za kwenu ndio maana unaogopa kurudi? we uliza ma jenerali wa kinyarwanda, utahesabiwa mpaka ukimbie...tena mkirudi na zile fujo zenu za mauwaji basi mkae mkijuwa mtakuwa mnapigana na wanyarwanda na siyo Hutu, Tutsi au Twa.
 
Jibu swali we mtutsi, Jeshi la Tanzania halikuwahi kupendelea kabila, ila kama wewe ni jasiri nenda jeshini Wakurya wengi ni majasiri. Ngoja tuone miaka mingapi Kagame ataishi, siku atakayochoka ndo nchi itakaposambaratika.

double standard at its best! kwa hiyo kwa Tanzania ni ujasiri na kwa Rwanda ni ukabila? nshawaambia mtabaki na huo ubaguzi wenu hadi kaburini! wenzenu huku miaka ya kuishi tushaiongeza wakati nyie sumu zenu zinawaulia huko ukimbizini.
 
Dunia nzima Tanzania ndiyo kioo cha kujifunza huku hatuna ubaguzi wa kamabila wa rangi na makabila yapo zaidi ya 120. sasa hapo Rwanda makabila 3, UBAGUZI umemea, ndani ya makabila tu kuna koo nazo zinabaguana, kuna mtu analalamika kuwa kama wewe ni mtutsi lakini siyo Muanglikana au hutoki ukoo wa Kagame wewe cheo hupati.

double standard at its best! kwa hiyo kwa Tanzania ni ujasiri na kwa Rwanda ni ukabila? nshawaambia mtabaki na huo ubaguzi wenu hadi kaburini! wenzenu huku miaka ya kuishi tushaiongeza wakati nyie sumu zenu zinawaulia huko ukimbizini.
 
Maneno yako yatakutokea puani siku mfalme Kagame atakapoondoka madarakani na kuicha nchi ikiwa haina wa kuwaongoza mtarudi katika zama zenu za unyamulenge.
huwezi kumpata na kamwe hutompata! huku mambo yalishabadilika vile vitambulisho vyenye ukabila vya kina jMali; vyote tulishavichoma moto zamani sana, kumbe huna habari za kwenu ndio maana unaogopa kurudi? we uliza ma jenerali wa kinyarwanda, utahesabiwa mpaka ukimbie...tena mkirudi na zile fujo zenu za mauwaji basi mkae mkijuwa mtakuwa mnapigana na wanyarwanda na siyo Hutu, Tutsi au Twa.
 
Kwani before RPF hakukuwa na jeshi? unataka kutudanganya kuwa maafisa wote wa Jeshi walikufa wakati wa RPF inafanya masacre!!!!!!!!!!

Majenerali hawatokei kama wakuu wa wilaya kwamba achaguliwe kirahisi rahisi. Kuna kanuni za kijeshi zinazotawala upandishwaji vyeo kwa maofisa wake. Kumbuka RDF is barely 20 years old. Assuming that a recruit joined the RPA/RDF in 1994 as a 2nd Lt. Kwa taratibu za kijeshi sana sana huyu ofisa atakuwa ni Lt. Col au Colonel at best. Na hawa hutu officers wa rank hii wapo wengi. Lakini usimsahau Rwarakabije ni hutu. Nikuulize swali; je ni Tutsi wangapi walijoin RPA/RDF post liberation ambao sasa ni Generals be it one star (brig-gen), two-star (maj-gen), three-star(lt-gen) or four star (general)? Nitajie wawili tu. Msilete story zenu za msituni kwa watu tunaofahamu.
 
Kwani before RPF hakukuwa na jeshi? unataka kutudanganya kuwa maafisa wote wa Jeshi walikufa wakati wa RPF inafanya masacre!!!!!!!!!!

Jeshi lililoongoza genocide liliitwa FAR na lilikimbilia Congo. Ulitaka RPA waikomboe Rwanda halafu wawaite wauaji wa FAR wapewe jeshi tena? Huu ni upungufu wa akili. Kilichofanyika ni kuwaita askari na maofisa wa ex-FAR ambao walikuwa hawana hatia na genocide na waliokuwa tayari for integration katika jeshi la kitaifa la RDF. Ndani ya RDF kuna mpaka ex-FDLR wengi tu mbona. Rwanda ni moja, suala la ukabila limepitwa na wakati.
 
Kwa chuki wanazomwagiwa Warwanda, ni muhimu kujitayarisha kwa chochote wakati wowote na kwa vyovyote vile, a small country but potent. I can't fathom they are now in possession of an equipment not found anywhere else in EA... hongera Kagame.

Lawman78.... Please ask Idi Amin and Ugandans they know us! Were you already in this global in 1978-1980?? Idd Amin and Ugandans were claiming to have good equipment like Mig21 but when the war started they did not use those MIG21 and we took us only three months to be in Kampala with all assistance from Gadafi.

Kwa hiyo kuwa na equipment haitoshi the good equipment is "People Morality" and not others. Najua Kagame ana maadui wengi sana nchini mwake hivyo kama anajiandaa kwa ajili za TZ ameula wa chui. TUNAMSUBIRI KWA HAMU. Tukale watoto wao hahahahahahahaha.
 
Back
Top Bottom