Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China

Keshatibiwa. Muda si mrefu tutaungana na mpendwa watu. Vp huyo wa sickle cell anaemia LEO mumempa dawa gani?
Doctor wake anasema eti anataka kuandika kitabu eti hajawahi kuona mtu anayefanya kazi masaa 24 kama yeye na asipate tatizo lolote la kiafya! Sema profeseri mungu akisaidia akarudi salama basi aachane na kina Jmali lasivyo ndio ntolee hiyo kibusha kitajipasua kenyewe.
 
soma maelezo ndipo ujibu ..... vinginevyo unazidi kujionesha jinsi gani ulivyo mjinga..... mimi si wa kuambiwa font face, font name, font size, font color, shrink font, grow font, indent, etc.... those are features of elementary computer application especially ms words.... I'm in another level as far as computer is concerned.

Hebu waeleze, maana jamaa zetu hawa wamedanganywa kwamba kujua kutumia vi'word processors' ndio umahiri wa kutumia kompyuta!
Wenzao tunachonga vipuri kwa kompyuta na hatusemi tumefuzu!

Umechelewa! Misifa yote tushampa jamaa yako, kama unataka mwende mkagawanie huko mbele ya safari.
 
ndugu yangu ule unafiki wa Kikwete bora hata ungependekezwa na wazungu kwa sababu tumewazoea lakini kuona jirani anayejua ukweli wote, anaamuwa kulopoka vile kwa sababu anazozijuwa mwenyewe, ulitaka wamjibuje?

Tanzania sio Kikwete na Kikwete sio Kikwete ila Kikwete ni Rais wa Tanzania. In Tanzania we value our freedoms, especially that of honest speech.

I may not agree with JK on many things, lakini hili la kusema Rwanda wakae na kuongea na Inerhamwe naunga mkono. Number 10 waliongea na IRA, na vilevile USA na NATO waliongea na wanaendelea kuongea na TALIBAN, Israel na HAMAS wanaongea japo kwa 3rd part.

Kwenye uzi huu issue ni kununua silaha, na kuongopea watu kuwa ni advanced system. This is crazyt is not advanced system hata kwa standard za Afrika, even worse Rwanda sio Somalia ambayo ina watu kama Al Shabaab ambao watashambuliwa. Kamnda ingehitaji defence system wangenunua kama tuliyonunua ile ya copy ya Russia kutoka kwa wachina BUK. Not as advanced as Tor lakini inatosha kutungua ndege moja au mbili.

Kwa sasa militarism ni upuuzi, watu wanahitaji maendeleo, sio vita.
 
1. Either you are a military expert and you didn't tell us.

2. Aliendika hii article jina lake nadhani linaanzia na Xi sasa sijui huyo Kagame kamuhonga? Au kamchukua muandishi wa habari kutoka Rwanda kampeleka China kamshikia bastola Editor wa hilo gazeti akachukua computer akamuweka mwandishi wake halafu akamuambia aandike hiyo article all the while sisi tunamuona kwenye mikutano na wananchi
 
3. Angalia aliyeanzisha hii thread kwanza. Kama unakubaliana na ideology yake then na mimi heshima niliyokuwa nimekupa itaanza kupungua.
 
1. Either you are a military expert and you didn't tell us.

2. Aliendika hii article jina lake nadhani linaanzia na Xi sasa sijui huyo Kagame kamuhonga? Au kamchukua muandishi wa habari kutoka Rwanda kampeleka China kamshikia bastola Editor wa hilo gazeti akachukua computer akamuweka mwandishi wake halafu akamuambia aandike hiyo article all the while sisi tunamuona kwenye mikutano na wananchi

Mkuu i am not military expert, but i know a think or two. Ningekuwa Nyerere ningesema mimi si kuku sitagi mayai lakini najua mayai mazuri na mabovu. Common sense will tell you, unaponunua rungu mara nyingi ulilweka ndani kimyakimya, au hata unafanya siri ili anayekuuzia asijue anamuuzia nani. Ili mwizi akija awe suprised.

Sidhani kama Rwanda ingenunua system kama hiyo ingetangaza, au kama China ingeamua kutangaza kwa kupitia gazeti la mchina wa Canada. I know a few air defense systems, that is non of them. That system can work for areas like Zanzibar au kwa ajili ya kulinda eneo moja dogo sana, kama vile uwanja wa mpira au bwawa la maji. Hina uwezo wa kudefend mji kama Kigali leave alone Rwanda.

Do not believe everything you read in unofficial news outlets. By the way China huwa inafanya mambo kama haya kwa usiri mkubwa, na Rwanda ingenunua ingenunua kisiri kwa kuwa mambo ya kijeshi huwa ni siri.
 
Mara nying naheshmu mawazo yako lakin kwa hli umebugi..
Rwanda hamwagiwi chuki wala hakuna sababu ya kumchkia ila tatzo wakorofi sana..

Ya, ni kweli. hawa jamaa mpaka tuwatandike ndo wataleta heshima. Naona dharau zimezidi.
 
Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China: Kanwa

  • Staff Reporter
  • 2014-11-09
  • 14:50 (GMT+8)

A photo of the TL-50 system shown at the Africa Aerospace Defense Exhibition in South Africa earlier this year. (Internet photo)

China North Industries Corporation based in Beijing has successfully exported its TL-50 or Sky Dragon 50 air defense missiles to Rwanda, according to Kanwa Defense Review, a Chinese-language military magazine based in Canada.
Rwanda is the first and currently the only nation in Africa to use the TL-50. Designed based on China's PL-12 air-to-air missile, the TL-50 can attack targets between 20 and 30 kilometers from the ground with an attacking range of 50 kilometers. Kanwa said it is now the most advanced air defense missile in East Africa,
though Rwanda has purchased only a very limited number of the missiles.
With the ability to track 144 targets, the TL-50 can launch 12 missiles to intercept 12 incoming targets simultaneously. A photo of the system was shown at the Africa Aerospace Defense Exhibition this year which shows a single missile launcher with four launch tubes.
Rwanda must have at least four TL-50 launchers as this is the system's lowest operational unit, Kanwa said.
The missile also has fire and forget capability, Kanwa said. However, the TL-50 has not entered service in China, as the PLA has selected the HQ-16 as its current standard air defense missile

Jiulize ni kwanini China inatengeneza TL - 50 lakini inatumia HQ-16 !.Hivi unaweza kupika chakula kizuri ukakiuza kwa watu halafu wewe ukabaki kula chakula kibovu kisicho na kiwango.

Mkuu, wewe shule umeenda kweli? au ni kujua kuandika kiingereza tu?
 
Hii arms race nina shaka nayo, nakumbuka siku ya uzinduzi wa katiba yetu, jeshi letu lilifanya show ya vifaa ambavyo hatukujua jinsi vilinunuliwa, vitu vimetulia kisiri vinasubiri kupepea hewani, ila huu mkwara wote ni bure maana Misri washatishia EAC yote kwamba tutapata kichapo tukiyatumia maji ya ziwa, sasa mbona wote tuko kimya.

Tanzania hatuko kimya mkuu. Tayari tuna bomba la maji toka Ziwa Victoria mpaka Shinyanga. Wananchi wanakunywa maji tu. We are fearless Tigers!
 
Mkuu i am not military expert, but i know a think or two. Ningekuwa Nyerere ningesema mimi si kuku sitagi mayai lakini najua mayai mazuri na mabovu. Common sense will tell you, unaponunua rungu mara nyingi ulilweka ndani kimyakimya, au hata unafanya siri ili anayekuuzia asijue anamuuzia nani. Ili mwizi akija awe suprised.

Sidhani kama Rwanda ingenunua system kama hiyo ingetangaza, au kama China ingeamua kutangaza kwa kupitia gazeti la mchina wa Canada. I know a few air defense systems, that is non of them. That system can work for areas like Zanzibar au kwa ajili ya kulinda eneo moja dogo sana, kama vile uwanja wa mpira au bwawa la maji. Hina uwezo wa kudefend mji kama Kigali leave alone Rwanda.

Do not believe everything you read in unofficial news outlets. By the way China huwa inafanya mambo kama haya kwa usiri mkubwa, na Rwanda ingenunua ingenunua kisiri kwa kuwa mambo ya kijeshi huwa ni siri.

Mkuu wengi hawajui kwamba proqurement za ki jeshi hufanywa kwa usiri sana. Hata hivi juzi,wengi hawakujua kama Tanzania ina a most sophiscated and advanced air defence system in East and Central Africa. Tuliamua kuwaonyesha baadhi tu ya vifaa na si vyote siku ya miaka 50 ya Muungano.Eti mtu analingia kombora la kufika 30km ha..Hapo si umbali wa mkoa wa Dar tu pekee. Sawa na Dar city center mpaka Kibamba,hata Kibaha halifiki. Hata performance yake angani huyo mwandishi kasema si nzuri. Sasa waache wa bweke tu.
 
Jamaa walikua hawajui hilo kabisa. Aliyelala usimuamshe. Mchina katengeneza lakini hatumii kabisa hiyo defence system aliomuuzia Rwanda. Pia kuna kiasi cha' units'unatakiwa ununue ili air defence system ifanye kazi. Rwanda kapewa/kanunua pungufu. Kauziwa mbuzi kwenye gunia,ni mweupe na ni rahisi kugongwa. China walitafuta tu nani wamsukumie huo mzigo baada ya kuona una makosa kwenye R&D,Rwanda akawa desperate,wakaona wampe kwani hatokua threat kwa rafiki zao watanzania. Chezea China and Tanzania intelligence wewe!

hahahahahaha Mchina muhuni sana asee...
 
Mkuu wengi hawajui kwamba proqurement za ki jeshi hufanywa kwa usiri sana. Hata hivi juzi,wengi hawakujua kama Tanzania ina a most sophiscated and advanced air defence system in East and Central Africa. Tuliamua kuwaonyesha baadhi tu ya vifaa na si vyote siku ya miaka 50 ya Muungano.Eti mtu analingia kombora la kufika 30km ha..Hapo si umbali wa mkoa wa Dar tu pekee. Sawa na Dar city center mpaka Kibamba,hata Kibaha halifiki. Hata performance yake angani huyo mwandishi kasema si nzuri. Sasa waache wa bweke tu.
mkuu huu uzi hauja anzishwa na rwanda,ni Jmali kautoa kwenye mitandao ya kichina na wapinzani wa rwanda,sasa hata mimi sijui lengo lao,basi kama ni siri itakua imefichuliwa na hao,au ni agenda za hao akina jmali na interahamwe wenzake wanataka kuitisha tz ili ifikiri rwanda wananunua siraha za kuishambulia tz naiona kama uchonganishi,kwa rwanda kama wamenunua defence system hawawezi nunua vitu fake kwani hawa jamaa ni makini sana,wananunua baada ya kufanya utafiti makini wa mahitaji siyo kukurupuka.
 
Tatizo mleta hii Maada ana sababu zake, yeye kama angekuwa na uwezo basi angewasukuma waTanzania woote kwenda kumsaidia kuipiga Rwanda, kwani yeye na ndugu zake wameshindwa. Hii issue ya hizi Siraha hakuna hata Mnyarwanda anaye zijua, hakuna media yoyote ya Rwanda iliyo toa hizi habari, ira JMali na wenzie (wakimbizi kutoka Rwanda 1994/5) kwa obsession na chuki zao wanafanya juu chini waTanzanie wawe na chuki dhidi ya Rwanda, si kwa manufaa ya TZ si kwa manufaa ya RW bari ni kwa manufaa ya akina JMali. Nchi yoyote haiwezi kuonyesha nguvu zake hadharani, na kama ikionyesha ujuwe hapo ni just 10% tu. As I said the post was posted by someone who has his own agenda, if you dont believe just search all his post on International forum and see his way of thinking you will know what am saying and why he posted this. Rwandans including President Kagame love Tanzania and your president, am going to try to give some examples for you to think about. However in any relation there some lines you cant cross. Rwanda with the History we have INTERAHAMWE (FDLR) is that line period. after Sep 11, Such line to USA was BinLaden, to Tanzania in 1978 wa Idd Amin. Kwa Rwanda even if you are our Friend by suggesting we sit with Interahamwe, that is an Insult above anything. The People who advised Kikwete to utter such an imaginable words knew what they were doing, they were hitting Rwanda where it hurts most The Maturity understanding that existed btn these two countries. For your Information it was a big surprise to Rwandan people and leadership, all Rwandan and Kagame development plans were based on good relationship with Tanzania Kagame kama mpenda maendeleo kwa watu wake na nchi yake analijua hilo. So Himself and all his Goverment were always working towards maintaining a good relationship with Tanzania(sometimes back he even mad it a priolity to his cabinet-Good relationship with TZ) Kwa hiyo kama wanyarwanda wengine Raisi Kagame hakuwahi kufikiria kuwa Rais Kikwete ndiye angekuwa wa kwanza ku Cross ile Line. But all in all he did it, he did it after a careful planning and manipulation of one Man, a very good friend of Kanali Mrisho who for the Past 3-4years was a regular visitor at various official dinners and evening functions at Magogoni, who also managed to establish several lucrative deals from Shamba la Bibi (DRC) using several connection he had established personally either while still in Service in Rwanda or during his dealings with FDRL this is Non other than the SPY Master the late Patrick KAREGEYA RIP
 
Mkuu kama kuna explanation nzuri kama hii,na hao FDLR wanasema hawana matatizo,si Rwanda iwaite,waje kuwa chama cha siasa,kisha uitishwe uchaguzi huru. Kama wanarwanda wanawajua kwa mabaya yao,hawatowapigia kura,na watachagua chama kilicho safi. Hilo linashindikana vipi?
 
Hawana matatizo? Basi poa! Unaonaje mkifungua wafungwa wote bongo alafu muanze majadiliano? As far as I am concerned those evil have a lot to answer in our society.
Huo unafiki wenu eti wakuwaleta Rwanda kama chama halafu uchaguzi ndio utatue mambo, hapo utakuwa umechemsha! Kwa sababu hata huko bongo uchaguzi ungekuwa wa halali basi tokea mmwinyi apokezwe kijiti na Nyerere(RIP) akauza nchi, chama tukufu (CCM) kisingesikika tena! Mmekaa kushupalia Rwanda utafikiri mnaishi Paradise.
Nnashangazwa sana na Rwanda kuona hawapitishi mfumo wa chama kimoja kama China, maana mpaka dakika hii RPF haina kifani Africa nzima, labda tena labda angalau CCM ileeee ya Mchonga, lakini kwa leo hii hakuna mpinzani. Na hao wachawi mnaotetea ingekuwa bora mkawakaribisha huko msaidizane usanii.
 
Mkuu mi nimeuliza swali tu ili nieleweshwe. Navyojua dawa ya kumuumbua mtu ni kumuweka hadharani na kushindana nae kwa ukweli na facts. Si kumbana na kumfumba mdomo. Hata Mungu,shetani alipoasi na kukataa kumtii,wala hakumuua au kumuangamiza. Alimuacha afanye mambo yake huku akijua ukweli utadhihirika. Na mpaka leo ukweli unadhihirika kwamba nia ya shetani ni mbaya na ni mwangamizaji. Ndio maana nasema hawa mashetani wa fdlr kwa nini wasiwekwe wazi waje huko kugombea kidemokrasia kisha wananchi waamue na wawahukumu kwa ushetani wao?
 
Back
Top Bottom