Buda in here again, kwa iyo lawmaina wewe umechambua comment ya huyo hapo na wengine wa JF, uka confirm wanachukiwa na majamaa wa huku, la hasha bro! Wanaoichukia Rwanda ni wao wenyewe, husomi habari kutoka Congo Uk France Belgium Tz, anavyotuhumiwa na wakimbizi from Rwanda, au unadhani wanadanganya. No one's hating them toka huu upande, presdaa alifanya kuwapatanisha tu kiroho safi, najua we unaiponda sana Tz upo kishabiki na unawaza alifanya makosa kuwakimbiza, so we enemies, no man! It was protocol and it'll be protocol ikitokea tena pande yeyote, he ain't there to please nobody except his masters. Kwa iyo we kaa ukijua kwamba, kama idol wako bwana Kagame ataamua kulitumia, atalielekezea Congo huko walikojificha ndugu zake, atawahit! Albeit that sounds good from you, Nyang'au with swag.