Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China

Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China

Ndugu yangu kama unavyojua, sisi hatuna tabu nao, tulishawaambia ujuzi wao tuna ujuwa vizuri sana! Na hatukuishia hapo kwa sababu hata majemedali wao wengine walisharudi home na tukawapokea, wakatubu madhambi yao na hivi wameingizwa kwenye system mpya (ubinadamu) na inavyo onekana kweli wameamua kuachana na maovu, na ndio maana hao kina Jmali waliobakia kila siku tunawaambia hakijabadilika kitu, kama unataka kurudi kwenu basi poa tutakupokea kwa jinsi utakavyo wewe, kama watakuja na roho kunjufu watapokelewa kama wengine, kama kwa ubabe nayenyewe poa! Lakini kujadiliana na muharifu kama msanii alivyopendekeza, the answer is "Never" kama kawalia pesa kwa kuwadanganya eti atawarekebishia mambo, mi naona bora arudishe pesa za watu, kwa sababu ni kitu kisichowezekana popote pale duniani! Muharifu hana chaguo bali kumtega sikio hakimu (in this case Rwandan Gov). Upo hapo?
 
mkuu huu uzi hauja anzishwa na rwanda,ni Jmali kautoa kwenye mitandao ya kichina na wapinzani wa rwanda,sasa hata mimi sijui lengo lao,basi kama ni siri itakua imefichuliwa na hao,au ni agenda za hao akina jmali na interahamwe wenzake wanataka kuitisha tz ili ifikiri rwanda wananunua siraha za kuishambulia tz naiona kama uchonganishi,kwa rwanda kama wamenunua defence system hawawezi nunua vitu fake kwani hawa jamaa ni makini sana,wananunua baada ya kufanya utafiti makini wa mahitaji siyo kukurupuka.

Mkuu naona explanation yako inaeleweka. Mimi mwenyewe sidhani kama kweli Rwanda, ambayo inaonekana kuwa na watu makini kwenye jeshi, ikafanya kitu kama hicho cha kuruhusu habari zake kuingia kwenye website ambayo ni tabloid in nature.

By the way anti aircraft system ni defensive in nature si ya kushambulia, so Tanzania will never worry about this
 
Sorry Guys My post yesterday did not appear the way I posted, allow me to re post again, it is for True Tanzanian
 
To All Tanzanians;

Mleta hii Maada ana sababu zake,kwani yeye kama angekuwa na uwezo basi angewasukuma wa Tanzania woote kwenda kumsaidia kuipiga Rwanda, maanake yeye na ndugu zake wameshindwa.

Hii issue ya hizi Siraha hakuna hata Mnyarwanda anaye zijua, hakuna media yoyote ya Rwanda iliyo toa hizi habari, ira JMali na wenzie (wakimbizi kutoka Rwanda 1994/5) kwa obsession na chuki zao wanafanya juu chini waTanzanie wawe na chuki dhidi ya Rwanda, propaganda zao si kwa manufaa ya TZ si kwa manufaa ya RW bari ni kwa manufaa yao binafsi.

Nchi yoyote haiwezi kuonyesha nguvu zake hadharani, na kama ikionyesha ujuwe hapo ni just 10% tu. As I said the post was posted by someone who has his own agenda, if you don't believe just search all his post on International forum and see his ways of thinking you will know what am saying and why he posted this. Rwandans including President Kagame loves Tanzanians and your president, am going to try to give some examples for you to think about. However in any relationship there some lines you can't cross.

So for Rwanda with the History we have passed through, INTERAHAMWE (FDLR) is the line, period. For a country like USA after Sep 11, Such line to USA was BinLaden, and to Tanzania in 1978 that line was Idd Amin etc etc. Kwa mtaji huu sasa, kwa Rwanda even if you are our Friend, by suggesting we sit with Interahamwe, i t is an Insult above everything and we cannot accept that hata kwa mtutu wa bunduki HATUTAKUBALI.

So The People who advised Kikwete to utter such an imaginable words knew what they were doing, so they were hitting Rwanda where it hurts most, " The Good, maturity and respect understanding that existed btn these two countries".

Those Advisors knew that Rwandans and Kagame's development plans were based on good relationship with Tanzania, Kagame kama mpenda maendeleo kwa watu wake na nchi yake analijua hilo.

So Himself and all his Goverment were always working towards maintaining a good relationship with Tanzania(sometimes back he even made it a priority to his cabinet-"Good relationship with TZ"),

I remember one incidence sometimes back, there was this Guy a Rwandan from Diaspora a very bright Man, he was genius in Electronics and Communication, he was plucked by Kagame himself from a big project in the First world to come and develop this sector in Rwanda, he was give the only Telecom company available at that time in Rwanda to run and develop, he was given all necessary acknowledgment and support by the country, so the guy had his private parking at Telecom house, one day a Tanzanian official from the embassy popped at Telecom house and found no parking available, so he decided to use the boss's parking for few minutes, the guards tried to stop him but he insisted that it will only take vary few seconds.

Before he was back the Boss arrived and found his parking occupied so you can imagine a boss in his own house, there was ugly scene no need to narrate everything. Only that the Guy was untouchable in the normal situation within so he made his point using his influence.

The Tanzanian ambassador later complained to the Ministry of Foreign affairs, although this issue was very small, but due to the priority, I am telling you he was dismissed with immediate effect out of respect to Tanzania, he is now among the staunch opponents of Kagame's Govt like the JMalis. Few years later, Ugandan Ambassador was not afforded the same privilege in almost similar circumstances.

Another example of brotherly friendship our Govt. has over Tanzania, on any big occasion to Rwandan people, Tanzanians are always the first on the List of invitees, regardless of the situation btn the two Govt, regardless of who JK sends as his representative, you will always see prominent Tanzanians like Benjamin Mkapa, The Family of Mwalimu (Mama Maria with daughters or Son) etc etc among our guests.

Therefore The true Rwandans and Tanzanians respect each other, with exception of JMali and few of his colleague, you will not find WaTZ wakiwatusi Wa RW na Rais wao and Vice Versa, Isipokuwa kwenye Topic za hawa wakimbizi haramu ambao lengo lao ni kuchochea hizi unnecessary hatred.

Kagame mwenyewe na Kikwete used to be good friends. Nakumbuka mwaka 2005 Mheshimiwa JK alianzisha kampeni yake kuelekea Magogoni akiwa pale University of Dar Es Salaam, ingawa kampeni rasmi irikuwa haijaanza, Mr Kagame presented him with a good opportunity, on that particular day, it happened like this, That day Mr. Kagame was a Guest speaker at Nkrumah hall, the hall was fully parked to its capacity and even its surroundings were all filled with people who had come to listen to some big thinking, The topic and discussion in general was so lively and interesting, at the end of the day these two guys (PK&JK) launched ones campaign without electoral commission's authorization.

Another example is an economic gains the two country were likely to gain and which they had invested much before, Un Upgraded Central Corridor Railway Line(Dar-Isaka-Kgl) with a later ext. south to Buja and Congo. Tanzania and Rwanda @ had paid 6m Euro on all feasibility and engineering studies.

Upon completion, while Rwanda was very committed to start the project, Kikwete had other ideas and he had some good advisors who advised him and the project was shelved. So Rwandans especially our President had been trying to be a good friend to Tanzanians and their President as we have much to gain economically from it, however we can not be held to ransom, and our DIGINITY is paramount, there are LINES you cannot cross no matter how important you are.

Kwa hiyo kama wanyarwanda wengine Raisi Kagame hakuwahi kufikiria kuwa Rais Kikwete au Rais yeyote wa Tanzania angekuwa wa kwanza ku Cross ile Line. But all in all he did it, he did it after a careful planning and manipulation of one Man, a very good friend of Kanali Mrisho pia who for the Past 3-4years was a regular visitor at various official dinners and evening functions at Magogoni, who also managed to establish several lucrative deals from Shamba la Bibi (DRC) using several connection he had established personally either while still in Service in Rwanda or during his dealings with FDRL this is Non other than the SPY Master the late Patrick KAREGEYA RIP (Am Sorry to say it but he got what he deserved) Am telling you Guys, This Man was a Master at his game The Plans that he had planned for this region were so dangerous and he had kick-started them, they were in motion, slowly gaining momentum…Mhhh Thanks God the Momentum is slowly being reversed now.
See u Next.

By the way what I wrote are things that I know, I witnessed with my own eyes or I have the first hand information, I don't need a source. If you want you can reach me on mugishasteven70@yahoo.com and we can further some constructive discussion on mails or phone we can even meet and have a chart over coffee or Glass of Kili baridi being it in Rwanda or Tanzania as I am always in either of the two cities (Kgl-Dar) I love these two country so much, am only Rwandan because TZ does not allow dual citizen ship, I had an opportunity to be a Rwandan Canadian as both country support dual citizen ship but refused, I will always be a Rwandan or Rwandan Tanzania if in my life the people of Tanzania decide to change their perception on dual citizen ship otherwise I am comfortable and proud Rwandan.
 
Hii arms race nina shaka nayo, nakumbuka siku ya uzinduzi wa katiba yetu, jeshi letu lilifanya show ya vifaa ambavyo hatukujua jinsi vilinunuliwa, vitu vimetulia kisiri vinasubiri kupepea hewani, ila huu mkwara wote ni bure maana Misri washatishia EAC yote kwamba tutapata kichapo tukiyatumia maji ya ziwa, sasa mbona wote tuko kimya.

Misri walikataza matumizi ya maji ya ziwa victoria hapo awali because they over looked the situation. Consumption of water falls in three categories. Domestic use whichbtakes less than 11% of any source, industrial and agricultural use make the remaining third part ambayo ni zaidi 89%.

Kwa mtazamo wao walijua matumizi yaliyohitajika ya maji ya ziwa ni kwa shughuli zote including the categories I have mentioned. Ila kwa sasa tanzania kuna mradi wa kuvuna na kutumia maji ya ziwa victoria . Matumizi yetu yameangukia kwenye domestic use of water. So hamna shaka ukizingatia tz haipo industrialised kivile kama kenya perhaps na uganda.
 
Umslopagas
Dear Umslopagas post yako imejaa mambo ya maana na yenye nguvu kama Umslopagas na Inkoskazi yake. Nakubaliana na hoja zako na mifano yako mingi inayoonesha jinsi Rwanda walivyokuwa na mtazamo chanya maana hata mie ninayo yangu pia na mmoja wapo ni ufuatao kama ambavyo huwa nasema mie siwafahamu wahutu kwa karibu ila nina marafiki wakubwa ambao ni watusi, kwa nyakati tofauti wamekuwa wakinieleza jinsi Wanyarwanda walivyo na mtazamo wa kirafiki kwa watz ilifika mahali nikaamua kuambata na rafiki yangu kwenda kusalimia wajomba na mashangazi huko Rwanda mwaka 2008. Ni kweli unavyoongea kuwa Rwanda wako friendly.
Ni kweli pia kila nchi ina mistari yake ambayo haitakiwi kuvukwa na ikivukwa nchi haiwezi kukubali. Maelezo yako yanadhihirisha kuwa nchi inaweza kuchagua rafiki lakini haiwezi kuchagua jirani. Sasa kitovu cha mvutano ktk mitandao ni Ushauri wa Kikwete kwa kagame kuongea na FDLR japo kama ulivyosema inaonesha mvutano wa chinichini ulikuwepo ndio maana hata kagame alianza kususia vikao vyote vya marais wa EAC vilivyokuwa vinafanyika Arusha.
Japo Kikwete alitoa ushauri kwa nia mbaya ya kumchokonoa kagame lakini kidiplomasia hajafanya kitu kipya. Ntakupa mfano Mwaka 1978 wakati nyerere alipoamua kumng'oa Idd Amin kuna nchi zilizoshauri wakae mezani waongee tena Gaddafi ndio aliamua hata kumpa nyerere masaa 48 awe amerudisha vikosi nyuma, Nyerere alikataa ushauri lakini hakumtolea lugha za kashfa Gaddafi na wengine walioshauri. Bush alipotangaza kumfuata Osama kule Afghanistan kuna mataifa yalimshauri asichukue hatua za kijeshi kabla hajafanya mazungumzo hakuwasikiliza lakini pia hakuwatukana, Na hata siku waliposhauriwa kagame na Museven bado Museven nae hajakubaliana na ushauri lakini hakuleta lugha za dharau.

Kwahiyo kagame pamoja na uzuri wake ktk nyanja za kusimamia uchumi wa Rwanda na kupiga vita rushwa lakini amevimba kichwa kutokana na sifa anazopewa. Amekuwa akitoa lugha za dharau kuelekea viongozi na Serikali ya Kongo na sasa ameamua kututukana TZ. Maana ukimtukana au kumtishia kikwete maana yake umetutukana watz na ndio maana baada ya kikwete na kagame kuvutana hadharani huku jamvini mivutano ya watz na wanyarwanda imeibuka na kuongezeka. Sioni ni kwanini Kagame ambaye alikuwa na mtazamo chanya kwa tz ashindwe kukaa kimya na kudharau akishauriwa kitu ambacho anaona hakina maana badala yake anaanza kuongea nyodo. Ni natural kuwa dharau kama hizo haziwezi kupita kimya kimya sie sio wakongoman, hata kama kikwete anafanya madudu hapa nchini lakini lugha aliyoitumia Kagame ni lugha inayotumiwa na kiongozi mwenye dharau ktk kipindi ambacho amejipanga kupigana na nchi husika. Ile lugha ni lugha ya kuamini kuwa vita viko mlangoni na kwa kuwa watz tunajua vita maana yake nini hatuwezi kukaa kimya inabidi kuchukulia serious statement ya kagame kuwa anasubiri wakati muafaka ndio ampige kikwete maana huwezi kumpiga rais wa nchi nyingine bila kupigana na nchi husika.
 
Last edited by a moderator:
Una maswali magumu....te te te...sijajiandaa kujibu (Sitti Mtemvu 2014)

Mkuu mi nimeuliza swali tu ili nieleweshwe. Navyojua dawa ya kumuumbua mtu ni kumuweka hadharani na kushindana nae kwa ukweli na facts. Si kumbana na kumfumba mdomo. Hata Mungu,shetani alipoasi na kukataa kumtii,wala hakumuua au kumuangamiza. Alimuacha afanye mambo yake huku akijua ukweli utadhihirika. Na mpaka leo ukweli unadhihirika kwamba nia ya shetani ni mbaya na ni mwangamizaji. Ndio maana nasema hawa mashetani wa fdlr kwa nini wasiwekwe wazi waje huko kugombea kidemokrasia kisha wananchi waamue na wawahukumu kwa ushetani wao?
 
Angalia aliyeanzisha hii thread halafu usome post zake zote halafu urudie kusoma uliyoyaandika. Usiwe mvivu wa kuumiza kichwa bwashee.

Hizo ndo facts wewe mzee wa jenosaidi. Naona umesahau kusema huyo ni mhutu yuko ukimbizini ........LOL
 
View attachment 200716
A photo of the TL-50 system shown at the Africa Aerospace Defense Exhibition in South Africa earlier this year.

China North Industries Corporation based in Beijing has successfully exported its TL-50 or Sky Dragon 50 air defense missiles to Rwanda, according to Kanwa Defense Review, a Chinese-language military magazine based in Canada.

Rwanda is the first and currently the only nation in Africa to use the TL-50. Designed based on China's PL-12 air-to-air missile, the TL-50 can attack targets between 20 and 30 kilometers from the ground with an attacking range of 50 kilometers. Kanwa said it is now the most advanced air defense missile in East Africa, though Rwanda has purchased only a very limited number of the missiles.

With the ability to track 144 targets, the TL-50 can launch 12 missiles to intercept 12 incoming targets simultaneously. A photo of the system was shown at the Africa Aerospace Defense Exhibition this year which shows a single missile launcher with four launch tubes. Rwanda must have at least four TL-50 launchers as this is the system's lowest operational unit, Kanwa said.

The missile also has fire and forget capability, Kanwa said. However, the TL-50 has not entered service in China, as the PLA has selected the HQ-16 as its current standard air defense missile.

Source:wantchinatimes

Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China: Kanwa|Politics|News|WantChinaTimes.com

You are still the one
 
ndugu yangu ule unafiki wa Kikwete bora hata ungependekezwa na wazungu kwa sababu tumewazoea lakini kuona jirani anayejua ukweli wote, anaamuwa kulopoka vile kwa sababu anazozijuwa mwenyewe, ulitaka wamjibuje?

Hivi nyie watusi mnajiona kuwa mliuwawa pekee yenu, Kagame na Jeshi lake waliwaua wahutu, na hadi leo hamtaki vyma vya siasa kutoka kwa wahutu mnaofia wao ni wengi wakipiga kura za urais Kagame/ vyama vya kitutsi havitashinda ndiyo maana JK alipowashauri kuongea na hao mnaowaita magaidi mliogopa kwani kwenye kura hamuwawezi
 
Hivi nyie watusi mnajiona kuwa mliuwawa pekee yenu, Kagame na Jeshi lake waliwaua wahutu, na hadi leo hamtaki vyma vya siasa kutoka kwa wahutu mnaofia wao ni wengi wakipiga kura za urais Kagame/ vyama vya kitutsi havitashinda ndiyo maana JK alipowashauri kuongea na hao mnaowaita magaidi mliogopa kwani kwenye kura hamuwawezi

Kwa hiyo PRF wote ni Tutsi? Kweli genocidaire mmeamua kupotosha ukweli. Haya! I just sit back and watch the show.
 
Back
Top Bottom