Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

Hiki chama cha CHADRAMA bado kipo? 😅😅😅😅

Futi sita tangu naawaambia humu ila hamusikiii

Kazi iendelee
Atakufa Wassira aiache Chadema.

Wafuatilie leo wapo Arusha.

Gr-wsUUXcAAA-m5.jpg
 
Chadema haikufuata taratibu kwa mujibu wa katiba ipi, unataka kutuambia msajili anaijua katiba ya Chadema kuliko wana Chadema wenyewe.
Mkutano wa baraza kuu haukutimia akidi yake Kama takwa la katiba yenu! Msajili anasimamia hiyo hiyo katiba yenu ambayo hamuitii!! Lissu na ujuaji wake wote hakuyajua hayo?

Huyo Rugemeleza ndio mtoto na mjinga utasema Hana PhD!! Ila this time CDM imekua chama cha hovyo zaidi ya TLP ya Mrema!! Tulisema humu huu uongozi wa Lissu wenye mihemko ya Balehe hautafika mbali!! Endeleeni kuendesha chama kwa harakati za Twitter!!
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Hizo akidi nani alikuambia hazikutimia, msajili?
 
Mkutano wa baraza kuu haukutimia akidi yake Kama takwa la katiba yenu! Msajili anasimamia hiyo hiyo katiba yenu ambayo hamuitii!! Lissu na ujuaji wake wote hakuyajua hayo?

Huyo Rugemeleza ndio mtoto na mjinga utasema Hana PhD!! Ila this time CDM imekua chama cha hovyo zaidi ya TLP ya Mrema!! Tulisema humu huu uongozi wa Lissu wenye mihemko ya Balehe hautafika mbali!! Endeleeni kuendesha chama kwa harakati za Twitter!!
Chadema imewaingia damuni sana mwaka huu, uoga wenu unaonekana waziwazi. Mkilala mnawaza chadema, mkiamka mnawaza chadema.
 
Hivi kuna shida gani kwa CHADEMA kutekeleza matakwa ya sheria? Hivi inakuwaje viongozi wanajua kabisa madhara ya kupuuza sheria lakini wanaleta harakati? Au tuseme ni mapandikizi? Seriously CDM imekua ya kipuuzi na inayopelekwa kitoto kiasi hiki? Seriously?

Hivi mfano Msajili akaifuta kweli mtafanya nini Kama Lissu tu mmeshindwa kufurukuta??
USHABIKI wa mitandaoni unaenda kuiuwa CHADEMA
 
Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba.

Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji.

Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa kutoka serikalini lkn kama hakina base ya wanachama kitakufa tu naturally. eg. ACT Wazalendo bara, inapokea ruzuku nyingi za wazi na za nyuma ya pazia lkn haina wanachama inakufa kifo cha asili same as Chauma.
Chama cha wananchi hakiwezi kufa kwa kufanyiwa figisu,wachangiaji wataongezeka kadri manyanyaso yanavyozidi
 
Mwambie aifute, mshauri yeye aanze kwanza kufuata sheria sio kuilazimisha Chadema ifuate wakati yeye anazivunja.
Mkuu tukishandana na mjinga na fisadi kama msajili tutaumia.
Kikao kiitishwe wachaguliwe watu walewale mambo yaishe.
 
CCM haikufuata utafatibu kwa mujibu wa katiba ipi? Maana mkutano mkuu una mamlaka ya kupitisha jina la mgombea urais na akidi ilitimia!! Narudia tena UTOTO unaiua CHADEMA!
Unajua kwamba kuna mwana ccm alifukuzwa kwa kuhoji maamuzi ya mkutano ule? Kama ilikuwa halali yule mwanachama alifukuzwa kwa nn?
 
Back
Top Bottom