Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

Hivi huyu Mollel ana nini kipya cha kuwashinda vijana bungeni? Huyu mtu alisha staafu utumishi wa Umma lakini bado mna mpa ulaji na kuwaacha vijana wenye nguvu mlio nao...!
Mkuu mimi sio Chadema na Sina chama, hivyo sielewi criteria zakuchagua. Ninachomfahamu ni kwenye elimu yake na uelewa ambayo naona siwezi kabisa kumlinganisha na Wolper. Lakini inawezekana kabisa kuna vijana mahiri zaidi yake upinzani. Binafsi naamini kabisa kwenye siasa iwe (CCM, CUF, CDM, ACT etc) hizi nafasi zote kigezo cha ufanisi sio sana kama kujuana. Kujuana ni moja ya kigezo kwenye siasa. Tukubali tukatae. Na hili linakatisha sana tamaa.Binafsi naona hizi itikadi zimefanya wengi wamepotea wasijue wanachotaka. Mimi naamini kwenye kuchagua mtu kutokana na ufanisi wake sio itikadi. Itikadi naamini ni njia tu ya kufikia mahali fulani. Watanzania wote tunataka kufika mahali lakini tunatofautiana Njia ipi ni sahihi. Tukilijiua hilo tutapingana bila chuki, na tutatoa nafasi kwa wengine walio na new ideas.
 
Duh!! wewe kazi yako kushinda hapa JF, yaani unazidiwa hadi na Juliana shonza amepata Ubunge? acha kujirahisisha ndio maana unatumika halafu wanaokutumia hawakujali.

Kama hatushindi wote JF ulijuaje?

Hongera sana kwa Juliana Shonza, nnajuwa vijiba vimewakaa kooni.
 
Mkuu mimi sio Chadema na Sina chama, hivyo sielewi criteria zakuchagua. Ninachomfahamu ni kwenye elimu yake na uelewa ambayo naona siwezi kabisa kumlinganisha na Wolper. Mimi binafsi naamini kabisa kwenye siasa iwe (CCM, CUF, CDM, ACT etc) hizi nafasi zote kigezo cha ufanisi sio sana kama kujuana. Kujuana ni moja ya kigezo kwenye siasa. Tukubali tukatae. Na hili linakatisha sana tamaa.Binafsi naona hizi itikadi zimefanya wengi wamepotea wasijue wanachotaka. Mimi naamini kwenye kuchagua mtu kutokana na ufanisi wake sio itikadi. Itikadi naamini ni njia tu ya kufikia mahali fulani. Watanzania wote tunataka kufika mahali lakini tunatofautiana Njia ipi ni sahihi. Tukilijiua hilo tutapingana bila chuki, na tutatoa nafasi kwa wengine walio na new ideas.

Aliingia lini CHADEMA . . . . umesema unamfahamu personally wape jibu wapiga kura acha maelezo mengi
 
Mkuu swali gumu kulijibu hilo kwa mtu kama mimi. Sina uongozi wa siasa mahali popote, familia zetu zinafahamiana toka zamani sana- sio kwa kazi au uongozi. In short mambo ya itikadi/siasa ni yake mwenyewe na familia. Nazungumza ninachokijua nisivyofahamu nawaachia wanaojua. Ukiona maelezo mengi usisome.
 
Mkuu huyo alikua katibu mkuu ofisi ya makamu wa Rais akastaafu
Ni moja ya makapi alioondoka nayo lowassa ccm.amepata ubunge baada ya Regina kukataa kupewa ubunge wa chee baada ya mihela yao kutafunwa kisawasawa

Regina kakata kabisa tamaa hataki tena siasa kaona bora akachunge ng'ombe tu maisha yaendelee!
 
Huyo mama anafaa kabisaa huwezi mlinganisha na wabunge wa ccm huyo ni number nyingine ndio maana magamba yana wewezeka kama kawaida ya misekule
Aliwahi kuwa mbunge?lini na wapi?
Huo ujembe wa bungeni uliuonea wapi?

Mkiitwa malofa mnachukia!
 
Mkuu swali gumu kulijibu hilo kwa mtu kama mimi. Sina uongozi wa siasa mahali popote, familia zetu zinafahamiana toka zamani sana- sio kwa kazi au uongozi. In short mambo ya itikadi/siasa ni yake mwenyewe na familia. Nazungumza ninachokijua nisivyofahamu nawaachia wanaojua. Ukiona maelezo mengi usisome.
Kesho mpigie umueleze kuna uzi huku unamuhusu akupe yale yanayokushinda hapa ulete jukwaani. . . .
 
Wasalaam !

Kweli sasa nimeanza kuzeeka na kupitwa na matukio ya kisiasa na kijamii.

Nina swali la msingi kwa wadau makini hasa wana chadema asilia.

HIVI HUYU Ruth H Mollel ambaye kama sikosei(nitaomba kusahihishwa) alikuwa ni mtu mnene na msomi kwenye serikali kwa miongo kadhaa alihamia lini chadema?

Kwenye list ya wabunge wa viti maalum wa chadema nimeliona jina lake nikashtuka kidogo kwa maana ya kushangazwa.

Hivi mama huyu alianza harakati ndani ya chadema lini kiasi cha kuukwaa ubunge wa viti maalum?

Hivi Chadema ilikuwa inahubiri mabadiliko ya namna gani hasa kama kikundi chote cha waliokuwa madarakani wamehamia huko?

Kama ni yeye kweli ...kupata ubunge viti maalum kupitia chadema huku ukiwaacha vijana waliojaribu kuwekeza katika chadema kwa kukimbia mfumo wa kiccm inatoa picha gani?

Hebu wasemaji wa chadema asilia njooni mjadili hoja hii.

SAMAHANI:Kama huyu Ruth H Mollel sio yule aliyekuwa ofisi ya makamu wa Rais mazingira na CV zake lukuki.

OMBI:Mada ijikite katika mchakato wa kumpatia ubunge Ruth Mollel!

Kwa wale ambao ni kizazi cha bodi ya mikopo kaeni kando

Cc:
Pasco
Crashwise
Molemo
Mungi

kwan anayetoa siri za serikali siku zote unajua ni nani???kupigania chama si mpaka apande majukwaani,wengine wapo Ikulu lakini ni wapigania chama vile vile(silent killer)so wanahitaji kujaaliwa kama wao walivyokijali chama.
 
Ni kweli mkuu lazima niwe na hasira zinazoelekea kwenye chuki kama unavyohisi.

Kumbuka huu ujenzi wa chadema inayokimbiliwa na hao wazoefu umetokea mbali na kuwashirikisha wengi.

wako waliopoteza viungo,uhai,mali na fedha ili tu Chadema ionekane na wazoefu.
K
Waliokuwa wanaikuza hiyo chadema wengi wao hawakuwa wazoefu lakini walijitolea kupambana na kundi hilo lenye uzoefu na kuthamini uzoefu na kuminya fursa.

Anways sitaki kujikita sana kwenye chuki hiyo hapo juu.

mimi nataka ujibu kuwa aliingia lini Chadema?

Hivi katika mkoa anaotoka chadema haikuwa na vijana 'wazoefu' wanaoweza kuwa wabunge?

Ni lini Chadema imeanza kuwekeza kwa wazoefu badala ya vijana kama kina Mdee?

Na huo uzoefu unaousema ni katika nini hasa kwa huu ubunge wa kuteuliwa?
Kwani Naomi Kaihula ni kijana?
 
kwan anayetoa siri za serikali siku zote unajua ni nani???kupigania chama si mpaka apande majukwaani,wengine wapo Ikulu lakini ni wapigania chama vile vile(silent killer)so wanahitaji kujaaliwa kama wao walivyokijali chama.

Alikuwa anatoa siri za serikali kwa manufaa ya Chadema au EL akiwa ccm?
Silent killer kwa kutoa siri za serikali??
 
Wasalaam !

Kweli sasa nimeanza kuzeeka na kupitwa na matukio ya kisiasa na kijamii.

Nina swali la msingi kwa wadau makini hasa wana chadema asilia.

HIVI HUYU Ruth H Mollel ambaye kama sikosei(nitaomba kusahihishwa) alikuwa ni mtu mnene na msomi kwenye serikali kwa miongo kadhaa alihamia lini chadema?

Kwenye list ya wabunge wa viti maalum wa chadema nimeliona jina lake nikashtuka kidogo kwa maana ya kushangazwa.

Hivi mama huyu alianza harakati ndani ya chadema lini kiasi cha kuukwaa ubunge wa viti maalum?

Hivi Chadema ilikuwa inahubiri mabadiliko ya namna gani hasa kama kikundi chote cha waliokuwa madarakani wamehamia huko?

Kama ni yeye kweli ...kupata ubunge viti maalum kupitia chadema huku ukiwaacha vijana waliojaribu kuwekeza katika chadema kwa kukimbia mfumo wa kiccm inatoa picha gani?

Hebu wasemaji wa chadema asilia njooni mjadili hoja hii.

SAMAHANI:Kama huyu Ruth H Mollel sio yule aliyekuwa ofisi ya makamu wa Rais mazingira na CV zake lukuki.

OMBI:Mada ijikite katika mchakato wa kumpatia ubunge Ruth Mollel!

Kwa wale ambao ni kizazi cha bodi ya mikopo kaeni kando

Cc:
Pasco
Crashwise
Molemo
Mungi

alijiunga mwaka 2013/05/27 akabaki CCM Kwa kazi maalum
 
Mungi[/QUOT

Vipi kuhusu majimbo ya Arusha na Hai...

Nini kinaendelea huko?
 
alijiunga mwaka 2013/05/27 akabaki CCM Kwa kazi maalum

Ungetaja na namba ya kadi ya uanachama...
Halafu inaelekea Alijiunga kimyakimya bila Slaa kujua kwa sababu Slaa asingekuja kuuliza swali la asset vs liability
 
Back
Top Bottom