Kuna watu Kama Jane Pesha wamepigania chama huko Karagwe tangu 2005 CCM wanaiba kura lakini hawakati tamaa.2010 alikosa viti maalum na hakupata tamaa akaendelea.Hii 2015 alikuwa amegombea jimbo lakini kura za maoni hazikutosha ndipo akagombea viti maalum .Lakini alishirikiana bega kwa bega kufanya kampain kwa ajili ya kuhakikisha kitu cha ubunge kinachukuliwa na CHADEMA lakini Kama Kawaida dhuluma ya CCM imeendelezwa.Sasa Hawa wanaopewa kirahisi tu na kuwanyima kina Jane Pesha kwa Kweli watu watakata tamaa na CHADEMA itazidi kushutumiwa kwa upendeleo wa watu fulani.