Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

Mambo ya cdm yanakuhusu nini wewe gamba? unadhani cdm wanaweza kuhangaika na huu upuuzi wako? huna mamlaka ya kuishauri cdm wewe gamba
Mamlaka ya kushauri yanatolewa na nani labda?
 
Acheni umbeya wenu wa kijinga Ruth Mollel ni mwanama msomi wa nguvu,mwenye uzoefu wa kazi za kiserekali kwa muda mrefu.Uzoefu wake na ujuzi wake utasaidia sana CDM.
Utasaidia chadema bungeni au ....kwenye nini hasa...kwani aliwahi kuwa karani wa bunge?
Kwanini asigombee ukatibu mkuu wa chama?
Halafu hujajibu swali la kwamba aliingia lini chadema kiasi cha kuukwaa ubunge wa viti maalum?
 
Hebu tulia uje na majibu ya maswali niliyouliza katika post yangu.

Majukumu yanagawanywa wakati wa mavuno au kupanda?
Meningitis ninaona kama umejawa na hasira ambayo inaelekea kwenye chuki. Hivi kweli wote walioko serikalini basi hawastahili kuwa wana chadema au una tatizo lingine. Kwa sababu tu hajaandikwa katika magazeti au hujamsikia majukwaaani badi kwako unafikiri si 'mwana mageuzi'...kama unavyowaita. Wote hawa ni watanzania na wana stahili zao katika siasa ndani ya vyama vyovyote vile vilivyopo kwa mujibu wa sheria. Je hata hivyo vyama pinzani vingeshinda una maana watendaji wote wa serikalini wangefukuzwa ili kuleta hao vijana wana mageuzi unaowasema. Ndiyo maana ninasema hasira zako zinaelekea kwenye chuki. Kumbuka hata Dr Slaa wenginewengi walioijenga CHADEMA walitokea CCM. Cha msingi ninkuingiza wabunge who will make a different and bring the required changes. Na kwa hili si mbaya kuwatumia watu wenye uzoefu ndani ya mfumo unaopigana nao.
 
Wasalaam !

Kweli sasa nimeanza kuzeeka na kupitwa na matukio ya kisiasa na kijamii.

Nina swali la msingi kwa wadau makini hasa wana chadema asilia.

HIVI HUYU Ruth H Mollel ambaye kama sikosei(nitaomba kusahihishwa) alikuwa ni mtu mnene na msomi kwenye serikali kwa miongo kadhaa alihamia lini chadema?

Kwenye list ya wabunge wa viti maalum wa chadema nimeliona jina lake nikashtuka kidogo kwa maana ya kushangazwa.

Hivi mama huyu alianza harakati ndani ya chadema lini kiasi cha kuukwaa ubunge wa viti maalum?

Hivi Chadema ilikuwa inahubiri mabadiliko ya namna gani hasa kama kikundi chote cha waliokuwa madarakani wamehamia huko?

Kama ni yeye kweli ...kupata ubunge viti maalum kupitia chadema huku ukiwaacha vijana waliojaribu kuwekeza katika chadema kwa kukimbia mfumo wa kiccm inatoa picha gani?

Hebu wasemaji wa chadema asilia njooni mjadili hoja hii.

SAMAHANI:Kama huyu Ruth H Mollel sio yule aliyekuwa ofisi ya makamu wa Rais mazingira na CV zake lukuki.

OMBI:Mada ijikite katika mchakato wa kumpatia ubunge Ruth Mollel!

Kwa wale ambao ni kizazi cha bodi ya mikopo kaeni kando

Cc:
Pasco
Crashwise
Molemo
Mungi

Hukujua ni Team Lowassa huyo?
 
Acha ufukunyuku wewe hayakuhusu fuata yako ya Cdm tuachie wenyewe wewe ufukunyuku kaufanyie fisiem
 
Meningitis ninaona kama umejawa na hasira ambayo inaelekea kwenye chuki. Hivi kweli wote walioko serikalini basi hawastahili kuwa wana chadema au una tatizo lingine. Kwa sababu tu hajaandikwa katika magazeti au hujamsikia majukwaaani badi kwako unafikiri si 'mwana mageuzi'...kama unavyowaita. Wote hawa ni watanzania na wana stahili zao katika siasa ndani ya vyama vyovyote vile vilivyopo kwa mujibu wa sheria. Je hata hivyo vyama pinzani vingeshinda una maana watendaji wote wa serikalini wangefukuzwa ili kuleta hao vijana wana mageuzi unaowasema. Ndiyo maana ninasema hasira zako zinaelekea kwenye chuki. Kumbuka hata Dr Slaa wenginewengi walioijenga CHADEMA walitokea CCM. Cha msingi ninkuingiza wabunge who will make a different and bring the required changes. Na kwa hili si mbaya kuwatumia watu wenye uzoefu ndani ya mfumo unaopigana nao.
Ni kweli mkuu lazima niwe na hasira zinazoelekea kwenye chuki kama unavyohisi.

Kumbuka huu ujenzi wa chadema inayokimbiliwa na hao wazoefu umetokea mbali na kuwashirikisha wengi.

wako waliopoteza viungo,uhai,mali na fedha ili tu Chadema ionekane na wazoefu.

Waliokuwa wanaikuza hiyo chadema wengi wao hawakuwa wazoefu lakini walijitolea kupambana na kundi hilo lenye uzoefu na kuthamini uzoefu na kuminya fursa.

Anways sitaki kujikita sana kwenye chuki hiyo hapo juu.

mimi nataka ujibu kuwa aliingia lini Chadema?

Hivi katika mkoa anaotoka chadema haikuwa na vijana 'wazoefu' wanaoweza kuwa wabunge?

Ni lini Chadema imeanza kuwekeza kwa wazoefu badala ya vijana kama kina Mdee?

Na huo uzoefu unaousema ni katika nini hasa kwa huu ubunge wa kuteuliwa?
 
Huu umbea si utakumaliza kwa style hizi?

Hao Ni family friends ...huyo mama mtu anayeijuwa public service ....kufanana naye labda Ni Ombeni sefue tu ...she is a desciplinary nadhani ...chadema angeshinda angekuwa chief of staff ..wa ofisi binafsi ya Rais na nadhani Ombeni angekuwa retained
Ombeni sefue Ni mzuri sema JK alikuwa anambana
 
Viti maalum vya CCM mbona havihojiwi? Mti wa Chadema utakuwa na Matunda naona mnaupiga mawe ya kutosha. Mara ooh baada ya uchaguzi ATC sorry ACT kitakuwa ndiyo chama kikubwa cha upinzani. Kwikwiiii

Act hahaaaa.....hata 5% haikufika...any way annex ya joka la kijani itaibuka tena 2019
 
Nazan apa Chadema wamelamba bahati ninamjua huyu mama kwa busara hana tofauti na Mama Regina Lowasa na pia ni kiongozi imara...pia si wanachama wote wa Chadema waliojitangaza kwenye Tv
 
Ni kweli mkuu lazima niwe na hasira zinazoelekea kwenye chuki kama unavyohisi.

Kumbuka huu ujenzi wa chadema inayokimbiliwa na hao wazoefu umetokea mbali na kuwashirikisha wengi.

wako waliopoteza viungo,uhai,mali na fedha ili tu Chadema ionekane na wazoefu.

Waliokuwa wanaikuza hiyo chadema wengi wao hawakuwa wazoefu lakini walijitolea kupambana na kundi hilo lenye uzoefu na kuthamini uzoefu na kuminya fursa.

Anways sitaki kujikita sana kwenye chuki hiyo hapo juu.

mimi nataka ujibu kuwa aliingia lini Chadema?

Hivi katika mkoa anaotoka chadema haikuwa na vijana 'wazoefu' wanaoweza kuwa wabunge?

Ni lini Chadema imeanza kuwekeza kwa wazoefu badala ya vijana kama kina Mdee?

Na huo uzoefu unaousema ni katika nini hasa kwa huu ubunge wa kuteuliwa?
Ndugu yangu mimi siwezi na wala siwajui wanachama wa chama chochote cha siasa, lakini nina ahakika kuna wanachama ambao hawajitangazi kabisa. Na pia akuna wengie hata si wnanchama lakini ni waumini au wapenzi wa vyama hivyo na ninaamininkatika mfumo wa uongozi wote wanaweza kutumiwa na chama husika. Pia katika umri wangu nilio nao na nimeshuhufia vyama vingi vilipoanzishwa tena (na hata kabla ya mgumo wa vhama kimoja kuanzishwa)ninachowezamkusema tu ni kuwa CHADEMA na CUF vimedumu na kukua kwa sababu yakuwatumia wazoegu waliotoka katika chama tawalana serikali yake. Kumbuka kuwa pamoja na mfumo tulionaosasa hivi effectively bado tupo ndani ya mfumo wa chama kimoja! Mpaka utakapobomoka then automatically tutakomaa kidemokrasia maana kutakuwa na 'ruhusa'
 
Mkuu huyo alikua katibu mkuu ofisi ya makamu wa Rais akastaafu
Ni moja ya makapi alioondoka nayo lowassa ccm.amepata ubunge baada ya Regina kukataa kupewa ubunge wa chee baada ya mihela yao kutafunwa kisawasawa

Pole wewe fiesta iliwagharimu tsh ngapi dear? Naskia ilikuwa approx 37.82 trilion
 
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Mama Ruth na Lowassa ni ndugu kabisa. Sijajua bi mdogo kivipi hapo. Anyways nineona ni sahihishe hapo- kunaweza kukasomeka au eleweka tofauti.
 
Back
Top Bottom