Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

Ruth H Mollel aliingia lini CHADEMA?

Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo

Na ngoma ya juice nayo itapata nafasi gani?
Napita tu!
 
Si Mlisema Jamaa Anakuja CHADEMA Na Mtaji Gani? Huyo Ndiyo Mmoja Wa MTAJI Wenyewe Ukiachilia Mbali Ule Ambao Mzee Mtei Na Mtoto Wa Mjini Mbowe Walioupata Pale Sea Cliff Hotel Kutoka Kwa Mr. WAKUCHINJWA CHINJWA KILA WAKATI.

Jibu lipo apo kaka idadi ya wabunge toka 23 adi 35,viti maalumu wabunge 46,halmashaur zaid ya 15 na? Majiji km dar, mbeya, arusha na tanga yatakua chini na mameya wa chadema, NDIO ASSET IYO KAKA. CCM wanazd kumegeka tu
 
Attachments

  • 1446901690151.jpg
    1446901690151.jpg
    54.7 KB · Views: 453
Si Mlisema Jamaa Anakuja CHADEMA Na Mtaji Gani? Huyo Ndiyo Mmoja Wa MTAJI Wenyewe Ukiachilia Mbali Ule Ambao Mzee Mtei Na Mtoto Wa Mjini Mbowe Walioupata Pale Sea Cliff Hotel Kutoka Kwa Mr. WAKUCHINJWA CHINJWA KILA WAKATI.
Hahahahaha du! amakweli ANA MZIMU WA BUNDI WENYE NYOTA YA WACHAWI
 
Hongera sana ukawa nimefurahi kusikia Ruth mollel kapata viti maalum huyo ni mwanamke wa nguvu na msomi hao wanaosema ni bimdogo ni wahuni wa ccm wameanza kuweweseka wanajua ruth kiboko yao. Bado yule mwanasheria na aliekuwa mshauri wa Jk anaitwa mama sinare jamani waleteni wote hao tukiwapata hao bungeni hapatatosha

Kama walikuwa washauri wa JK wameshindwa kumshauri uchumi umepiga makitaimu kwa miaka yote, unadhani wanaweza kuwa na jipya gani huko bungeni?

Tunawalaumu ccm kwa kusababisha umaskini huku tukiwatamani watu wao, huu ni unafiki wa kiwango kikubwa!
 
Hongera sana ukawa nimefurahi kusikia Ruth mollel kapata viti maalum huyo ni mwanamke wa nguvu na msomi hao wanaosema ni bimdogo ni wahuni wa ccm wameanza kuweweseka wanajua ruth kiboko yao. Bado yule mwanasheria na aliekuwa mshauri wa Jk anaitwa mama sinare jamani waleteni wote hao tukiwapata hao bungeni hapatatosha
Kwa hiyo leo mnakubali JK alikuwa makini? unajua huyu alikuwa chini yake? mmechukua makapi?
 
Mambo ya CDM na CCM yanawahusu watanzania wote. Vile vile ya CUF na ACT. Ni vyama vinavyopigania kuongoza serikali ya watanzania wote, hata wasio na vyama.

Kama CDM mnataka mambo yenu binafsi muanzishe SACCOS, sio chama cha siasa.

Nakugongea like, mbona imepotea?
 
CHADEMA ina wenyewe, kama umejitolea kujenga chama ww jenga ila usije ukahoji chochote wala ukategemea kuna nafasi ya maana utapata kwenye chama. Nb , CDM ina wenyewe
 
kuna mgombea wa viti maalumu ccm nimepewa nyepesi nyepesi kuwa alifukuzwa tanesco kwa kufoji vyeti vya ugavi nimeshindwa kumtaja jina kwa sababusijathibitisha ila wanaojua wanaweza kueleza zaidi
 
Hebu tulia uje na majibu ya maswali niliyouliza katika post yangu.

Majukumu yanagawanywa wakati wa mavuno au kupanda?

Mambo ya cdm yanakuhusu nini wewe gamba? unadhani cdm wanaweza kuhangaika na huu upuuzi wako? huna mamlaka ya kuishauri cdm wewe gamba
 
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo

Enhee Mwaya na Juliana Shonza naye alikuwa wa nani vile..?! Ebu nipe michapo basi ...
 
Kimsingi tunatarajia kuona mifumo ya kupeana nyazifa zilizopo ccm kwa kujuana isionekane cdm. Kama na cdm ipo, hakuna haja ya cdm kuipinga ccm.
 
Jamani niulize swali kidogo?
Hiv kumpata mbunge vit mahalumu wanatumia vigezo gani
 
Kimsingi tunatarajia kuona mifumo ya kupeana nyazifa zilizopo ccm kwa kujuana isionekane cdm. Kama na cdm ipo, hakuna haja ya cdm kuipinga ccm.
 
Back
Top Bottom