Ni miaka 5 ya UKIWA na kulalama kama kawa! Punga la mzee wa Kuchinjwa chinjwa limepungua...tutawaona wa survive vipi.... kwa kifupi kutakuwa na mparaganyiko mkubwa miongoni mwao...kwani hajielewi, hawana DIRA, wameungana kwa sababu na maudhui tofauti.. Nyumbu ni nyumbu hata akipata mafundisho hawezi kugeuka kuwa ngombe ili aweze hata kufanya shughuli za kilimo.